Family Afya Class.

  • Home
  • Family Afya Class.

Family Afya Class. Healthy is you Greatest Wealthy..

🎯🎯 FAHAMU VISABABISHI🍟🍔 VYA UZITO ULIOPITA KIASI NA MADHARA YAKE KIAFYA.📎📎  Uzito Kupita kiasi ( Unene kupita kiasi) ni ...
19/12/2024

🎯🎯 FAHAMU VISABABISHI🍟🍔 VYA UZITO ULIOPITA KIASI NA MADHARA YAKE KIAFYA.

📎📎 Uzito Kupita kiasi ( Unene kupita kiasi) ni tatizo la kiafya kwa ulimwengu wa maisha ya sasa. Uzito kupita kiasi ni kuwa na zaidi ya uzito sahihi unaotakiwa kwa kadri ya urefu wako.

📎📎 Katika nchi zilizoendelea, kuwa na uzito kupita kiasi huonekana k**a ni ishara ya hadhi na ya mafanikio katika maisha, lakini ukweli ni kwamba ni uzito kupita kiasi ni hatari sana kwa afya yako.

Madhara Ya Uzito Kupita Kiasi.

🔲🔲 Mtu akiwa na uzito kupita kiasi uwa ana hatari nyingi za kiafya zikiwemo;

💉💉 Ana uwezekano mara tatu zaidi kupata ugonjwa wa Moyo.

💉💉 Ana uwezekano mara nne zaidi kupata shinikizo la damu la juu.

💉💉 Ana uwezekano mara tano zaidi kupata kisukari, na kupanda kwa kiwango cha cholesterol kwenye damu.

💉💉 Mtu mwenye uzito kupita kiasi, yuko kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata saratani ya utumbo mpana, kibofu,titi, kizazi, mfuko wa uzazi.

💉💉 Ana uwezekano mkubwa wa kuugua baridi ya mifupa na maumivu kwenye sehemu ya chini ya mgongo na kiharusi.

🔲🎯 Nini Husababisha Uzito Kupita Kiasi?

🍟🍟 Kiini cha tatizo la uzito kupita kiasi ni kula chakula chenye kiasi kikubwa cha kalori. Uzito kupita kiasi hutokea pale unapokula chakula chenye kalori nyingi zaidi kuliko mahitaji ya mwili wako uwezavyo kutumia.

🍟🍟 Kalori hutokana na ulaji wa mafuta, protini, sukari, na wanga kwa kiasi kikubwa, na mabaki yake hugeuzwa kuwa mafuta mwilini. Baadhi ya mafuta haya huelea kwenye damu na kuziba taratibu mishipa ya damu inayosafirisha oksijeni sehemu mbalimbali za mwili.

🍟🍟Mafuta yaliyobaki mwilini huhifadhiwa katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo maeneo ya tumbo, kuzunguka moyo, mapafu na mengine huhifadhiwa chini ya ngozi.

🥭🥝 Njia za Kusaidia Kudhibiti Uzito Kupita Kiasi 🥦🥒🥬

🥬🥦 Kula vyakula vingi vya mimea, vyakula visivyokobolewa, vyakula vyenye kiasi kikubwa cha nyuz nyuzi na viinilishe kwa wingi na vyenye kiwango kidogo cha kalori.

0625727421

03/12/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Linah Amedeus, Witness Mwaikole

*NAMNA MIIRA CELL INAVYOTATUA CHANGAMOTO NDANI YA MWILI...* 👇 *Stem cells (Miira Cell)* zina uwezo wa kipekee wa kugawan...
03/12/2024

*NAMNA MIIRA CELL INAVYOTATUA CHANGAMOTO NDANI YA MWILI...* 👇

*Stem cells (Miira Cell)* zina uwezo wa kipekee wa kugawanyika na kutengeneza seli mpya, na hii ina uwezo wa kutoa manufaa mbalimbali kwa afya ya binadamu.

Hapa kuna namna kadhaa ambazo stem cells (Miira Cell) zinaweza kutumika katika kutibu magonjwa:

1: *Antioxidant Properties:*

Miira Cell zina viwango vya juu vya antioxidants, ambavyo husaidia kupambana na radicals huru mwilini.

Hii inaweza kusaidia katika kupunguza hatari ya magonjwa sugu k**a vile kansa na magonjwa ya moyo.

2: *Anti-inflammatory Effects:*

Miira Cell inauwezo kupunguza uvimbe.

Hivo inaweza kusaidia katika kutibu magonjwa yanayosababisha uvimbe, k**a vile arthritis na magonjwa mengine ya kuvimba.

3: *Skin Regeneration:*

Stem cells (Miira Cell) ina mimea k**a vile _apple_ stem cells zinajulikana kwa uwezo wao wa kusaidia katika kuzaliwa upya kwa seli za ngozi.

Hii inaweza kutumika katika bidhaa za urembo na tiba za ngozi ili kuboresha afya ya ngozi, kupunguza mikunjo, na kuboresha mng’ao wa ngozi.

4: *Antimicrobial Properties:*

Miira Cell ina uwezo wa kupambana na vimelea k**a bakteria na virusi.

Hii inaweza kusaidia katika kuzuia na kutibu maambukizi mbalimbali.

5: *Detoxification:*

Miira Cell ina uwezo wa kusaidia mwili katika mchakato wa kutoa sumu.

Hii inaweza kuwa muhimu kwa afya ya ini na kuimarisha mfumo wa kinga.

6: *Healing Properties:*

Miira Cell ina uwezo wa kuharakisha uponyaji wa majeraha na kuchochea kuzaliwa upya kwa tishu.

Hivo,

Unapotumia Miira Cell na kuizungumzia Ongea kwa uhakika...🔥🔥🔥🔥INATIBU CHANGAMOTO NYINGI...💪💪

K**a Uko Shinyanga na Maeneo Jirani tuwasiliane.
30/05/2024

K**a Uko Shinyanga na Maeneo Jirani tuwasiliane.

*Huu ni muendelezo wa somo tuliloanza jana**Magonjwa 10 yanayo sababisha nguvu za kiume* sehemu ya 5,6,75. Vidonda vya t...
06/11/2022

*Huu ni muendelezo wa somo tuliloanza jana*
*Magonjwa 10 yanayo sababisha nguvu za kiume* sehemu ya 5,6,7

5. Vidonda vya tumbo

Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hutokewa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kwahiyo ikiwa mwanaume una tatizo la kushindwa kuhimili tendo la ndoa na unaumwa vidonda vya tumbo basi cha kwanza utatakiwa ujitibu kwanza vidonda vya tumbo.

Hili linakuwa kweli hasa tukiziangalia baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo k**a zifuatazo;

Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo zinazopelekea pia upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na zifuatazo:

1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
2. Kuumwa mgongo au kiuno
3. Kizunguzungu
4. Kukosa usingizi
5. Kiungulia
6. Tumbo kujaa gesi
7. Tumbo kuwaka moto
8. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
9. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi
10. Kusahahu sahau na
11. Hasira bila sababu.

Dalili au matatizo yote hayo hapo juu yanayompata mgonjwa wa vidonda vya tumbo ndizo ambazo kwa namna nyingine k**a matokeo yake zinapelekea tatizo la Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wengi.

Mwanaume anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pia anaweza kupatwa na kupungukiwa nguvu za kiume k**a matokeo hasi ya baadhi ya dawa za kemikali zinazotumika kutibu vidonda vya tumbo.

Ingawa madaktari huangalia zaidi matokeo chanya ya dawa kuliko matokeo hasi hasa inapobidi upone ugonjwa mwingine hatari zaidi hata k**a moja ya matokeo yake hasi yaweza kuwa ni kupatwa na ugonjwa mwingine.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya vidonda vya tumbo na msongo wa mawazo au huzuni. Na msongo wa mawazo au stress moja kwa moja husababisha kushuka kwa nguvu za kiume!

Kwa kifupi Mwanaume fanya kila uwezalo usiuguwe vidonda vya tumbo au fanya kila njia kuhakikisha unajitibia vidonda vya tumbo hadi unapona ikiwa unataka kuendelea kulinda heshima yako nyumbani.

K**a unahitaji dawa ya asili inayotibu kabisa vidonda vya tumbo niachie ujumbe WhatsApp +255757101182

Magonjwa mengine yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na;

6. Msongo wa mawazo

7. Bawasiri

K**a unasumbuliwa na hayo magonjwa hapo juu nipigie nikupatie ushauri na tiba.

Note:*leo NI siku ya mwisho ya ofa la punguzo la bei ya kahawa na CPE*
Mwanaume usipitwa na ofa ya kahawa box tsh 50000 Na CPE box ni tsh 75000

*Magonjwa 10 yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume*Yafahamu Sasa na upate tiba yakePiga Sasa 0757101182Magonjwa 10 ...
06/11/2022

*Magonjwa 10 yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume*

Yafahamu Sasa na upate tiba yake
Piga Sasa 0757101182

Magonjwa 10 yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume

Kushuka kwa nguvu za kiume hakutokani tu na punyeto au vilevi au kutokushiriki mazoezi ya viungo kila mara

Pia siyo jambo la kushindwa kufahamu ule nini au usile nini

Wakati mwingine nguvu za kiume hushuka k**a matokeo ya magonjwa mbalimbali yanayomkabili mwanaume

Kwenye makala hii nitajadili kueleza kwa kirefu juu ya magonjwa yanayoweza kuleta kushuka au kupungua kwa nguvu za kiume

Magonjwa 10 yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume

1. Shambulio la moyo (heart attack)

Upungufu wa nguvu za kiume ni moja ya dalili za mwanzo za mishipa ya ateri kuziba.

Ateri zinapoziba au kubana zinatengeneza njia ya kutokea kwa ugonjwa wa shambulio la moyo

Ukweli ni kuwa mpaka asilimia 15 ya wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume wanaweza kupata ugonjwa wa shambulio la moyo au matatizo yoyote kwenye moyo ndani ya miaka 7 tangu kushuka kusikotibika kwa nguvu zao za kiume

Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tafiti mbalimbali zinazoonyesha uhusiano uliopo kati ya upungufu wa nguvu za kiume na ugonjwa wa moyo

Ateri (mishipa ya damu) inapoziba unaanza kupata madhara kwenye ogani zinazohitaji kupelekewa maji, oksijeni na viinilishe vingine mhimu.

Kwa kawaida ateri za kwenye uume ndizo zinazoanza kuziba sababu ni nyembamba kuliko za sehemu nyingine ya mwili

Asilimia 20 mpaka 30 ya wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume wana aina fulani ya tatizo lililojificha linalohusiana na afya ya moyo

Kwa hiyo k**a wewe ni mvuta sigara au bangi na kwa kipindi kirefu umekuwa na upungufu wa nguvu za kiume usioisha ni vizuri uwahi hospitali uonane na daktari kwa uchunguzi zaidi juu ya afya ya moyo wako

2. Saratani ya tezi dume

Saratani ya tezi dume yenyewe haileti upungufu wa nguvu za kiume moja kwa moja bali dawa zinazotumika kutibu ugonjwa huu ndizo zinazosemwa kuleta upungufu wa nguvu za kiume

Mionzi na upasuaji kwa mgonjwa wa saratani ya tezi dume ndivyo vitu vinavyoweza kuleta upungufu wa nguvu za kiume

Upasuaji unaofanyika katika harakati za kumtibu mgonjwa wa saratani ya tezi dume ndiyo unaohusika sana na kushuka kwa nguvu za kiume

Wakati tezi dume inaondolewa (upasuaji) neva zinaweza kudhurika na kuleta upungufu wa nguvu za kiume

Neva zilizodhurika wakati wa upasuaji na mishipa damu iliyodhurika k**a matokeo ya mionzi ndivyo vinavyohusiana na kushuka kwa nguvu za kiume

3. Shinikizo la juu la damu

Unaweza ukawa na shinikizo la juu la damu na bado ukaendelea kufurahia tendo la ndoa hasa k**a utakuwa karibu na daktari wako na kumueleza ukweli bila kificho hali yako ilivyo

Wakati huo huo tendo la ndoa linaweza kukusaidia kupunguza kiwango cha shinikizo la juu la damu ulilonalo tayari

Wakati mwingine unaweza kuwa au unaweza kuishi na shinikizo la juu la damu na usijitambue au usionyeshe dalili zozote

Hata hivyo bado kuna uhusiano wa karibu kati ya shinikizo la juu la damu na upungufu wa nguvu za kiume

Hakuna tatizo la moja kwa moja la kufahamika kati ya shinikizo la juu la damu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa upande wa wanawake

Baada ya muda mrefu wa kuishi na shinikizo la juu la damu matokeo yake hujionyesha wazi kwa kushuka kwa uwezo wa mwanaume kuhimili tendo la ndoa

K**a ilivyo kwa kisukari au kwa shambulio la moyo (ambalo nalo ni matokeo ya mwisho mwisho ya shinikizo la juu la damu), shinikizo la juu la damu nalo ni matokeo ya kujibana na kupungua kwa vipenyo vya mishipa inayosafirisha damu kuanzia kwenye moyo mpaka sehemu mbalimbali za mwili

Kujibana, kuzibika au kupungua kwa vipenyo vya mishipa ya damu k**a matokeo ya shinikizo la juu la damu ndiko kunakoleta upungufu wa nguvu za kiume k**a matokeo ya shinikizo la juu la damu

Shinikizo la juu la damu pia linaweza kuleta matatizo kwenye kufika mshindo na kushusha hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa

Wasiliana na daktari wako wa karibu kuhusiana na shinikizo lako la damu na afya yako ya kitandani

4. Kisukari

Inakadiriwa kuwa asilimia 35 mpaka 75 ya wanaume wenye kisukari watasumbuliwa na aina fulani ya usumbufu kuhusiana na tendo la ndoa katika maisha yao

Wanaume wenye kisukari wana uwezekano mkubwa wa kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume mapema zaidi miaka 10 mpaka 15 kabla ya wanaume wengine wasio na kisukari

Kadri mwanaume mwenye kisukari anavyozidi kuwa mtu mzima au mzee ndivyo na uwezo wake wa kushiriki tendo la ndoa unavyozidi kushuka

Mwanaume mwenye kisukari mwenye miaka 50 kwenda juu ana uwezekano wa kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume mpaka asilimia 60 zaidi tofauti na asiye na kisukari

Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume kwa wanaume wenye kisukari ni nyingi zikihusisha mabadiliko kwenye neva, mishipa ya damu na mabadiliko ya utendaji kazi wa misuli

Ili kupata msisimko na uume usimame kwa ufasaha mwanaume anahitaji afya nzuri ya mishipa ya damu, misuli imara na neva ili kudhibiti usimamaji imara na wa kudumu wa uume.

Kwa bahati mbaya kisukari kinasababisha madhara kwenye mishipa ya damu na neva zinazohusika na usimamaji wa uume.

Hivyo hata k**a homoni zako zipo sawa na unapata hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa bado hutaweza kuwa na uume imara na unaoweza kusimama dakika nyingi.

Kisukari pia kina uhusiano wa karibu na ugonjwa wa moyo ambao una uhusiano wa moja kwa moja na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Kisukari maana yake mfumo wako wa kutengeneza nguvu mwilini haupo sawa kwakuwa sukari ni moja ya chanzo kikuu cha nguvu za mwili

Mwili una vyanzo vikuu vitatu vya nguvu ambavyo ni sukari (vyakula tunavyokula hubadilishwa kuwa glukozi au damu sukari) ili kutengeneza nguvu ya mwili, chanzo cha pili ni maji na chumvi na chanzo cha tatu ni mafuta (k**a utakuwa ni mtu wa kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara).

Kisukari maana yake mwili hauna uwezo wa kuunda na kuitumia ipasavyo sukari inayotengenezwa na mwili kupitia unavyokula na mwisho wake ni mwanaume kukosa au kuishiwa kabisa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa

Itaendelea kesho na kesho kutwa

K**a una hizo changamoto hapo juu wasiliana nami nikupatie kahawa ya sugar free badala ya utaioata kwa na natural celticas kwa punguzo LA bei
Piga Sasa 0757101182

Umeshawahi kusikia zao liitwalo Garcinia Cambogia Lipatikanalo huko kusini mashariki mwa Asia? Zao hili maalufu Duniani ...
21/06/2022

Umeshawahi kusikia zao liitwalo Garcinia Cambogia Lipatikanalo huko kusini mashariki mwa Asia?

Zao hili maalufu Duniani Ambalo linatumika sana kwenye kusaidia kupunguza mafuta mabaya mwili pamoja na kurekebisha Hamu ya kula ovyo ovyo.

Nature's Way ilichukua Zao hilo na kuchanganya na virutubisho vingine muhimu na kupata bidhaa iitwayo

BURN SLIM ambayo kutokana na mchanganyo huo imeweza kufanya haya.

■Ni bidhaa ya asili inayotokana na tunda la zao liitwalo Garcinia cambodia lililopo kusini mashariki mwa bara la Asia.
ina hydroxycitric acid(HCA)ambayo husaidia kumeng'enya wanga kwenda kwenye nguvu.

■Pia ina chromium picolinate ambayo husaidia kumeng'enya sukari kwenda kwenye sukari nyepesi inayotumiwa na mwili hivyo husaidia kuwa na kiwango sawia cha sukari kwenye damu na kiwango kinachotakiwa cha blood pressure(nzuri sana pia kwa mgonjwa wa sukuri)

■Vilevile ina medium chain Triglycerines na mafuta ya alizeti (Omega 3)yanayolinda MOYO na MISHIPA ya DAMU na kusaidia metabolism hivyo mwili unaunguza mafuta kwenda kwenye nguvu na kufaa kutumika hasa kwa wanamichezo kuondoa mafuta yasiyohitajika mwilini.

■Husaidia INI kuratibu calories kwa ufanisi mkubwa zaidi na kupunguza hamu ya kula kupita kiasi na hivyo husaidia pia kudhibiti UNENE ULIO PITILIZA.

■Tofauti na dawa nyingine za kupunguza uzito,dawa hii haiathiri mfumo wa fahamu wala utendaji kazi wa ubongo(NOT A STIMULANT).

FAIDA ZAKE Nyingine.

1.Kupunguza mafuta mwilini na cholesterol.
2.kuboresha nywele,ngozi na kucha.
3.kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Kwa unayetaka kuipata BURN SLIM ili kupungua TUMBO,UNENE,UZITO, NYAMAUZEMBE,KITAMBI

Wasiliana nasi kwa Namba:

WhatsApp/Call/sms
📱+255757101182

*OVARIAN CYSTS* ( uvimbe kwenye mfuko wa mayai ya mwanamke )Ukisikia ovarian cyst unaelewa nini ???Karibu tujifunze Ni u...
19/05/2022

*OVARIAN CYSTS* ( uvimbe kwenye mfuko wa mayai ya mwanamke )

Ukisikia ovarian cyst unaelewa nini ???

Karibu tujifunze

Ni uvimbe ambao hutokea eneo la mayai ya mwanamke

*Sababu zinazo pelekea mwanamke kupata ovarian cyst ni;*

1. Mzunguko wa hedhi usiotabirika.

2. Kuwa na mafuta mengi sehemu ya juu ya mwili.

3. Ugumba ( hali ya kushindwa kushika ujauzito )

4. Kuvunjika ungo katika umri mdogo miaka 11 au chini ya miaka 11.

5. Kutokuwa sawa kwa uwiano wa vichocheo mwilini yaan ( hormones imbalance )

*Dalili za mtu mwenye ovarian cyst ni ;*

1. Maumivu makali ya tumbo kipindi cha hedhi.

2. Maumivu makali eneo la nyonga.

3. Maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

4. Kutokwa na damu ukeni kipindi ambacho sio cha hedhi.

5. Kubanwa na mkojo mara kwa mara.

6. Maumivu makali kwenye maeneo ya mbavu.

7. Kupata haja kubwa kwa shida na maumivu makali.

Kupata zaidi na tiba asilia wasiliana nasi:

*Family Afya Class
Whatsapp/call/sms
0757101182

SARATANI YA TEZI DUMETezi dume ni nini?     Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya ku...
23/03/2022

SARATANI YA TEZI DUME

Tezi dume ni nini?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.

Ipo wapi?

Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.

Saratani ya tezi dume ni nini?

Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini

Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume

Umri Mkubwa kuanzia miaka 50

Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii

Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu

Unene uliokithiri

Ukosefu wa mazoezi

Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.

Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume

Dalili zake ni zipi?

Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
Kwenda kukojoa mara kwa mara.
Damu ndani ya mkojo.
Kushindwa kukojoa.
Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
UCHUNGUZI

Wanaume wote wanpaswa kufanya uchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka 50. Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka 45.

Uchunguzi unafanyika kwa njia zifuatazo

Uchunguzi kwa cancer marker kwa kuchunguza damu (PSA).
Uchunguzi kwa njia ya kipimo cha njia ya haja kubwa (DRE)
Biopsy.
Ultrasound.
X-ray.
Bone scan.

Jinsi ya kutibu saratani ya tezi dume

Upasuaji.
Mionzi
Dawa ya saratani
Homoni.
Matibabu hutegemea

1.Ngazi na ukali wa ugonjwa.
2.Je, ugonjwa upo ndani ya tezi dume tu au umesambaa.
3.Umri na afya ya mgonjwa.
4.Magonjwa ambatanishi na saratani hiyo, shinikizo la damu, matatizo ya moyo na kisukari.

TIBA UPASUAJI
Kuondoa tezi dume yote peke yake inaweza ikatosha.
Kuondoa tezi dume na tezi jirani.
Kuondoa tezi dume na kuhasi
Kuondoa tezi dume kidogo kupitia njia ya mkojo na kumpa mgonjwa tiba shufa.

MIONZI.
Sawa na upasuaji inaweza kuondoa ugonjwa iwapo haujasambaa.
Mionzi pia hutolewa k**a tiba shufaa.

DAWA YA SARATANI
Baadhi ya wagonjwa hufaidika na tiba hii, dawa hutolewa kwa muda mfupi na kufuatilia maendeleo ya mgomjwa kwa kufanya PSA,dawa inaweza kuwa moja au mchanganyiko.

HOMONI
Hutolewa mfullulizo kwa njia ya vidonge au sindano.

Ufuatiliaji wa karibu

Ni muhimu kufuatilia hali ya tezi isirejee baada ya ugonjwa kutibiwa kwa kufanya kipimo cha PSA mara kwa mara angalau miezi mitatu mara moja.

Athari zitokanazo na matibabu mbalimbali yaliyotajwa.

Upasuaji

Unaweza kusababisha kutoweza:

Kuzuia mkojo
Kupoteza nguvu za kiume.
Homoni

Homoni huongeza joto mwilini
Kupungukiwa na nguvu za kiume

Kwa USHAURI, MATIBABU KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO wasiliana nami 0757101182, Whatsup hiyo hiyo 0757101182

 SWALI:Nakula vizuri, nakula nafaka kamili, matunda kwa wingi, mboga za majani kwa wingi,mafuta mazuri, sili sukari, na...
11/03/2022

 SWALI:
Nakula vizuri, nakula nafaka kamili, matunda kwa wingi, mboga za majani kwa wingi,mafuta mazuri, sili sukari, nafanya mazoezi na kadhalia; KWA NINI NILE TENA VIRUTUBISHO? KWA NINI NILE TENA VIDONGE?

 JIBU:
Swali zuri sana, hata mimi kabla ya kuwa na elimu ya virutubisholishe nilikula najiuliza hivyo hivyo.
Ukweli ni kwamba k**a unataka kupambana na magonjwa na kufikia urefu wa maisha huwezi kwa kutumia diet peke yake, unahitaji namna ya kuongeza lishe zaidi ambazo zitapatikana tuu kwa wewe kutumia virutubisholishe.

Jinsi ambavyo mbolea ilivyo muhimu kwa mmea ndivyo virutubisholishe vilivyo muhimu kwa binadamu. Upe mmea jua na maji na utaishi, uongezee mbolea yenye virutubisho hai na uta stawi zaidi.

Binadamu ndivyo hivyo hivyo, lishe yenye afya, yenye usawa inaipa mwili virutubisho vya kutosha kuendesha kazi za kawaida. Vidonge vyenye virutubisholishe k**a madini,vitamini, asidi muhimu ya mafuta (essential fatty-acid), na kadhalika vinaimarisha mazingira ya ndani ya mwili kwa kuimarisha ulinzi wa seli, kukarabati na kuzaliwa upya na kusaidia mchakato wa utengenezaji upya wa seli.

VIRUTUBISHO LISHE (SUPPLEMENTS) NI MUHIMU SANA.

KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA NAMBA 0757101182 KWA USHAURI KUHUSU MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MITINDO YA MAISHA (LIFESTYLE DISEASES) NA KUPATA GROUP MAALUMU LA AFYA KWA UPDATES ZA KILA SIKU.

Tumia link hii kunifikia kirahisi:👇🏾👇🏾

https://wa.me/message/+255757101182

CALCIUM - MIFUPA NA MISULI YAKOKazi Na Faida Za CalciumKujenga afya ya mifupa na menoKuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvun...
17/02/2022

CALCIUM - MIFUPA NA MISULI YAKO

Kazi Na Faida Za Calcium
Kujenga afya ya mifupa na menoKuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvunjikaKuzuia maumivu kabla ya Hedhi (Premenstrual Syndrome-PMS)Kuzuia maumivu wakati wa Hedhi (Dysmenorrhea)Huzuia matatizo baada ya kukoma hedhiHuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyoHuboresha mawasiliano ya nevaHuzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spams),maumivu ya mapaja,mikono na kwapani.Huzuia kutokwa jasho usikuHuondoa na kuzuia kujengwa kwa mtoto wa jicho (cataracts)Huzuia tatizo la kutoona mbali (myopia)

Maelezo Muhimu

Kuhusu Calcium

Calcium hufanya kazi kubwa ya kuimarisha utendaji kazi wa mwili. Ni madini yanayochukua nafasi kubwa mwilini,hupatikana katika baadhi ya vyakula,huongezwa kwa baadhi,hupatikana k**a virutubisho, na hupatikana katika baadhi ya madawa (kwa mfano antacids). Calcium hutakiwa kwa ajili ya kusaidia: kutanuka na kujiminya kwa mishipa ya damu (vasoconstriction and vasodilation),usafirishaji taarifa ndani ya neva,kuwasiliana kwa seli,na kutengenezwa kwa homoni,japo chini ya 1% ya tu calcium hutosha kufanya kazi zote hizo.

Uhifadhi Wa Calcium Kwenye Mifupa Na Meno

Mwili hutumia tishu za mifupa k**a chanzo na sehemu ya kutunzia calcium,kuimarisha kiwango sawa cha calcium kwenye damu,misuli na maji kati ya seli. Asilimia 99% ya calcium inayosalia hutunzwa kwenye mifupa na meno ambapo husaidia muundo na kazi zake. Mifupa kwa peke yake,huendelea kujitengeneza kwa kufyonzwa na kuhifadhiwa kwenye mifupa mipya.

Matumizi Ya Calcium Kulingana Na Umri

Uwiano kati ya kufyonzwa na kuhifadhi mifupa hubadilika kulingana na umri. Mifupa kujengwa huwa katika kiwango kikubwa katika kipindi cha ukuaji wa watoto na vijana kuliko kufyonzwa kwake,ambapo katika umri wa kati wa utu uzima,matendo haya huwa sawa.Kwa watu wenye umri mkubwa,hususani kwa wanawake wanaoelekea kukoma hedhi,kuvunjika kwa mifupa huzidi kujengwa kwake,na kupelekea mifupa kupotea jambo linalosababisha osteoporosis.

Kuzuia Kudhoofika Kwa Mifupa (Osteoporosis)

Calcium ni muhimu kwa watoto na vijana.Calcium hukoma kuingizwa mwilini kuanzia miaka ya 20 na huanza kupungua kwenye miaka ya 30 ambapo unywonywaji wake huwa mkubwa kuliko utengenezwaji wake. Kutumia calcium kwa wingi kwa watoto na vijana huimarisha mifupa na kupunguza kudhoofika kwa kadri umri unavyoongezeka.

Calcium Na Afya Ya Moyo

Kiwango sawa cha calcium husaidia mawasiliano ya neva na misuli. Calcium husaidia misuli ya moyo kukaza na kulegea kwa ufanisi. Calcium husaidia kuweka sawia kiwango cha presha ya mwili.

Calcium Na Matatizo Maumivu Kabla Ya Hedhi

K**a mwili utakosa calcium na vitamin D ya kutosha,homoni zinazosimamia calcium mwilini (yaani parathyroid na calcitrol) hukinzana na oestrogen na progesterone (homoni za k**e) na kusababisha maumivu kabla ya hedhi (Premenstrual Syndrome-PMS)

Calcium Na Mtoto Wa Jicho (Cataracts)

Mtoto wa jicho husababishwa na upungufu wa calcium katika damu au kushindwa kufanya vizuri kwa homoni ya parathyroid. Matumizi ya calcium yanazuia ujengwaji huu wa mtoto wa jicho.

Je unajua ukikosa calsium unakufa...?
Tunavyo virutubisho vyenye calsium kwa wingi...
Wasiliana nasi...
0757101182

Address


+255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Family Afya Class. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Family Afya Class.:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram