Naichan Afya First

Naichan Afya First We are dealing woth education concerning health

Ushonaji wa nyavu
24/03/2025

Ushonaji wa nyavu

Ushonaji wa Nyavu
18/03/2025

Ushonaji wa Nyavu

SMOOTHIE YA Karoti NA NAFASIMAHITAJI 1 Karoti kubwa, iliyosafishwa na kukatwa1/2 Kikombe cha vipande vya nanasi (freshi ...
08/03/2025

SMOOTHIE YA Karoti NA NAFASI

MAHITAJI 1 Karoti kubwa, iliyosafishwa na kukatwa

1/2 Kikombe cha vipande vya nanasi (freshi au barafu)

1/2 Ndizi

1/2 Kikombe cha Yogurt ya Kigiriki

1/2 Kikombe cha Juisi ya Machungwa

1/2 Kikombe cha Maji (au maji ya n**i kwa unyevu zaidi)

1 Kijiko cha Asali au Siropu ya Maple (hiari)

Vikopo vya Barafu (hiari)

MATAYARISHO

1. Andaa Viungo. Safisha na kata karoti kwa vipande vidogo.

Ikiwa unatumia nanasi freshi, kata kwenye vipande vidogo.

2. Changanya Viungo. Weka karoti, nanasi, ndizi, yogurt, juisi ya machungwa, na maji kwenye blender.

Ongeza asali au siropu ya maple k**a unapenda ladha tamu.

Changanya mpaka mchanganyiko uwe laini na creami.

3. Rekebisha Ladha na Uwazi. Onja smoothie, kisha ongeza asali au siropu zaidi ikiwa inahitaji kuwa tamu zaidi.

Ikiwa ni nzito, ongeza maji au juisi kidogo ili kufikia unene unaoupendelea.

4. Tumikia. Mimina smoothie kwenye glasi na furahia ladha ya kitropiki yenye afya!

FAIDA ZAKE KWA MWILI Vitamini na Antioxidants: Karoti na nanasi hutoa vitamini A na C, zinazosaidia afya ya ngozi, macho, na kinga ya mwili.

Protini: Yogurt ya Kigiriki hutoa protini muhimu kwa nguvu ya mwili na ukuaji wa misuli.

Afya ya Tumbo: Nanasi ina bromelain, enzyme inayosaidia mchakato wa kumengโ€™enya chakula.

KIAFYA NA KITABIBU Smoothie hii ni nzuri kwa:

Kuboresha kinga ya mwili

Kudhibiti uzito

Kuboresha afya ya ngozi

Kuboresha afya ya macho

UHIFADHI Hifadhi smoothie hii kwenye friji kwa muda wa masaa 2-3, lakini inashauriwa kuliwa mara moja ili kupata faida zake zote za virutubisho.

MATUMIZI YA KIPEKEE (OPTIONAL)

Manjano: Kuongeza nguvu za kupambana na uchochezi

Spinachi: Kwa kuongeza majani ya kijani yenye afya

Maziwa ya N**i: Kwa kutoa texture laini na ladha ya kitropiki

Enjoy your healthy and refreshing Carrot Pineapple Smoothie!

*FAHAMU KUHUSU UHUSIANO KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA NGUVU ZA KIUME*Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda m...
20/02/2025

*FAHAMU KUHUSU UHUSIANO KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA NGUVU ZA KIUME*

Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hutokewa pia kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kwahiyo ikiwa mwanaume una tatizo la kushindwa kuhimili tendo la ndoa na unaumwa vidonda vya tumbo, basi cha kwanza utatakiwa ujitibu vidonda vya tumbo.

Hili linakuwa kweli hasa tukiziangalia baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo k**a zifuatazo;

*Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo zinazopelekea pia upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na zifuatazo:*

1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum

2. Kuumwa mgongo au kiuno

3. Kizunguzungu

4. Kukosa usingizi

5. Kiungulia

6. Tumbo kujaa gesi

7. Tumbo kuwaka moto

8. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda

9. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi

10. Kusahahu sahau na

11. Hasira bila sababu.

*Dalili au matatizo yote hayo hapo juu yanayompata* *mgonjwa wa vidonda* vya tumbo ndizo ambazo kwa namna nyingine k**a matokeo yake zinapelekea tatizo la Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wengi kwa Sababu Tezi Kuu ( Pituitary Grand ) Linashindwa Kufanya Kazi Zake Sawa Sawa Kwa Kuwa Wakati Linatakiwa Ku Control Mfumo wa Uzazi ni Muda huo huo Liko Eneo lingine la Mwili lina tatizo na Linahitaji Kufanyiwa "Bold Recovering" Ndiyo Maana tunasema " Upungufu wa Nguvu za Kiume Si Ugonjwa" Bali ni Dalili au Matokeo ya Ugonjwa , Ni Ishara Kwamba aliyepungukiwa na Nguvu za Kiume Liko tatizo Kwenye Mwili wake Linalohotaji matibabu. - Hayo Yaliyoelezwa Juu hapo ni Baadhi tu Ya Matatizo Lukuki Yanayopleka Ukosefu wa Nguvu Za Kiume .

*Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?*

Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo na inavyotakiwa.

" *HEBU* *TUANGALIE* *MFUMO* *WA* *UFANYAJI* *KAZI* *WA* *VUNGO* *VYA* *UZAZI* *VYA* *MANAUME* " *KWA* *UFUPI* *TU* "

*Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiume*

Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo vi

TUMIA GREEN VEGITABLES JUICE BADALA YA GREEN TEA UNAPOKUWA KATIKA MWONGOZO WANGU WA LISHE.Lengo ni UWEZE KUPUNGUZA UZITO...
03/02/2025

TUMIA GREEN VEGITABLES JUICE BADALA YA GREEN TEA UNAPOKUWA KATIKA MWONGOZO WANGU WA LISHE.

Lengo ni UWEZE KUPUNGUZA UZITO HUKU AFYA YAKO IKIIMARIKA.

Kuanzia leo natoa taarifa kwa wapenzi wa makala zangu, huruhusiwi kutumia green tea na badala yake TENGENEZA GREEN VEGITABLES JUICE k**a nitakavyo toa maelezo hapo chini

Mimi sipendi kitu UVIVU, MTU ANAONA KAZI KUANDAA JUISI YA MBOGA ZA MAJANI , YENYE VIAMBATA VINGI NA VITAMIN NA MADINI YAKUTOSHA, PIA YENYE HEALING PROPERTIES YA HALI YA JUU anakunywa maji ya green tea! Hii nasema HAPANA from Today!

Hatuhitaji upunguze uzito tu, HAPANA lengo langu uwe healthy.

Green tea ni maji tu, tofauti na kuwa na uwezo wa kusafisha utumbo lkn haina viini lishe vyovyote vya kukufanya uwe mwenye afya.
Kuna mambo mengi ya kuzingatia unapotaka kuokoa maisha.

ya mboga za majani zina madini na vitamin kibao zinaweza kukurudishia madini na vitamin hizo ambazo watu wengi wenye uzito mkubwa hupungukiwa. Ndio maana nashauri juisi hii, lkn naona watu wanakimbilia maji ya green tea hayana lolote tofauti na kujifurahisha ukilinganisha na green veg juice.

za majani hasa juisi inarudisha vimelea rafiki yaani friendly bacteria waliokufa kwa sababu ya ulaji wa vyakuka vyenye sukari nyingi ambazo hupelekea vimelea wabaya yaan bad bacteria kuvamia mfumo wa chakula na kukufanya ushambuliwe na gesi za mara kwa mara, tumbo kuuma, constipation na utengenezwaji wa tindikali kwa wingi na kukuletea dalili za vidonda vya tumbo.
Njia pekee ni kuupa mwili vitamin na madini kwani ndio njia pekee ya kuwarudisha bakteria ambao ni marafiki na walinzi wa mfumo wako wa chakula.
Utawarudishaje sasa kwa maji ya green tea? Hebu tutengeneze juisi hii wapendwa.

mwili uanze kuunguza mafuta ipasavyo. Kwani mwili unapoupatia madini ya selenium,manganesium unaufanya ufanye kaz ktk kiwango stahiki. Magnesium inapatikana kwa wingi kwenye mboga za majani na upungufu wake unasababisha maradhi mengi ya misuli,mifupa na kiutendaji.
Hivyo Green tea is ALSO MY ENERMY ,BECAUSE WATU TUNA MISS USE, Hatutumii vinywaji ambavyo vina viini lishe kabambe Tunatumia green tea ambayo haina faida zaidi ya moja.

JINSI YA KUFANYA MAANDALIZI YA KINYWAJI CHAKO C

*Je Unafahamu Siri Hii Ya Kupaka Mafuta Unyayoni Kabla Ya Kulala kwa wale wenye kisukari,kiharusi(stoke),presha na gauti...
31/01/2025

*Je Unafahamu Siri Hii Ya Kupaka Mafuta Unyayoni Kabla Ya Kulala kwa wale wenye kisukari,kiharusi(stoke),presha na gauti (uric acid)*

Viungo vyote vya mwili wako vinapatikana kwenye unyayo na ulimi wako
Unaweza kutibu kupitia miguu na ulimi wako ngoja leo niwapatie siri hii hutaweza kuamini macho na masiko Yako iwapo utaifnyia kazi!

Mgonjwa mmoja alikuwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto ilimpelekea kukosa Usingizi kwa Muda mrefu, alihangaika sana kwa Muda mrefu bila kupata suruhisho...

Mpaka nilipompatia siri hii hakuamini, nilimwambia awe anapaka mafuta Kwenye unyayo wake kabla ya kulala...

Nilimwelekeza asugue kwa Muda wa dakika tatu Kwenye unyayo wake kabla ya kulala...

Alifanya hivyo na alipata usingizi muruaa Na miguu kuwaka moto ilipngua kadri alivyokua anaendelea kutumiaJambo ambalo lilimshangaza.na hakuamini kilicomtokea

Aliifanya zoezi Hili kuwa sehemu yake ya Maisha mpaka Sasa ilo tatizo kwisha...

mwingine alikuwa na tatizo k**a hilo la kukosa usingizi...

Nikampa formula hiyo ila cha kushangaza baada ya kutumia alipona na changamoto nyingine k**a kuumwa na mgongo, viungo, kichwa na meno baada ya Kuanza zoezi Hili la Kupaka mafuta Kwenye nyayo zake...

Una changamoto ya tumbo, tumia formula hii utakuja kunishukuru...

Unapata uchovu wa mara kwa mara, mwili kuishiwa na nguvu tumia formula hii...

Una ugonjwa wa bawasiri... Sugua nyayo zako dkk 3 kabla ya kulala utashangaa...

Unaumwa miguu, joints na magoti, Fanya hivyo utaona maajabu...

Siri hii nimeifanyia majaribio kwa Muda mrefu, na nikajiridhisha kuwa inafaa kukueleza haya...

Unaweza kutumia mafuta ya aina yoyote ila yalionekana kuwa na matokea ya haraka ni mafuta ya mizeituni na haladali...

Fanya hivyo kwa Muda wa siku tano then utaleta mrejesho mwenyewe...

By Darasa la Kisukari
0758300178

Magonjwa 10 yanayo sababisha upungufu wa Nguvu za kiume1. Shinikizo la damu (heart attack)2. Saratani ya tezi dume3. Shi...
31/01/2025

Magonjwa 10 yanayo sababisha upungufu wa Nguvu za kiume

1. Shinikizo la damu (heart attack)
2. Saratani ya tezi dume
3. Shinikizo la juu la damu(presha)
4. kisukari
5. Vidonda tumbo
6. Mshongo wa mawazo.
7. Bawasiri,choo kigumu, magonjwa ya ngono
8. Magonjwa kwenye mfumo ya upumuaji(Kifua kikuu)
9. Uchovu sugu,kazi ngumu kukosa muda wa kupunzika
10. Uzito kupita kiasi,unene,kitambi,(Tunayo tiba ya asili kwajili ya kupunguza uzito,unene,kitambi)

Note: Sababu nyingine kubwa ni

1.Kupiga punyeto kwa muda mrefu hivyo hupelekea mishipa yacuzazi kulelea na kuwai kumaliza tendo

2.kupata mlo duni, hupelekea mwili kushindwa kuwa na nguvu hivyo pia mfumo wa uzazi unakuwa dhaifu pia

Mfumo mbaya wa maisha hupekekea kuwa tatizo la ukosefu wa Nguvu za kiume

Note; nakukumbusha tu ili uweze kupona nguvu za kiume tibu kwanza magonjwa sugu K**a kisukari, presha, kiharusi nk

Wasiliana nami kwa ushauri Zaidi na tiba
0758300178

๐‘ญ๐‘จ๐‘ฐ๐‘ซ๐‘จ 10 ๐’๐‘จ ๐‘ช๐‘ฏ๐‘จ๐‘ฐ ๐’€๐‘จ ๐‘ป๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ๐‘พ๐‘ฐ๐’๐‘ฐ. 1. Kurekebisha Sukari ya MwiliTangawizi husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kw...
28/01/2025

๐‘ญ๐‘จ๐‘ฐ๐‘ซ๐‘จ 10 ๐’๐‘จ ๐‘ช๐‘ฏ๐‘จ๐‘ฐ ๐’€๐‘จ ๐‘ป๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ๐‘พ๐‘ฐ๐’๐‘ฐ.

1. Kurekebisha Sukari ya Mwili
Tangawizi husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu. Wagonjwa wa Kisukari wanashauriwa kutumia Tangawizi badala ya chai.

2. Msukumo Wa Damu
Tangawizi husaidia msukumo wa damu mwilini kwasababu huupa mwili joto ambalo mara nyingi mwili huhitaji wakati wa usukumwaji wa damu mwilini.
3. Huondoa Magonjwa ya Asubuhi
Licha ya kuwa tiba ya magonjwa k**a Kikohozi na Mafua, Tangawizi pia husaidia kupunguza magonjwa ya asubuhi k**a uchovu, na mningโ€™inio. Kwa akina mama wajawazito, Tangawizi huwapunguzia homa za asubuhi pindi wanapoamka, pia hutumika k**a kichocheo cha utulivu.
4. Mfumo wa Chakula
Husaidia mwili kunyonya virutubisho kwenye chakula. Hii husaidiana sana pale unapoamua kupunguza uzito wa mwili na kupata virutubisho vilivyo muhimu tu.

5.Huondoa Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine k**a kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo yamdomo kuwa safi

6. Hamu Ya Kula (appetizer)
Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umengโ€™enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmengโ€™enyo wa chakula.

7. Uzalishaji wa Mate
Unywaji wa Tangawizi husaidia uzalishaji wa mate mdomoni. Kuongezeka kwa mate mdomoni husaidia kutengeneza vichocheo Muhimu vinavyosaidia wakati wa kula, na hupunguza pia uwezekano wa magonjwa ya meno.

8. Kuyeyusha Mafuta
Tangawizi husaidia kupunguza Kuganda kwa mafuta mwilini ambayo yana madhara makubwa mwilini. Hasa magonjwa ya kiharusi na shinikizo la damu.

9. Kuondoa Sumu Mwilini
Tangawizi husaidia kupunguza kichefuchefu na kutapika. Pia huwasadia sana wale watu waliotumia sana madawa na kuwa na sumu nyingi mwilini.

10. Tangawizi Pia humsaidia mtu mwenye vidonda vya tumbo kwa kupunguza maumivu na hata kuponya vidonda hivyo k**a vitakuwa kwenye hatua ya awali sana!.

Nawe Ongeza Faida Yake Unayoifahamu

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi
0758300178

SABABU 5 ZA KUTISHA ZINAZOPELEKEA ASIDI YA MKOJO (URIC ACID) KUJAA MWILINIGout ni mkusanyiko wa asidi ya mkojo (uric aci...
28/01/2025

SABABU 5 ZA KUTISHA ZINAZOPELEKEA ASIDI YA MKOJO (URIC ACID) KUJAA MWILINI

Gout ni mkusanyiko wa asidi ya mkojo (uric acid) ambayo inaweza kumuathiri kila mmoja. Husababishwa na shambulio la ghafla la maumivu, uvimbe, wekundu kwenye jointi moja au Zaidi, ambao mara nyingi hutokea kwenye kidole gumba cha mguu.

Shambulio la asidi ya mkojo (uric acid) linaweza kutokea ghafla, mara nyingi linapokuamsha usiku wa manane k**a ukihisi kwamba kidole gumba kiko kwenye moto. Jointi iliyoathiriwa huchemka na kuwa ya moto, huvimba na kututumka kiasi kwamba hata uzito wa shuka juu yake unaweza kushindwa kuuvumilia.
Dalili za gout zinaweza kuja na kutoweka, lakini kuna njia za kudhibiti dalili na kuzuia zisikusumbue.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Ishara na dalili za gout mara kwa mara hutokea ghafla, na mara nyingi ni wakati wa usiku wa manane. Dalili hizo ni k**a hizi zifuatazo:

1. Maumivu Makali Kwenye Kiungo Cha Mfupa(Joint)

Mkusanyiko wa asidi ya mkojo (gout) mara nyingi huathiri kidole gumba cha mguu, lakini unaweza kutokea kwenye kiunganishi chochote cha mfupa(joint). Viunganishi vingine vya mifupa vinavyoathiriwa ni magoti, kifundo cha mguu, kiwiko, nyonga Pamoja na vidole. Maumivu haya yanaweza kuwa makali ndani ya masaa manne hadi 12 kwanza baada ya kuanza.

2. Usumbufu Wa Kudumu

Baada ya maumivu makali Zaidi kupungua, basi baadhi ya masumbufu kwenye kiungo cha mfupa yanaweza kukaa kwa muda wa siku hadi wiki kadhaa. Baadaye mashambulizi huweza kudumu kwa muda mrefu na kuathiri viunganishi(joints) mbalimbali vya mifupa.

*3. Uvimbe Na Hali Ya Wekundu Juu Ya Ngozi:* Viunganishi vya mifupa(joints) vilivyoathiriwa huvimba, hututumka, huwa na unyevunyevu na kuwa na rangi ya wekundu.

*4. Upeo Mdogo Wa Mwendo:* Gout inavyozidi kuendelea, unaweza kukosa uwezo wa kunyoosha viunganishi vyako vya mifupa(joints) k**a inavyokuwa kawaida.

Je, Ni Muda Gani Unapaswa Kufika Hospitali?

K**a ukihisi maumivu ya ghafla kwenye jointi za mifupa, basi wahi fika hospitali. Ugonjwa wa gout unaotoweka bila kutibiwa unaweza kusababisha maumivu makali mno na hata kuharibu mifupa. Hakikisha unatafuta tiba mapema ikiwa k**a una homa na jointi za mifupa ni za moto na zimevimba, hali amb

*MADHARA YA KUTOONDOA SUMU KATIKA MWILI (DETOXIFICATION PROGRAM)*  Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi le...
28/01/2025

*MADHARA YA KUTOONDOA SUMU KATIKA MWILI (DETOXIFICATION PROGRAM)*

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi. VYANZO VYA SUMU Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;

1. Matumizi ya dawa mara kwa mara

2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara

3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia

4. Ukosekanaji wa lishe sahihi na diet nzuri

5.Matumizi ya madawa makali

6.Uzito mkubwa 7.Mitindo ya maisha 8.Njia za uzazi wa mpango za kisasa

DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI

1.Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi,vipele

2.kuwa na uzito wa kupindukia

3.kutokupata choo au choo kigumu

4.kukosa usingizi Na kujihisi kuchokachoka

5.Kiichwa kuuma

6.Kupata miwasho

7.Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti

8.kuwa na hasira mara kwa mara.

9.Tumbo kujaa gesi

MADHARA YAKE
1.kuondoa hamu ya tendo la ndoa
2.maumbikizi ya figo
3.Maumbikizi ya Ini
4.Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5.hupelekea uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke
6.Hupelekea matatizo ya pressure
7.Mvurugiko wa homoni
Jamani wengi tunaandaa detox zetu nyumbani ni kweli lakini si detox zote zinasafisha mifumo yote ya mwili kwa pamoja Huu ndio ukweli,jipatie detox kit ambayo inasaidia kusafisha mfumo wote wa mwili

๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—จ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—˜๐—ญ๐—œ ๐——๐—จ๐— ๐—˜ ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—™๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฉ๐—จ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—จ๐— ๐—˜ ๐—›๐—œ๐—œ ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข*IJUE ANDRO-T na MAAJABU YAKE MAKUBWA KWA...
25/01/2025

๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—จ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—˜๐—ญ๐—œ ๐——๐—จ๐— ๐—˜ ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—™๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฉ๐—จ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—จ๐— ๐—˜ ๐—›๐—œ๐—œ ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข

*IJUE ANDRO-T na MAAJABU YAKE MAKUBWA KWA MATATIZO SUGU*

โ— *KAZI KUU ZA ANDRO-T ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰

โ—‹ Inalinda tezi na kuzui kuongezeka kwa tezi dume na kuondoa uvimbe wa tezi dume
โ—‹ Inazuia kuongezeka Kwa Korodani *(Busha)*
โ—‹ Maumivu ya Korodani na chini ya kitovu
โ—‹ MWENYE Matatizo ya ngiri sugu
โ—‹ Inadumisha Afya ya Mkojo
โ—‹ Inatibu U.T.I sugu Kwa mwanaume
โ—‹ Inaboresha ufanisi wa tendo la ndoa
โ—‹ Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa
โ—‹ Husaidia kufika kileleni vizuri bila maumivu.
โ—‹Inanyonya maji yoote yanayofanya kitu kinaitwa Busha kwenye korodani.
โ—‹Huzuia TEZI dume kuongezeka ukubwa na hutibu na kutokomeza kabsa.
โ— *NANI ANATUMIA*
# Wanaume wenye kisukari na presha maukiwa na magonjwa hayo nguvu za uzazi hupungua

# Wanaume wenye shida ya tezi dume haswa wenye umri zaidi ya miaka 40.

# Watu wenye Matatizo ya kuvimba kwa korodani *(Busha)*

# Wanaume wenye shida ya kukojoa.

# Wenye shida za nguvu ya kiume.

ยฐ> Na Wanaume Wenye Shida Ya Mbegu. ( S***m ).

Piga
0758300178

Dozi ya mwezi tsh 160000

Wewe mwanamke BADO unasumbuka na haya.*IJUE DAWA IITWAYO MKOMBOZI KWA MWANAMKE NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO ZA ...
25/01/2025

Wewe mwanamke BADO unasumbuka na haya.

*IJUE DAWA IITWAYO MKOMBOZI KWA MWANAMKE NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO ZA WANAWAKE*

MKOMBOZI KWA MWANAMKE ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya akina mama k**a uvimbe kwenye kizazi,p.i.d,fangasi,uvimbe kwenye mayai,u.t.i sugu,chango na wale walioshindwa kubeba ujauzito KWA sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.

Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii ni๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

๐ŸŽ Vitamin B6 na C.
MKOMBOZI KWA MWANAMKE ni chanzo kizuri cha vitamin c na b6 na madini mengine mhimu ambayo husaidia kuweka sawa homon za k**e na pia huondoa sumu mwilini pia huondoa uvimbe kwenye kizazi na KUONDOA sumu zilizosababishwa na njia za uzazi wa mpango za kisasa.

๐ŸŽ Madini ya chuma,zink,magnesium,phosphorus,sodium,calcium na beta carotene.
Kuwepo KWA kiwango kikubwa cha madini haya husaidia yafuatayo KUONDOA majimaji ukeni,kuongeza moto ukeni,kuongeza hamu ya tendo la ndoa KWA wale ambao hawana hisia,kusogeza kizazi karibu na kusafisha kuta za uke.

๐ŸŽ Kuwepo KWA vitamin A,C,D,E,B COMPLEX.
Uwepo wa vitamin I katika dawa hii iitwayo MKOMBOZI KWA MWANAMKE huweza kufanya yafuatayo kusafisha kizazi,KUONDOA fangasi ukeni na p.i.d,KUONDOA muwasho na maumivu makali ya tumbo wakati wa period,KUONDOA uvimbe kwenye kizazi na mayai.

๐ŸŽ Uwepo wa omega 3,6,9.
Kuwepo KWA mafuta haya katika dawa hii ya chai dada huweza kusafisha kizazi na kuyeyusha uvimbe wote kwenye kizazi na mayai pia ni nzuri KWA mama mjamzito kupata chakula na dawa yenye omega 3

Virutubisho vingne vilivyotengneza
*MKOMBOZI KWA MWANAMKE ni k**a madini ya chuma,copper,manganese,selenium,vitamin B6,B12, K,A,E zink,omega 3,6,9 pamoja na aina mbalimbali za viondoa sumu.

Vitu hivi vyote vinatokana na mimea asili kabisa na vimewekwa pamoja kitaalamu KWA uwiano maalumu kuhakikisha unapona na unaishi Maisha marefu yenye afya na furaha.

๐Ÿ‘‰MKOMBOZI KWA MWANAMKE humwezesha mwanamke kupata mimba kwa Kwa kurekebisha mfumo wa uzazi...

โžก๏ธ MKOMBOZI KWA MWANAMKE hutibu na kuzuia Mvurugiko Wa Vichocheo vya Uzazi (Homon Imbalance)

โžก๏ธ MKOMBOZI KWA MWANAMKE hutibu na kuzuia Uvimbe

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naichan Afya First posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share