21/11/2022
JE UNAUPENDA MWILI AU AFYA YAKO"
Sumu kwenye mwili wako, ndicho kinachofanya uumwe,
K**a sumu zingekuwa hazipo kwenye mwili wako sasa hakuna mtu angekuwa mgonjwa...
Mithili ya panya aliyelishwa chakula chenye sumu hukosa mwelekeo, hali mwili hupoteza nguvu na kuhema kwa taabu hadi pale sumu humzidia nguvu na kuanguka chini na kufa...
K**A UNAUPENDA MWILI WAKO BASI KUWA NA UTARATIBU WA KUONDOA SUMU MWILINI MWAKO MARA MOJA KWA MWEZI
JE UNAFAHAMU MADHARA YA KUWA NA SUMU MWILINI
Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.
ipo programu maalum ya DETOXIFICATION (KUONDOA SIMU MAWILI) kwa kutumia tiba za virutubisho lishe bora na asili
FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI/KUFANYA DETOX👇👇👇
01. MZUNGUKO WA DAMU
(KISUKARI,PRESSURE & CHOLESTEROL, UZITO,KUMBUKUMBU )
✓ Detox Huboresha mzunguko wa Damu mwilini, kuzibua mishipa midogo midogo ya Damu na hivyo kusaidia matibabu ya magonjwa ya Pressure na dalili Zake.
✓Husaidia kuzuia unyonywaji na kuongeza uyeyushwaji wa Mafuta, kupunguza glucose mwilini hivyo kusaidia matibabu ya Kisukari na cholesterol.
✓HUTIBU DALILI K**A
Ganzi, Maumivu ya Viungo, Kizunguzungu, Uchovu wa Mwili, Maungio kukakamaa nk.
02. MISHIPA YA FAHAMU (KUSAHAU, KUPOTEZA KUMBUKUMBU,MATATIZO YA MACHO)
✓Detox huboresha utendaji kazi wa mishipa ya Fahamu, na usafirishwaji wa taarifa hivyo kutibu Tatizo la kusahau na Kupoteza kumbukumbu
✓Huboresha mishipa ya macho, Kuondoa ukungu machoni na kutibu Matatizo ya uoni (Kutokuona na Maumivu ya macho)
✓Hutibu Matatizo ya kichwa kuuma Mara kwa Mara.
03. SARATANI
✓Husaidia kuzuia na kutumika kwenye matibabu ya Saratani haswa ya Tezi Dume na Saratani ya Matiti.
04. UZAZI (MENOPAUSE NA NGUVU ZA KIUME)
✓Huboresha Nguvu za kiume na pia kusaidia Kuondoa Matatizo Wakati wa ukomo wa hedhi kwa wanawake (MENOPAUSE)
05. NGOZI NA NYWELE
✓Huboresha muonekano