14/08/2022
*FIBROIDS INATIBIKA BILA UPASUAJI/DAWA(BADO MWANAMKE HUJAPATA NJIA/TIBA MMBADALA YA TATIZO HILO)*
Na Dr Victoria 0654498254
*FIBROIDS/ UTERINE FIBROIDS/MYOMAS NINI?*
Ni uvimbe wa misuli laini wenye mizizi ya kuiunganisha na kukua kwenye uterus.
Fibroids ni aina ya uvimbe unaoonekana kwa wingi zaidi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.
Uvimbe wa fibroids unakuwa na ukubwa tofauti tofauti, unaweza kuwa mdogo k**a haragwe na kuongezeka ukubwa taratibu.
*CHANZO CHA FIBROIDS*
Sababu hasa za kuota kwa fibroids katika viungo vya uzazi vya mwanamke bado hazieleweki vizuri ingawa inaamika kwamba kila uvimbe wa fibroid unatokana na seli ya misuli wa uterus ambayo imeamua kuwa na tabia ya tofauti na nyingine na ikaanza kukua kwa haraka ikichangiwa na uwepo wa homoni ya estrogen.
Wanawake wanaokaribia kufikia ukomo wa kupata siku zao za mwezi wanaonekana kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata fibroids kwa sababu ya kuwa wameishi na homoni ya estrogen kwa muda mrefu zaidi.
*DALILI ZA FIBROIDS*
Wanawake wengine wenye uvimbe wa fibroids huwa hawaoni dalili zo zote zile (wengi hawajui k**a wana fibroids) au kuona dalili kidogo na kwa wengine dalili hizi hujitokeza sana na kuwasumbua hadi kufikia kutafuta tiba.
Baadhi ya dalili za fibroids ni;
*Kutokwa na damu kwa wingi wakati wa siku za periods au kutokwa na damu kwa muda mrefu
*Kutokawa na damu kusiko kwa kawaida katikati ya siku za mwezi
*Mauvimu ya nyonga (uvimbe kugandamiza kwenye viungo vya nyonga)
*Kupata haja ndogo mara kwa mara
*Maumivu ya mgongo
*Maumivu wakati wa tendo la ndoa
*Upungufu wa damu kwa sababu ya kutokwa na damu kwa wingi wakati wa siku za periods
*Maumivu ya kichwa
*Maumivu kwenye miguu
* Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo (Fibroids kubwa)
*Uzazi wa shida
*Mimba za shida
*Kutopata mimba
* Kutoka kwa mimba mara kwa mara
*AINA ZA FIBROIDS*
*Intramural Fibroids*
Fibroids aina hii hukua kwenye kuta za uterus. Hii ndiyo aina ya fibroids inayowapata wanawake wengi.
*Subserosal fibroids*
Fibroids aina hii hukua nje ya kuta za uterus na huweza kuwa na shina. Hii huweza kukua na kuwa kubwa sana.
*Submucosal fibroids*
Fibrioids ainahii huota na kukua kwenye misuli chini ya ngozi laini ya kuta za uterus.
*Cervical fibroids*
Fibroids aina hii hujenga kwenye shingo ya tumbo la uzazi (Cervix).
*TIBA/DAWA ZA FIBROIDS*
K**a mwanamke hapati usumbufu wa namna yo yote katika shughuli zake za kawaida, anaweza asipewe tiba ya aina yo yote hata k**a imegundulika kuwa ana uvimbe wa fibroid kwa sababu mwanamke anapokaribia kukoma hedhi fibroids hunyauka zenyewe na mara nyingine kutoweka kabisa.
Endapo Tiba/Dawa imekuwa ni ya lazima, anaweza kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kutokana na hali iliyopo.
*Tiba zaa Fibroids Kwa Kutumia Dawa*
(a) Dawa aina ya GnRHA
Tiba kubwa ya fibroids ni kwa kutumia dawa aina ya GnRHA (gonadotropin released hormone agonist) ambayo hutolewa k**a sindano. Dawa hii huufanya mwili wa mwanamke upunguze utengenezaji wa estrogen hivyo kusababisha fibroids kunyauka.
(b) Tranexamic acid, vidonge vya kuzuia maumivu, vidonge vya kuzuia mimba (kuzuia mwanamke asipate siku) na
(c) LNG-IUS (Levonorgestrel intrauterine system) ambacho ni kifaaa cha plastiki kinachowekwa kwenye uterus.
*Tiba Ya Fibroids Kwa Upasuaji na Madhara yake*
K**a dawa zimeshindwa kufanya kazi, mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa moja ya njia zifuatazo;
*Hysterectomy*
Kuondoa uterus. Hii hufanywa pale fibroids zinapokuwa kubwa sana au pale ambapo mgonjwa anatokwa na damu nyingi sana.
*MADHARA YAKE*
Upasuaji huu una madhara ya aina mbili:
*Myomectomy*
Fibroids kuondolewa kutoka wenye ukuta wa uterus. Hii hufanyika pale ambapo mgonjwa anapenda kuendelea kuzaa.
*Endometrial ablation* Kuondoa wa ngozi laini ya ndani ya uterus.
*Uterine Artery Embolization(UAE)*
Hii ni kuzuia fibroids zisipate damu na hivyo kunyauka. UAE hufanywa kwa fibroids kubwa.
*Magnetic-resonance-guided percutaneous laser ablation* Sindano nyembamba hupenyezwa kupitia ngozi hadi kulifikia fibroid. Fibroid humulikwa na mionzi ya laser kupitia waya fiber-optic uliopitishwa kwenye sindano na kulinyausha Fibroid.
*Magnetic-resonance-guided focused ultrasound surgery* Kifaa maalumu hutumika kugundua eneo la fibroid, kisha mawimbi ya sauti huelekezwa kwenye fibroid. Mawimbi hayo hulinyausha fibroid.
*MADHARA YA NJIA YA UPASUAJI NA DAWA*
1:Kupunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa.
2:Kukoma hedhi mapema
3:Kuondoa kizazi
4:Kutopata uwezekano wa kuzaa k**a kizazi kikiondolewa
5:Fibroids kujirudia jirudia kila baada ya muda fulani
6:Maumivu wakati wa tendo la ndoa na periods kutokuwa na muda maalumu au kutoeleweka..
7:Kumaliza kinga,virutubisho,vitamins na madini mwilini kutokana na utumiaji wa dawa za fibroids hupekea mwili kuwa na sumu na kusabisha mwili kusambuliwa na magonjwa mengine(Sides effects za dawa)
*NJIA SAHIHI NA SALAMA Kwa kutumia dawa yetu za asili*
Njia hii ni Salama kabisa kwa kutumia tiba asili na maalumu kwa ajili ya kuyenyusha fibroids,kuweka sawa mfumo mzima wa afya ya uzazi ya mwanamke,kubalance au kuweka sawa homoni za uzazi nakulinda afya ya mwanamke kwa ujumla...
Ndugu msomaji na hasa mwanamke
Katika Nakala yangu uweza pata kujifunza fibroids ni nini, chanzo cha fibroids, dalili zake, aina za fibroids na tiba kwa njoa za dawa na upasuaji zinazotumika kuondoa fibroids na mwisho madhara ya dawa na upasuaji.
Matarajio yangu umeielewa vizuri mada hii,
Ewe mwanamke au mwanaume/baba una mke au mwanamke bado hajapata njia sahihi ya Tatizo hili la Fibroids au amepata Dawa na hata upasuaji tatizo lipo bado angalia njia mmbada ya *TIBA ASILIA*
Kwa maelezo ya Tiba usisite kuwasiliana nasi kwa namba
*0654498254 Tigo*
*0624421594 halopesa*
Piga simu au tuma ujumbe kwa text au whatsapp
*MWANAMKE JALI AFYA YAKO YA UZAZI*