#Repost @tsitsii_la with @use.repost
・・・
Some of us tell our stories not just because we want to be inspirational and make others love us, we tell our stories because that is who we are and who we are is exactly what we truly love. ♥️.
@litafo_tanzania @litafo_tanzania @litafo_tanzania Thank you for these efforts, excellent and passionate work. 🫶.
Tunakujali, Tunakuthamini, Karibu Tukuhudumie. 🤍
Sensory play for concentration,focus and following imstructions
Mchezo wa hisia wa kusaidia utulivu,kuzingatia na kufuata maelekezo.
#ilovesomeonewithautism#
In our family we celebrate every achievements we archive in daily life.We thank GOD for Daniel to be able to do some life skills and we hope he will do much better.Thanks for all trainings I got in US through @parallel_intl_ @mckennafarms
Katika familia yetu tunafurahia kila hatua tunayopata katika maisha ya kila siku.Tunamshukuru Mungu Daniel kuweza kufanya baadhi ya shughuli za mikono na tunategemea atafanya vizuri zaidi.Asante kwa mafunzo niliyopata Marekani kupitia @parallel_intl_ @mckennafarms
Sensory play which will help him to focus,concentrate and following instruction and learning
Mchezo wa hisia ambao utamsaidia kuzingatia,kuwa makini, kufuata maelekezo na kujifunza.
No one is left behind,we must include them in everything and trust me they are learning in their own way.Early Today we visited with Daniel and his youngs at @mitzkits they learnt animation,mobile application and games
Hakuna anayeachwa nyuma,lazima tuwajumuishe katika kila kitu,niamini wanajifunza katika njia zao.Mapema leo katika madarasa ya @mitzkits wamejifunza animation,mobile application na games.
#ilovesomeonewithautism💙💙💙 #
#inclusionmatters#
One of the achievements we made this year is to create awareness and to make people with disabilities such as autism to be accepted in the society and one of the testimony is for Monica, aged 37 who has autism to be engaged with Zakayo, aged 38 who has no any disability whom his intention is to protect Monica from stigma from society and to make sure that they get children and *once other people in the family dies ie mother of Monica the children whom they will have will help their mother(Monica who has autism).With this testimony the parents who has the children with disabilities including autism who lost hope if their children will get married have started to believe that one day their children will get married as they are growing.We thank international medias such as @bbcswahili to cover this amazing testimony to reach many people.We expect Monica and Zakayo to get married on September this year with the contributions from different people who will be touched to support this amazing thing....God bless you all for made this happen!!!
When he sees water he becomes so much excited and it is hard to take him away from water.He can stay the whole day in water/playing with bottle of water and he don’t want to learn anything except to play with water .We should start swimming classes to explore much😀😀😀😀
Akiona maji anakua na furaha ya ajabu na ni vigumu kumtenganisha na maji.Anaweza kushinda siku nzima kwenye maji au anaweza shinda siku nzima AnaChezea chupa ya maji na hataki kujifunza chochote isipokuwa maji.Tunatakiwa kuanza darasa la kuogelea ili ajifunze zaidi
The best sensory play ever.Daniel liked it very much.Thanks @behaviorroots for this.
Mchezo wa hisia mzuri sana.Daniel ameupenda sana.Asante sana @behaviorroots kwa zawadi
Memory..In the parliment of Tanzania @bunge.tanzania with the autistic children in Tanzania
Congratulations our honorable president @samia_suluhu_hassan,the prime minister of health @ummymwalimu and the speaker of parliament @tulia.ackson for this amazing speech we need more specialists.Among of the things we need to take measures is to add more behavior therapist and the only place we have to get this is in United States of America who has the Board of Certified Behavior Analyst as they offer this course and I went for the course few days ago.
Hongera sana muheshimiwa rais @samia_suluhu_hassan,waziri wa afya @ummymwalimu na muheshimiwa Spika wa bunge @tulia.ackson kwa hotuba hii nzuri tunahitaji wataalamu.Katika vitu tunatakiwa kuchukua hatua ni kuongeza idadi ya wataalamu wa masuala ya tabia na sehemu pekee ambapo tunaweza kupata huu ujuzi ni MAREKANI kutoka kwenye bodi ya tabia ya MAREKANI ambapo kuna bodi ya wataalamu wa tabia wa MAREKANI na nilikwenda kusomea siku chache zilizopita
The autism awareness month in Ameriaca full of a lot of knowledges and suprises😍😍😍