Nyamila Herbal Clinic

Nyamila Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nyamila Herbal Clinic, Medical and health, Nyehunge, Mwanza.

NYAMILA HERBAL CLINIC 🌿
Elimu ya Afya, Mahusiano, Ushauri Bure na Tiba kwa magojwa yote yasioambukizi yenye uhakika wa matokeo na yaharaka.

πŸ‘¨β€βš•οΈ Dr. James Nyamila
πŸ’Š Afya kwa mimea tiba
πŸ“ Maswa & Mwanza
πŸ“ž +255 714 538 903 & +255743 824 015

🚨 TAHADHARI KWA KILA MWANAUME NA MWANAMKE! USIPUUZE HILI…Je, unajua kuwa siku hizi matatizo ya uzazi yameongezeka sana k...
03/05/2026

🚨 TAHADHARI KWA KILA MWANAUME NA MWANAMKE! USIPUUZE HILI…

Je, unajua kuwa siku hizi matatizo ya uzazi yameongezeka sana kuliko zamani?
Na jambo la kushangaza zaidi ni kwamba… watu wengi wanachangia wenyewe bila kujua! 😳

πŸ‘‰ Ukweli ni huu:
Matatizo mengi ya uzazi yanatokana na mambo haya manne makuuπŸ‘‡

πŸ”΄ 1. Mtindo mbaya wa maisha

- Ulaji wa hovyo, vyakula vya mafuta na sukari nyingi
- Kutofanya mazoezi
- Pombe na sigara
➑️ Haya yote yanaharibu ubora wa mbegu za kiume na mayai ya mwanamke kimya kimya

πŸ”΄ 2. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs)

- Kisonono, klamidia n.k
- Mara nyingi hayana dalili mapema
➑️ Husababisha kuziba kwa mirija ya uzazi na kuharibu mbegu

πŸ”΄ 3. Mabadiliko ya homoni

- Stress, kisukari, matatizo ya tezi
- Huvuruga mzunguko wa hedhi
➑️ Mwanamke hashindwi kupevusha mayai vizuri

πŸ”΄ 4. Kuchelewa kupata watoto

- Wanawake wengi wanachelewa kupata mimba
➑️ Ukweli: ubora wa mayai hupungua kadri umri unavyoongezeka

😒 Watu wengi hugundua matatizo haya wakati tayari mambo yameharibika

━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

βœ… USHAURI MUHIMU
βœ”οΈ Badilisha mtindo wa maisha mapema
βœ”οΈ Pima afya yako ya uzazi kabla ya kuchelewa
βœ”οΈ Epuka ngono zembe
βœ”οΈ Tafuta ushauri sahihi wa kitaalamu

━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

πŸ₯ NYAMILA HERBAL CLINIC
πŸ‘‰ Tunatoa huduma za:
βœ”οΈ Ushauri wa afya ya uzazi
βœ”οΈ Tiba asili salama
βœ”οΈ Elimu ya lishe na homoni
βœ”οΈ Matatizo ya nguvu za kiume na uzazi kwa ujumla

πŸ“ Ofisi zetu:
MASWA – SIMIYU
NYEHUNGE BUCHOSA MWANZA.

πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255 714 538 903
+255 743 824 015

πŸ“² WhatsApp pia zinapatikana kwenye namba hizo

━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

πŸ’¬ USISUBIRI MPAKA IWE TATIZO KUBWA!
Afya yako ya uzazi ni mtaji wa maisha yako.

πŸ‘‰ Chukua hatua leo… kesho inaweza kuwa imechelewa!

πŸ“’ UHALISIA WA MAHUSIANO – KWA NINI WANAWAKE WENGI WANASHINDWA KUOLEWA SIKU HIZI?Je, umewahi kujiuliza πŸ€”Kwa nini wanawake...
30/04/2026

πŸ“’ UHALISIA WA MAHUSIANO – KWA NINI WANAWAKE WENGI WANASHINDWA KUOLEWA SIKU HIZI?

Je, umewahi kujiuliza πŸ€”
Kwa nini wanawake wengi wanatamani kuolewa… lakini ndoa zimekuwa ngumu kupatikana?

πŸ‘‰ UKWELI NI HUU:
Sio wanawake tu wanakosea, wala sio wanaume pekee β€”
Jamii nzima imebadilika!

---

πŸ’” SABABU KUU ZINAZOCHANGIA:
βœ”οΈ Matarajio makubwa kupita uhalisia
βœ”οΈ Mahusiano ya muda mrefu yasiyo na mwelekeo
βœ”οΈ Wanaume wengi kuogopa majukumu ya ndoa
βœ”οΈ Kuathiriwa na maisha ya mitandaoni (fake life)
βœ”οΈ Maumivu ya mahusiano yaliyopita

---

⚠️ WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA:
❌ Kukaa kwenye relationship isiyo na future
❌ Kuchagua kwa hisia badala ya uhalisia
❌ Kujitoa sana mapema bila uhakika wa ndoa
❌ Kuwa na standards zisizoendana na uhalisia
❌ Kugeuza Mahusiano k**a njia ya kujipatia kipato na sehemu yakumalizia Matatizo yake yote kwa wakati mmoja

---

πŸ’‘ USHAURI MUHIMU:
βœ”οΈ Jua unachotaka mapema (ndoa au kupita tu)
βœ”οΈ Chagua mtu mwenye maono, sio maneno matamu
βœ”οΈ Jithamini lakini uwe realistic
βœ”οΈ Usipoteze muda kwenye mahusiano yasiyo na mwelekeo
βœ”οΈ Ishi maisha yako isige maisha ya watu wengine, hasa mtandaoni watu wengi wanafake maisha.

---

🌿 NYAMILA HERBAL CLINIC
Tunakusaidia sio tu afya ya mwili… bali pia
πŸ‘‰ Ushauri wa maisha na mahusiano
πŸ‘‰ Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume

πŸ“ž Wasiliana nasi:
0714 538 903
0743 824 015

πŸ“ Ofisi zetu:
Maswa – Simiyu
Nyehunge – Buchosa, Mwanza

---

πŸ’¬ Ujumbe wa leo:
β€œNdoa si bahati… ni maandalizi sahihi na maamuzi sahihi.”

πŸ‘‰ Share ili kuwasaidia wengine kupata uelewa sahihi

29/04/2026
πŸ“’ ELIMU YA AFYA YA UZAZI – WANAWAKE NA WANAUME SOMENI HIIJe, umewahi kuona shahawa zinatoka nje mara baada ya tendo la n...
29/04/2026

πŸ“’ ELIMU YA AFYA YA UZAZI – WANAWAKE NA WANAUME SOMENI HII

Je, umewahi kuona shahawa zinatoka nje mara baada ya tendo la ndoa na ukahisi kuna tatizo? πŸ€”

πŸ‘‰ Ukweli ni huu:
Hali hii ni ya kawaida kabisa kwa wanawake wengi. Shahawa huwa na majimaji mengi, na si yote yanayobaki ndani β€” sehemu yake hutoka nje baada ya tendo.

⚠️ USIWE NA HOFU
Hata k**a unaona zinatoka, mbegu za uzazi (s***m) tayari huwa zimeanza safari yake kwenda kwenye mfuko wa uzazi.

πŸ’‘ Ushauri muhimu kwa mwanamke:
βœ”οΈ Lala chali kwa dakika 15–30 baada ya tendo
βœ”οΈ Epuka kusimama haraka mara baada ya tendo
βœ”οΈ Fanya mazoezi ya kubana misuli ya uke (Kegel)
βœ”οΈ Hakikisha huna maambukizi ya uke

🚨 Wahi kupata ushauri wa kitaalamu k**a:
❌ Umekuwa ukijaribu kupata mimba bila mafanikio
❌ Unapata maumivu au dalili zisizo za kawaida

🌿 NYAMILA HERBAL CLINIC
Tunatoa huduma za:
βœ… Tiba asili na mbadala
βœ… Ushauri wa afya ya uzazi
βœ… Matibabu ya changamoto mbalimbali za wanawake na wanaume

πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255714538903
+255743824015

πŸ“ Ofisi zetu:
Maswa – Simiyu
Nyehunge – Buchosa, Mwanza

πŸ’¬ Afya yako ni jukumu letu – usikae na tatizo kimya!



🚨 MAUMIVU YA MGONGO SI KAWAIDA!Watu wengi wanatembea na maumivu ya mgongo kila siku wakidhani ni uchovu wa kawaida… LAKI...
27/04/2026

🚨 MAUMIVU YA MGONGO SI KAWAIDA!

Watu wengi wanatembea na maumivu ya mgongo kila siku wakidhani ni uchovu wa kawaida… LAKINI ukweli ni kwamba inaweza kuwa dalili ya tatizo kubwa zaidi mwilini.

❗ DALILI HATARI: βœ” Maumivu yanashuka mpaka mguuni
βœ” Ganzi au kuchomachoma miguu
βœ” Maumivu makali usiku
βœ” Kushindwa kunyooka au kusimama vizuri

⚠ USIPOPATA MATIBABU MAPEMA unaweza kuja kupata matatizo makubwa zaidi.

πŸ’Š KATIKA NYAMILA HERBAL CLINIC tunasaidia: βœ” Kupunguza maumivu ya mgongo
βœ” Kutibu chanzo cha tatizo
βœ” Kuimarisha misuli na neva

πŸ“ Tupo: Maswa – Simiyu
Nyehunge – Buchosa, Mwanza

πŸ“ž Piga simu/WhatsApp: +255 714 538 903
+255 743 824 015

πŸ‘‰ Usivumilie maumivu – tafuta suluhisho mapema!

27/04/2026

Tupo tayari kukuhudumia kwa sababu, bila wewe sio sisi. James Nyamila

Tupo tayari kukuhudumia kwa sababu, Bila wewe sio sisi, NYAMILA HERBAL CLINIC "Tunathamini afya yako"
27/04/2026

Tupo tayari kukuhudumia kwa sababu, Bila wewe sio sisi, NYAMILA HERBAL CLINIC "Tunathamini afya yako"

PUNGUZO LA BEI KWA BIDHAA NA HUDUMA ZETU ZOTE πŸ”₯πŸ”₯.πŸ“Œ Hii ni kwa wateja wetu wote, pata punguzo la bei ya Huduma na bidhaa ...
24/04/2026

PUNGUZO LA BEI KWA BIDHAA NA HUDUMA ZETU ZOTE πŸ”₯πŸ”₯.

πŸ“Œ Hii ni kwa wateja wetu wote, pata punguzo la bei ya Huduma na bidhaa zetu hadi punguzo la 20%.

TUNAPATIKA.

πŸ“Maswa Simiyu na
πŸ“ Nyehunge Buchosa Mwanza.

WASILIANA NASI

πŸ“ž 0714 538 903
πŸ“ž 0743 824 015




NJIA ZA ASILI ZA KUPANGA UZAZILeo nitazungumzia njia ambazo ni rahisi za asili za kupanga uzazi. Lakini kitu Cha kujiuli...
23/04/2026

NJIA ZA ASILI ZA KUPANGA UZAZI

Leo nitazungumzia njia ambazo ni rahisi za asili za kupanga uzazi. Lakini kitu Cha kujiuliza, Kwanini tunasema hizi ni njia asili-natural contracepives? Ni kwa sababu hazibadili mpangilio wa homoni au vichocheo kwenye mwili. Badala yake njia hizi zinamwongoza mke na mume kutofanya ngono wakati yai limepevuka.

Yani lengo ni kutoruhusu mbegu ikalifikia yai lililokomaa kurutubishwa. Ni muhimu sana kufatilia kwa ukaribu viashiria vyote vya yai kupevuka.

Kikawaida yai hutolewa kila baada ya siku 14 kabla ya hedhi ijayo. Hapo kwenye siku 14 toa siku mbili nyuma au ongeza siku mbili mbele. Lakini kwasababu yai linaweza kuishi mpaka siku 3 au 4 baada ya kutolewa na mbegu inaweza kuishi siku mbili mpaka tano, kufanya mahesabu vizuri inabidi uzingatie kwa week na siyo kwa siku.

Njia asili za kupanga uzazi zinafanya kazi kwa asilimia mpaka 98, lakini zinataka ufatiliaji wa kila siku na kujicontrol hisia zako.

πŸ‘‰ Njia ya kwanza ni calender

Hii inawafaa zaidi wenye mzunguko mzuri. Ni topic ndefu inayohitaji kusoma taratibu na kuelewa. Ni zoezi ambalo laweza kuchukua miezi miwili mpaka miezi 4 kulifatilia na kulizoea, kwani yatakiwa kurekodi na kufatilia matukio na mabadiliko yote ya mwili wako.

Hatua kwa hatua za kufatilia kalenda
Kwa miezi 8 mpaka 12, rekodi siku ambayo unaanza hedhi na uhesabu siku zote za kila mzunguko. Siku ya kwanza ni ile unayoanza hedhi katika mwezi husika na hesabu mpaka siku unayoanza hedhi katika mwezi mwingine hapo mzunguko mmoja utakuwa umekamilika
Rekodi mzunguko mfupi na mzunguko mrefu zaidi katika ufuatiliaji wako. Kupata siku yako ya kwanza ya hatari, chukua namba ya mzunguko mfupi zaidi toa 18, mfano mzunguko wako mfupi ni siku 27-18 inabaki 9.
Kupata siku yako ya mwisho ya hatari kwenye mzunguko, chukua siku za mznguko wako mrefu toa 11. Mfano mzunguko wako mrefu ilikuwa siku 30-11 inabaki 19.Katika mahesabu hapo juu ni kwamba siku kati ya mzunguko mfupi na mrefu ndizo siku zako za hatari, kwa maaana ya kuanzia siku ya 9 mpaka siku ya 19 ndizo siku zako za hatari.
K**a unataka usishike mimba basi usifanye ngono siku ya 9 ya hedhi mpaka siku ya 19, au utumie condomu.

πŸ’₯ NJIA HII HAUWEZI UKAITUMIA MZUNGUKO WAKO WA HEDHI UKIWA UMEVULUGIKA. KWA USHAURI TUPIGIE 0743 824 015

πŸ‘‰ Kufatilia joto la mwili-Basalm metabolic rate.

Joto la mwanamke hushuka masaa 12 mpaka 24 kuelekea mda wa ovulation, baada ya hapo joto huongezeka tena baada ya ovulation. Tukisema ovulation maana yake muda wa yai kutolewa kwenye kikonyo chake na kuwa tayari kwa urutubishaji. Kupima joto kwa tumia kipimajoto maalumu kinachopatikana famasi. na upime kila siku asubuhi kabla ya kuamka. Kutumia joto la mwili k**a njia ya kujua siku za hatari, mwanamke anatakiwa asifanye ngono kwenye siku ambazo joto linashuka. Utasubiri masaa 48 mpaka 72 baada ya joto kupanda ndipo ufanye tendo.

πŸ‘‰ Kufatilia ute wa uzazi.

ute wa mimba

Njia hii ya ute inataka kufatilia mabadiliko ya uteute kwenye uke katika siku tofauti za mzunguko wako. Mwanamke atazalisha ute mwingi laini, unaovutika k**a yai kwenye siku za hatari. Sasa wewe k**a mwanamke unatakiwa ujifunze kufatilia na kutofautisha ute huo kwa kutumia vidole viwili. Ingiza ukeni taratibu kisha fanya k**a unavuta kuona k**a unavutika. K**a hutaki kushika mimba basi usifanye kabisa tendo kwa siku 3 mpaka 4 tangu uone huo ute ute wa kuvutika.

πŸ‘‰ Ovulation Kits

kipimo cha kufatilia ovulation
Mwanamke anaweza kutumia vifaa malumu vya kufatilia yai kupevuka. Vifaa hivi vina mfanano na kipimo cha mimba cha mkojo ya UPT. Vipimo hivi vinaangalia kiwango cha homoni ya lutenizing(LH) kwenye mkojo. Homoni ya lutenizing inaongezeka masaa 20 mpaka 48 kabla ya ovulation. Vifaa vya kupima vinapatikana kwenye famasi, unaweza kununua package yako ukaweka ndani.

Utaanza kupima siku mbili mpaka tatu kabla ya siku ambazo unafikiri yai linakarbia kutolewa. Kipimo hichi k**a ilivyo kwa kile cha UPT, kinapima mkojo na kunyesha rangi nyekundu. K**a yai limeshatolewa mistari mwili iliyokolea itatokea, na k**a bado mstari utakuwa mmoja mwekundu. K**a ovulation imekaribia basi mstari utakuwa umepauka.

Vipimo hivi kwa kiasi kikubwa hutumika kufatilia yai kupevuka ili mwanamke aweze kushiriki apate mimba, lakini unaweza kuvitumia pia kupanga uzazi ili usishike mimba mapema wakati hujatarajia.

πŸ‘‰ Withdraw method (kuchomoa uume kabla mbegu hazijatoka)

Withdraw inahitaji mwanaume kutoa uume haraka kabla mbegu hazijatoka wakati wa tendo. Changamoto ya njia hii ni kwamba wanawaume wachache wanaweza kujizuia na wakatoa uume nje kwasababu ya hisia kali na utamu wa kufika kileleni. Lakini pia mbegu kidogo zinaweza kutoka wakati mwanaume anakarbia kilele na zikasababisha mimba. Njia hii ina ufanisi wa asilimia 75 mpaka 80 katika kuzuia mimba.

πŸ‘‰ Lactational infertility.

Njia hii inamaanisha kwamba unapokuwa unanyonyesha mayai yanakuwa hayapevuki kwahivo mimba haitaingia. Wanawake wanaonyonyesha, mayai huanza tena kupevuka week 10 mpaka 12 baada ya kujifungua. Katika miezi sita ya kwanza ambapo mtoto ananyonya pasipo kula chakula kingine, njia hii inakuwa na ufanisi zaidi.

Mtoto yatakiwa anyonye walau kila baada ya masaa ma4 na usipitishe zaidi ya masaa sita bila kumnyonyesha mtoto. Hakikisha unatumia njia hii miezi 6 tu ya mwanzo baada ya kujifungua. Faida zake ni kwamba huhitaji kutumia kinga yoyote wala njia yoyote ya kemikali ili kuzuia mimba,badala yake ni kunyonyesha tu ipasavyo.

Njia hii siyo ya uhakika kutumika pasipo kuzingatia njia zingine hasa baada ya miezi 6 kuisha na mtoto kuanza kula. Mwanamke anayenyonysha anaweza kushika mimba pale mtoto akipunguziwa ratiba ya kunyonya kwa siku.

πŸ‘‰ Kuosha uke na kukojoa baada tu ya tendo

Njia hii inahitaji mwanamke kila anapomaliza tendo kwenda haraka washroom na kuchuchumaa kisha kunawa na kutoa mbegu na uchafu wote ukeni. Wanawake wengi pia husimama haraka na kukojoa ili mbegu zitoke nje kabla ya kulifikia yai. Njia hizi hazina uhakika hivo hakikisha unatumia na njia ingine kuzuia mimba.

πŸ‘‰ Kutofanya kabisa tendo

Hapa mwanamke na mwanaume wanaweza kuamua kutokutana kabisa ili kuepuka mimba. Hii ndio njia pekee yenye uhakika wa asilimia mia kukukinga usishike mimba ambayo hujatarajia. Jambo ambalo ni gumu sana kufanyika ni vyema zaidi ukatumia njia nilizozitaja hapo juu

πŸ’₯ Endapo umeathiriwa na njia za uzazi wa mpango za kitalaamu k**a sindano, njiti, kitanzi au vidonge na utahitaji maelezo zaidi na ushari basi bofya kitufe kilichoandikwa WhatsApp hapo chini mkono wako wa kulia.

πŸ’₯ Tunapatika NYEHUNGE BUCHOSA na MASWA SIMIYU. pia tunatuma Dawa Kwa njia ya basi zitakufikia popote pale ulipo Tanzania ndani ya masaa 48 tu

Kwa mawasiliano tupigie

☎️ 0714538903 & 0743 824 015.

KARIBU SANA IJUE AFYA YAKO POINT UPATE SULURISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LAKO.



Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Josephine Kanyesu, Grace Mbuya, Gladness Nyagawa, Nelson ...
22/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Josephine Kanyesu, Grace Mbuya, Gladness Nyagawa, Nelson Ndegeulaya, Wandema Tindwa, Anna Peter, Shukrani Lenisoni, Zuwena Jamal, Salma Juma, Imr Ur, Kibru Hamaro, Mwaj Makuka, Trapstar Zucci Gehtto, Saby Stefano, Ndayizeye Amida, Mabala Mabala

πŸ”₯ SOMO KALI: TOFAUTI KATI YA β€œATTACHMENT” NA MAPENZI YA KWELI (TRUE LOVE) πŸ”₯(HILI NDILO TATIZO LINALOVUNJA MAHUSIANO KIMY...
21/04/2026

πŸ”₯ SOMO KALI: TOFAUTI KATI YA β€œATTACHMENT” NA MAPENZI YA KWELI (TRUE LOVE) πŸ”₯
(HILI NDILO TATIZO LINALOVUNJA MAHUSIANO KIMYA KIMYA!)

Watu wengi wanadhani wanapenda…
Lakini ukweli ni kwamba wamefungwa kihisia (attachment) 😳

πŸ‘‰ Ndiyo maana:

- Ukiachwa unahisi maisha yameisha
- Unakuwa na wivu uliopitiliza
- Unapoteza amani yako

❗ Leo nakufungua macho…

---

πŸ’” ATTACHMENT (UTEGEZI WA KIHISIA) NI NINI?

Hii ni hali ya:

- Kumtegemea mtu kwa furaha yako
- Kuogopa kumpoteza kupita kiasi
- Kujiona huna thamani bila yeye

πŸ‘‰ Kwa kifupi: UNAMHITAJI zaidi kuliko UNAVYOMPENDA

---

❀️ TRUE LOVE (MAPENZI YA KWELI) NI NINI?

Hii ni hali ya:

- Kumpenda mtu bila kupoteza utu wako
- Kuheshimu uhuru wake
- Kuwa na amani hata ukiwa mbali kidogo

πŸ‘‰ Kwa kifupi: UNAMCHAGUA, sio kumlazimisha awe sehemu ya maisha yako

---

βš–οΈ TOFAUTI KUBWA (FUNGUA MACHO πŸ‘‡)

πŸ”» ATTACHMENT

- Wivu uliopitiliza 😑
- Hofu ya kuachwa 😰
- Kumiliki (control) 🚫
- Maumivu makubwa ukiachwa πŸ’”

πŸ”Ί TRUE LOVE

- Kuaminiana 🀝
- Uhuru wa kila mmoja πŸ•ŠοΈ
- Kuheshimiana πŸ™Œ
- Amani ya moyo ❀️

---

⚠️ DALILI UNAZO KUWA NAZO UKO KWENYE ATTACHMENT

βœ”οΈ Unamchunguza sana simu yake
βœ”οΈ Unahitaji awe karibu muda wote
βœ”οΈ Ukichelewa kujibiwa SMS aΕ­ Simu yako unapaniki
βœ”οΈ Unahisi huwezi kuishi bila yeye

πŸ‘‰ Hapo sio mapenzi, ni utegemezi wa kihisia!

---

βœ… JINSI YA KUJINASUA NA ATTACHMENT

βœ”οΈ JIJENGE KI-AKILI NA KI-HISIA
Jifunze kujithamini hata ukiwa peke yako

βœ”οΈ KUWA NA MAISHA YAKO
Malengo, kazi, ndoto zako binafsi au kitu chochote utakachokuwa unakifanya unapata amani

βœ”οΈ PUNGUZA HOFU YA KUPOTEZA
Anayekupenda hatakuacha kirahisi

βœ”οΈ JIFUNZE KUWA NA AMANI NDANI YAKO
Usimfanye mtu kuwa chanzo cha amani yako

---

🧠 UKWELI MKUBWA:

Attachment inaleta mateso… True Love inaleta amani.

---

πŸ’¬ SWALI KWAKO MSOMAJI:
Wewe uko kwenye mapenzi ya kweli au attachment?
Ni dalili gani umeiona kwako au kwa watu wengine?

πŸ‘‡ Andika maoni yako tujadili

---

πŸ“ž Kwa Ushauri na Tiba:
+255 714 538 903
+255 743 824 015

πŸ“ Ofisi Zetu Zipo:

- Maswa – Simiyu
- Nyehunge – Buchosa, Mwanza

πŸ‘¨β€βš•οΈ Dr. James Nyamila
Mtaalamu wa Tiba & Afya ya Mwili na Akili



Address

Nyehunge
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyamila Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nyamila Herbal Clinic:

Share