AFYA KWA AKINA MAMA

AFYA KWA AKINA MAMA Karibuni wote katika huduma ya afya kwa akina mama

https://wa.me//255627808798

04/08/2023

*FEMICARE NI NINI* ? Hii ni bidhaa iliyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu sana kwaajili ya afya ya mwanamke. Kutokana na maisha ya kisasa wanawake wanakutana na matatizo mengi ya kiafya hasa kwenye mifumo yao ya uzazi. Kwa kulitambuwa hilo tunakuletea suluhisho la matatizo yote yanayomuhusu mwanamke. *KIBOKO YA YOTE NI FEMICARE*

*KWANINI UTUMIE FEMICARE? FAIDA ZAKE KWA MWANAMKE*
👉🏿 Inaondoa harufu mbaya ya uke.
👉🏿Husaidia kutibu maradhi ya njia ya mkoji au U.T.I SUGU.
👉🏿 Huweka uke kuwa msafi na Salama.
👉🏿 Husaidia kusafisha na kutibu mirija ya uzazi.
👉🏿Husaidia kurudisha kuta za uke zilizolegea.
👉🏿Husaidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi.
👉🏿Inatibu P.I.D, endapo ikitumika pamoja na vidonge vya refined.
👉🏿Husaidia kurudisha uteute kwa wenye shida ya uke kuwa mkavu.
MWANAMKE INUNUE HII DAWA LEO KWANI FAIDA ZAKE NI NYINGI SANA KWAKO.

MWANAUME USIWE MBALI NA MWANAMKE WAKO MNUNULIE UPATE FURAHA MAHALA HUSIKA

PIGA/WHATSAPP

https://wa.me//255627808798

Modestus EvTaji ModestusnTaji ModestusEveryone

21/06/2023

MAMBO AMBAYO MWANAMKE ATAKIWI KUYAPUUZIA ANAPO ONA DALILI HIZI

1.Unahisi miwasho lakini unapuuzia

2.Ukivua nguo yako unakuta uchafu ambao si wa kawaida lakini unaona ni jambo la kawaida

3.Uchafu unatoka k**a maziwa na muda mwingine rangi zingine, unaoambatana na harufu mbaya lakini unachukulia poa

4.UTI zinakurudia mara kwa mara unaona ni kawaida tu

5.ukikutana na mwenzi wako unapata maumivu unatoka damu, hauna_hisia zozote wakati wa tendo na wala hauchukui hatua yoyote

USIENDELEE KUFANYA HAYO MAKOSA,TAFITI ZINAONESHA KATI YA WANAWAKE 10 WALIOFANYA KOSA 1 KATI YA HAYO,WAMEKUMBWA NA MADHARA YAFUATAYO;

🍂Kupata Kansa ya kizazi hapo badae
🍂kushindwa kupata ujauzito pindi wanapokuwa wanahitaji na hata wakipata unatoka mara kwa mara
🍂Kushindwa kufurahia tendo la ndoa na kuvuruga mahusiano
🍂Msongo wa mawazo ambao hupelekea kuvuruga homoni na kusababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kunakoambatana na maumivu
🍂Tatizo la harufu mbaya na ukavu uliopitiliza.

KWAUSHAURI NA TIBA. Wasiliana nasi 0627808798

*FEMICARE NI NINI* ? Hii ni bidhaa iliyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu sana kwaajili ya afya ya mwanamke. Kuto...
24/05/2023

*FEMICARE NI NINI* ? Hii ni bidhaa iliyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu sana kwaajili ya afya ya mwanamke. Kutokana na maisha ya kisasa wanawake wanakutana na matatizo mengi ya kiafya hasa kwenye mifumo yao ya uzazi. Kwa kulitambuwa hilo tunakuletea suluhisho la matatizo yote yanayomuhusu mwanamke. *KIBOKO YA YOTE NI FEMICARE*

*KWANINI UTUMIE FEMICARE? FAIDA ZAKE KWA MWANAMKE*
♥️ Inaondoa harufu mbaya ya uke.
♥️ Husaidia kutibu maradhi ya njia ya mkoji au U.T.I SUGU.
♥️ Huweka uke kuwa msafi na Salama.
♥️ Husaidia kusafisha na kutibu mirija ya uzazi.
♥️ Husaidia kurudisha kuta za uke zilizolegea.
♥️ Husaidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi.
♥️ Inatibu P.I.D, endapo ikitumika pamoja na vidonge vya refined.
♥️ Husaidia kurudisha uteute kwa wenye shida ya uke kuwa mkavu.

EWE MWANAMKE INUNUE HII DAWA LEO KWANI FAIDA ZAKE NI NYINGI SANA KWAKO.

NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.* *PID* Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza *Pelvic Inflammatory Disease...
26/04/2023

NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.*
*PID* Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza *Pelvic Inflammatory Disease ( PID).*

P.I.D Ni maambukizi au uvimbe katika via vya uzazi.

*Chanzo Cha PID* Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- . .

?Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, .
kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote wazuri ,Na wabaya hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. .

? Kadhalika ujauzito kuharibika ikiwa ni pamoja na kujifungua na kuachwa bila kusafishwa .

? Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms( kwa baadhi ya watu) na kufanya ngono zembe. . Hapa baada ya tendo la ndoa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata shida na mafuta ya condom . Hivyo wanapaswa kujisafisha sana .

? Pia *hormonal imbalance* ni chanzo moja wapo baada ya kusababisha uvimbe

*Dalili Za Ugonjwa Wa PID*

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa .
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri . .
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya .
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu .
5️⃣Uke kuwa laini sana hivyo Kupata michubuko kiurahisi wakati wa tendo la ndoa .
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa .
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi .
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi .
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa .
?Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

*Madhara Ya PID* •Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

PID inatibika na kupona Kwa haraka ukipata tiba sahihi na Ukifuata dose sahihi
*Mwanamke Ni Bora ukawa na shida nyingine yoyote Ila so PID* hii inauwezo wa kukuharibia maisha Yako kwa haraka sana.. Hivyo Ni Muhimu kutafuta suluhisho kwa haraka

20/04/2023

Mwanamke ukiwa mkavu kwanza wewe mwenyewe hufurahii tendo na yule mwenza pia hafurahii sasa kwanini usijitibie mapema ili mfurahie?? Kuna muda mwanaume ana kisirani tuu na ww ni kw sababu kila akija ana kuta mambo ya hovyo hebu jipende usiwe na harufu mbaya, uchafu wala miwasho na pawe na unyevu stahiki, ni pesa ndogo zitakupa afya njema ya mfumo wako wa uzazi na kufurahia mambo, sasa k**a wewe ni mwanaume na unaona mwanamke wako ana shida usikae kimya mwambie ukwel na kwa kuwa umekutana na mm njoo nikupe kitu matata itakayo saidia kubana kuta za uke wake pia hata k**a imekuwa mbaya inarud kwenye ubora wake wa mwanzo wa uschana, usione soooo karibu bf suma

Whtsap 0627808798
https://wa.me//255627808798

Maumivu ya Kiuno/ mgongo Kwa Mama Mjamzito ni kutokana na upungufu wa madini ya Calcium na Zinc ambayo yanatumika kwa wi...
15/03/2023

Maumivu ya Kiuno/ mgongo Kwa Mama Mjamzito ni kutokana na upungufu wa madini ya Calcium na Zinc ambayo yanatumika kwa wingi sana katika ukuaji wa mtoto tumboni
hasa zaidi kuimarisha mifupa viungo vyake.
Na mtoto huyo anapokua tumboni, Madini yanayotumika muda huo yanatoka kwa Mama. Hali hii inapelekea Mama Mjamzito kupungukiwa Madini Ya Calcium na Zinc ambayo hata kwake hufanya Kazi ya Kuimarish Mifupa Na Maungio

Ndio maana mjamzito anapata maumivu k**a hayo ya mgongo na wengine hata miguu, Hii Yote ni Kutokana na Upungufu wa Madini Ya Calcium. Na Zinc

Madini hayo yanapatikana kwa kiwango kidogo sana katika vyakula. Katika karne hii kutokana na hali halisi ya kilimo cha mazao kwa wakti huu

Hivyo Tunawashauri wajawazito kutumia Suppliment zenye zinc na calcium walau mara 4 ktk kipind cha ujauzito hasa mimba ikiwa na miez miwili na zaid kwaajiri ya kuongeza madini ya Calcium, na zinc baada ya hapo unakua Utaweza Kupona Changamoto Za Maumivu ya Kiuno/Mgongo/Miguu Wakati Wa Ujauzito

Karibu Usaidiwe📲 0627808798

Mwanamke ukiwa mkavu kwanza wewe mwenyewe hufurahii tendo na yule mwenza pia hafurahii sasa kwanini usijitibie mapema il...
30/01/2023

Mwanamke ukiwa mkavu kwanza wewe mwenyewe hufurahii tendo na yule mwenza pia hafurahii sasa kwanini usijitibie mapema ili mfurahie?? Kuna muda mwanaume ana kisirani tuu na ww ni kw sababu kila akija ana kuta mambo ya hovyo hebu jipende usiwe na harufu mbaya, uchafu wala miwasho na pawe na unyevu stahiki, ni pesa ndogo zitakupa afya njema ya mfumo wako wa uzazi na kufurahia mambo, sasa k**a wewe ni mwanaume na unaona mwanamke wako ana shida usikae kimya mwambie ukwel na kwa kuwa umekutana na mm njoo nikupe kitu matata itakayo saidia kubana kuta za uke wake pia hata k**a imekuwa mbaya inarud kwenye ubora wake wa mwanzo wa uschana, usione soooo karibu bf suma

Whtsap 0627808798
https://wa.me//255627808798

*MADHARA YA MATUMIZI YA P2*♦p2 ni dawa ya dharura (emergency contraceptive),inazuia mtu asipate Mimba kwenye mazingira a...
28/12/2022

*MADHARA YA MATUMIZI YA P2*

♦p2 ni dawa ya dharura (emergency contraceptive),inazuia mtu asipate Mimba kwenye mazingira ambayo amefanya s*x pasipo kupanga na yupo siku za hatari,au umelazimishwa kufanya s*x au umebakwa,ili kuzuia mimba zisizotarajiwa unalazima Kunywa hizi dawa.

♦Ni Dawa iliyotengenezwa kutumiwa mara chache tu ni pele inapokulazimu.Sio dawa unayotakiwa kutumia k**a njia ya uzazi wa mpango ya muda mrefu.

Kuna wanawake humeza p2 kila mwezi,hii haitakiwi. Katika mazingira ya kawaida,haipaswi kumezwa zaidi ya mara 3 kwa mwaka. Kuendekeza kila mwezi kunywa hizi p2 sio sahihi,Unatakiwa Utumie njia za Asili za kupanga Uzazi kwa muda Mrefu.

*🛑Baadhi ya madhara ya matumizi holela ya dawa hizi ni;*

🥕1.Unaweza kujisikia kichefuchefu au kutapika baada ya kumeza.

🥕2.Maumivu ya tumbo.

🥕3.Matiti kuuma na kujaa.

🥕4.Pia hedhi zako zinazofuata zinaweza zikawahi au zikachelewa au zikatoka nyingi sana( ukiona zimezidi siku 8 fika muone daktari) au ukawa unapata hedhi nyepesi sana,au pia haupati hedhi kabisa (amenorhoea).

🥕5.Kichwa kuuma na kizunguzungu.

🥕6.Mabadiliko ya Ute ukeni (change in cervical secretion) hapa unakuta Ute wa ovulation mtu hapati.

🥕7.Kupata maambukizi ukeni (vaginal infections).

🥕8.Hatari ya kupata PID.

🥕9.Maumivu wakati wa s*x(dyspareunia).

🥕10.Mama anakuwa hatarini kutungisha mimba nje ya kizazi yaani ectopic pregnancy.

🥕11.Pia kuna wanawake hupata vivimbe kwenye mfuko wa mayai.

🧄Kuna sababu hapo juu k**a PID,kutopata UTE,maambukizi kwenye uke hupelekea mwanamke kupata taabu kwenye Kupata mimba.

Tatuua hizo changamoto za P2 kwa kutumia Detoxlive bidhaa bora ya Detoxfication
0627808798

27/12/2022

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA KUSAGANA?

JE UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO HIYO KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO?
+255782720269

Maumivu makali kwenye magoti

Magoti kushindwa kujikunja

Kusikia milio ya magoti kusagana

Kushindwa kuinama
kusikia ganzi kwenye miguu

Mifupa kusagana
maumivu kwenye maungio (joints)

Kiuno kuuma
mgongo kuuma
pingili za vidole kuvimba (gout)

JE ULIFANYIWA UPASUAJI NA KUWEKEWA VYUMA ILA BADO MAUMIVU NI MAKALI SANA NA MIFUPA BADO INASAGANA ?

HUNA HAJA YA KUHANGAIKA TENA TUNAYO SULUHU YA CHANGAMOTO HIYO AMBAY ITAONDOA KABISA CHANGAMOTO YAKO YA MUDA MREFU YA MIFUPA NA HAITOJIRUDIA TENA

SABABU KUU INAYO SABABISHA CHANGAMOTO HIZI NI K**A !

-Ajali
-Uzito ulipindukia
-kutumika kwa viungo kupita kiasi mfano wanamichezo
-Historia ya familia
-Umri (30+)

NB: NAKUPATIA OFFER YA PACKAGE YA MWEZI MMOJA KWA TSH 230000/=
BADALA YA TSH 290000/=
KWA WATU 6 TU MAANA NDIO PACKAGE ZILIZOSALIA SO USIHANGAIKE NA KUFANYA UPASUAJI SULUHISHO LA KUDUMU LIPO

Wasiliana nasi
WhatsApp au Simu kawaida
+255627808798
+255699704204
NB: SULUHISHO NI LA KUDUMU
KARIBU TUKUHUDUMIE

🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*👉🏻Usumbufu wa hedhi👉🏻Kuumwa kichwa mara mara👉🏻Kizunguzungu👉🏻Kichefuchefu👉🏻Kuongeze...
24/12/2022

🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*

👉🏻Usumbufu wa hedhi
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kizunguzungu
👉🏻Kichefuchefu
👉🏻Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
👉🏻Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)

🔴 *MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA*

👉🏻Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe
👉🏻Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kupata kichefuchefu
👉🏻Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
👉🏻Kubadilisha mwenendo wa damu
👉🏻Kuliathiri ini kidogo kidogo
👉🏻Kupata kisukari
👉🏻Kupata ugonjwa wa moyo
👉🏻Kupooza upande mmoja wa mwili.
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

*🔴MADHARA YA KIJITI*

👉🏻Husababisha saratani za aina mbali mbali
👉Kuchanganyikiwa kiakili
👉🏻Shinikizo la damu
👉🏻Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
👉🏻Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
👉🏻Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa

*🔴MADHARA YA KITANZI*

👉🏻Utokaji ovyo wa damu
👉🏻Kutoboka fuko la uzazi
👉🏻Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
👉🏻Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
👉🏻Kuondoa hamu tendo la ndoa.

K**a umeshaathirika na moja Kati ya njia hizi karibu nikusaidie

0627808798

PELVIC INFLAMMATORY  DESEASE'(PID)0627808798PID ni maambukizi katika via vya uzazi,maambukizi haya huwa sugu na huchukua...
22/12/2022

PELVIC INFLAMMATORY DESEASE'(PID)
0627808798
PID ni maambukizi katika via vya uzazi,maambukizi haya huwa sugu na huchukua mda kupona endapo atashindwa kujitibia kwa muda muafaka

VISABABISHI
ugonjwa huu husababishwa
*kufanya ngono bila kinga
*kusafisha kizazi mara kwa mara
*matumizi ya kemikali kujisafishia ukeni mfano sabun n.k
*matumizi ya njia ya uzazi wa mpango mf. kitanzi
*kutoa mimba
*matumiza ya antibiotics ya mara kwa mara ambayo kimsingi huua bakteria wanaolinda uke kushambuliwa na magonjwa

DALILI
Baadhi ya wanawake dlili huwa mbaya na wengine huwa za kawaida
*kuwashwa sehemu za siri
*uke kutoa harufu mbaya
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
*Sehemu za uke kuwa laini sana
*Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
*Kukosa hamu ya tendo la ndoa
*hedhi kuvurugika
*Kutokwa majimaji ukeni yasiyo ya kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani
*Maumivu wakati wa choo,kukojoa
*Homa, uchovu, kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
*Wakati mwingine kutokwa usaha

MADHARA
*Ugumba
*Kansa ya shingo ya kizazi
*Mirija ya uzazi kuziba
*Kujaa maji kwenye mirija ya uzazi
*Kukosa ute wa ovulation unaoashiria siku za hatari
*Majeraha kwenye kizazi

TIBA
Zipo tiba nyingi hospitali za matatizo haya.Ila wanawake wengi wanaripotiwa kujirudiarudia kwa tatizo hili kila mara na kuleta maudhi. Hivyo tunakushauri kutumia TIBA LISHE (SAYANSI YA VYAKULA) ILI KUTOKOMEZA KABISA TATIZO HILI LISIJIRUDIE TENA
*Bidhaa zetu ni imara na uimara wake unaeleweka tangu 2012 hadi leo ziko sokoni ikimaanisha zinapatikana na zinatatua changamoto

https://chat.whatsapp.com/Kk4UDdG8CvqA6meE2v0G0j

WhatsApp Group Invite

20/12/2022

🔻JE WAJUA NINI MAANA YA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI? JIFUNZE SASA, SABABU, DALILI, MADHARA, NA TIBA 🔻

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake.
▪️CERVIX hali ambayo hujulikana k**a cervicitis,
▪️ ENDOMETRIUM kitabibu huitwa endometritis,
▪️ FALLOPIAN TUBES kitabibu k**a salpingitis.

🔻 P. I. D HUSABABISHWA NA NINI? 🔻

Aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID,
▪️ Neisseria Gonorrhoeae
▪️Chlamydia trachomatis
ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke huambukizwaje PID?

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

▪️Kufanya ngono isiyo salama
▪️Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
▪️Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)
▪️Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango, na
▪️Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.
🔻DALILI ZA PID NI ZIPI 🔻

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni

▪️ maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu
▪️Kupata maumivu ya mgongo
▪️Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. ▪️harufu mbaya sehemu za siri
▪️Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
▪️Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪️Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
▪️Kupata homa

🔻VIPIMO VYA PID🔻

Ili kuweza kutambua k**a mwanamke ameambukizwa ugonjwa huu, tabibu anaweza kufanya vipimo kadhaa vikiwemo

▪️Kuchunguza mkojo
▪️Kupima damu
▪️Kuchukua utando unaozunguka shingo ya uzazi
▪️Mgonjwa pia anaweza kufanyiwa ultrasound ya nyonga ili kuangalia k**a kuna athari yeyote katika mfumo wake wa uzazi.

🔻MATIBABU YA P. I. D🔻
Matibabu ya ugonjwa huu yanapatikana na ugonjwa unaisha kirahis ikiwa umepata dose sahihi.

0627808798

0627808798 kupata hii suluhisho
10/11/2022

0627808798 kupata hii suluhisho

Address

Nyegezi
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA KWA AKINA MAMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA KWA AKINA MAMA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram