
15/05/2024
JE..? WAJUWA....?
Kula vitunguu mara kwa mara kunaweza kupunguza kiwango chako cha cholesterol Katika mishipa ya damu.
Na kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (stroke) pamoja na saratani.
NB: Unaweza kukitafuna kibichi au k**a kiungo chenye ladha katika milo yako.