AFYA LINES

AFYA LINES health and well being tips

Sasa endepo k**a una mgonjwa amabae anashambuliwa na changamoto  ya ugonjwa wa pumu au wewe mwenyewe ni muhanga wa ugonj...
05/07/2023

Sasa endepo k**a una mgonjwa amabae anashambuliwa na changamoto ya ugonjwa wa pumu au wewe mwenyewe ni muhanga wa ugonjwa huo na yawezakuwa umekuwa ukikusumbua Kwa muda mrefu Sasa au ndio umeanza kupataa dalili zake hivi karibuni na pia umezunguka katika hospitali mbalimbali kubwa na ndogo lakini Bado ukaambiwa hakuna tiba ya kudumu ya ugonjwa huu na taarifa hizo zikaondoa matumaini ya kupona ndani yako, Sasa naomba nikupe taarifa/habari njema. Kwamba Mimi ninazo dawa ambazo ukizitumia Kwa kufuata maelekezo nitakayokupatia Mimi na ukafiata dozi k**a nitakovokuelekeza basi ugonjwa huo ndio itakuwa mwisho wake. Dawa hizi zimewasaidia watu wengine waliokuwa na changamoto k**a yako walipokubali kuniamini na kufuata maelekezo ya dawa na kuzingatia dozi Sasa wapo huru kabisa k**a binadamu wengine haijalishi umerithi au umeupata kwenye harakati zako za maisha ondoa shaka utapona. Sasa basi k**a unahitaji msaada wangu, tunaweza kuwasiliana kupitia namba yangu hii +255789764299 Kwa njia ya WhatsApp. Karibu nikuhudumie🙏🏾

*DAWA ZA PUMU/MATIBABU YA PUMU HOSPITALI*Dawa zinazotumika kutibu pumu hospitali zimegawanyika katika makundi mawili; zi...
05/07/2023

*DAWA ZA PUMU/MATIBABU YA PUMU HOSPITALI*
Dawa zinazotumika kutibu pumu hospitali zimegawanyika katika makundi mawili; zinzotuliza Maumivu haraka Kwa kutibu dalili Kali, na zinazodhibiti Maumivu Kwa muda mrefu, na dawa hizo ni k**a ifuatavo...

*DAWA ZA MUDA MFUPI*
💨 Beta2_adrenajiki agonistibeta2_adrenosepta agonistisi(SABA), k**a vile sabutomoli.

💨 Anticholinergics k**a vile bromidi ya ipratropiamu.

💨 Adrenajiki agonistisi k**a vile epinephrine.

💨 Oksijeni (oxygen)

*DAWA ZA MUDA MREFU*
💨Kotikosteroidi

💨Adrenosepta agonisti (LABA), k**a vile salmeterol na formoterol.

💨 Leukotriene antagonist k**a vile montelukast na zafirlukast.

💨 Mast cell stabilizer, k**a vile sodiamu kromolini.

*NB:*Dawa hizo hapo juu 👆 hazitibu ugonjwa Bali hutibu dalili, yaani hutuliza tu Maumivu ambayo mgonjwa anapitia.

*ATHARI ZA UGONJWA WA PUMU(ASTHMA)*
💨 Matumizi ya muda mrefu ya dawa za pumu aina ya Kotikosteroidi ya kuvuta Huwa na hatari ya kutokea Kwa cataract na kurudi nyuma kidogo Kwa akili.

💨 Pia ugonjwa huu ukikithiri Huwezana kuathiri utendaji kazi wa mtu, kwani muda ambao mtu huyo atashindwa kabisa kufanya kazi aidha kutokana na mazingira au Hali ya hewa ambavo huweza kuchangia katika kuamsha dalili za ugonjwa.

💨Kifo. Endapo mtu mwenye pumu atashindwa kuhudumiwa/ kupata msaada mapema pale dalili zinapoamka Kuna hatari ya kumpoteza mtu huyo kwani binadamu akikosa pumzi kwa muda mrefu Huwa kwenye hatari ya kumpoteza maisha

*UDHIBITI WA UGONJWA WA PUMU(ASTHMA)*💨 Njia muafaka ya kudhibiti ugonjwa huu ni Kwa kutambua visababisha k**a vile uvuta...
05/07/2023

*UDHIBITI WA UGONJWA WA PUMU(ASTHMA)*
💨 Njia muafaka ya kudhibiti ugonjwa huu ni Kwa kutambua visababisha k**a vile uvutaji wa sigara, wanyama, wadudu, mazingira machafu, na hewa chafu pamoja na kemikali na kuepukana navyo.

💨Ubadilishija wa mtindo wa maisha. Kuzingatia usafi, kukagua afya mara Kwa mara, kuzingatia mabadiliko ya Hali ya hewa na kuchukua tahadhari, kutumia lishe Bora, kutumia virutubisho lishe kwaajili ya kujikinga na ugonjwa huo, pamoja na kuweka mazingira safi na rafiki Kwa watoto, ni baadhi ya mitindo ya maisha ambayo mtu anatakiwa azingatie ili kudhibiti ugonjwa wa pumu.

💨 Kutumia dawa ipasavyo. Ikiwa mtu tayari ni mwaathirika wa ugonjwa wa pumu anatakiwa kuzingatia ratiba zake za kuhudhuria hospitali pamoja na kufuata matumizi sahihi ya dawa za kutuliza ugonjwa ili kudhibiti athari kubwa za ugonjwa.

*DALILI ZA UGONJWA WA PUMU(ASTHMA).*      Ugonjwa wa pumu huambata na dalili zifuatazo; 💨Kukoroma kusikokuwa Kwa kawaida...
05/07/2023

*DALILI ZA UGONJWA WA PUMU(ASTHMA).*

Ugonjwa wa pumu huambata na dalili zifuatazo;

💨Kukoroma kusikokuwa Kwa kawaida. Hali hii husababishwa na kujaa Kwa k**asi kwenye mapafu na bronkasi.

💨Upungufu wa pumzi. Hali hii huweza kusababisha mtu huyo kutoa sauti nyembamba k**a ya kipyenga(wheezing sound).

💨Kukohoa kwa kujirudiarudia. Makohozi yanaweza kutoka mapafuni, lakini Kwa kawaida Huwa ni vigumu kuyatoa.

💨Kutoa uchafu k**a usaha kwenye makohozi. Uchafu huu huwa ni kutokana na kiwango kikubwa Cha seli nyeupe za damu ziitwazo esinofili.

💨Kifua kubana. Pumu huwa inaambatana na Maumivu makali ya Kifua amayo Huwa k**a yanabana au kuvuta kifua

💨Kuongezeka Kwa mapigo ya moyo. Mojawapo ya dalili za pumu ni mapigo ya moyo kwenda mbio isivo kawaida.

NB: dalili hizi Huwa mbaya zaidi nyakati za usiku, mapema asubuhi, au Kwa athari ya mazoezi, au baridi.

*VISABABISHI VYA PUMU(ASTHMA)*      Ugonjwa huu husababishwa na mchanganyiko wa mwingiliano mgumu na usioeleweka kikamil...
05/07/2023

*VISABABISHI VYA PUMU(ASTHMA)*
Ugonjwa huu husababishwa na mchanganyiko wa mwingiliano mgumu na usioeleweka kikamilifu wa "KIMAZINGIRA" na "KIJENETIKIA" k**a inavoelezwa hapo chini 👇🏾

*KIMAZINGIRA*
Masuala mengi ya kimazingira yamehusishwa na kutokea Kwa pumu na Maumivu yake na sababu hizo ikiwa ni pamoja na....

💨Alejeni(allergens). Alejeni ni kitu chochote ambacho uwepo wake katika sehemu flani ya mwili au mfumo flani wa mwili huweza kuleta mabadiliko ya ukinzani(reaction) katika sehemu hiyo au mfumo huo. Alejeni za kimazingira ambazo huweza kusababisha ugonjwa wa pumu ni pamoja na vumbi, magamba ya wanyama hasa paka na mbwa, wadudu k**a vile Mende na poleni za mimea(pollens).

💨 Hewa chafu na kemikali zingine. Hewa chafu itokanayo na shughuli za Kila siku za mwanadamu k**a vile viwanda, matumizi ya mkaa na Kuni, Moshi wa magari n.k, shughuli hizi huweza kusababisha ongezeko kubwa la hewa chafu angani lakini pia hewa zitokazo ngazi za juu za ozoni k**a vile ozoni na kabonimonookisaidi. Lakini pia kemikali Kali k**a vile mercury na nyingine ambazo ni hatari zikiingia kwenye mfumo wa upumuaji wa mwanadamu huweza kusababisha pumu.

💨 Matumizi ya bidhaa za tumbaku k**a vile sigara na bangi wakati wa mimba. Uvutaji wa sigara wakati wa mimba na baada ya kujifungua huhusishwa na hatari kuu ya dalili zinazofanana na pumu.

💨 Hatari ya mchanganyiko wa ogani fukivu inaweza kuchochea kutokea Kwa pumu. Uhatarisho wa fomadeidi, fithaleti katika PVC huhusishwa na ugonjwa huu Kwa watoto na watu wazima.

💨 Matumizi ya antibiotics mapema maishani yamehusishwa na kutokea Kwa pumu, japo Bado utafiti unafanyika Ili kugundia sayansi iliyojificha nyuma ya hili swala.

💨 Kuzaa Kwa operesheni ya siza huhusishwa na ongezeko la hatari ya pumu( inakadiriwa kuwa asilimia 20-80 ). Ongezeko hili la hatari linahusishwa na ukosefu wa udhibiti bora wa bakteria ambao mtoto mchanga angepata kutoka Kwa njia ya uzazi.

*JENETIKIA(GENETICS)*
💨 Historian ya familia ni swala hatari huku jeni(genes) nyingi tofauti zikihusishwa na ugonjwa huu. Iwapo Kuna ndugu kati ya waliotangulia kuzaliwa anatajwa kuathiriwa na ugonjwa huu basi kunakuwa na uwezekano mkubwa Kwa kizazi kinachofuata kuathiwa pia na ugonjwa huu wa pumu kwani ni ugonjwa ambao unahisishwa kuathiri jeni(genes), mfano ikiwa k**a moja kati ya mapacha atakuwa ameathiriwa na ugonjwa huu basi inakadiriwa kuwa asilimia 25 na mwenzake atakuwa nao.

*NB* : Mfadhaiko wa kisaikolojia unaweza kuzidisha dalili, inakisiwa kuwa Mfadhaiko wa kisaikolojia hubadilisha mfumo wa kinga ya mwili na hivyo huongeza athari ya kuvimba Kwa njia ya hewa kutokana na Alejeni na vitu ambavo huwasha.

UFAHAMU UGONJWA WA PUMU(ASTHMA).💨Pumu ni Hali ya ugumu wa kupumua itokanayo na kupungua Kwa njia ya hewa kutokana na kuv...
05/07/2023

UFAHAMU UGONJWA WA PUMU(ASTHMA).

💨Pumu ni Hali ya ugumu wa kupumua itokanayo na kupungua Kwa njia ya hewa kutokana na kuvimba Kwa Kuta za koromeo la hewa na uzalishaji mkubwa wa k**asi kwenye mapafu. Hali hii huweza kuwa ya kawaida au kuwa hatari zaidi Kwa mara nyingine kiasi Cha kuweza kuathiri utendaji kazi wa mtu na hata kupelekea kifo endapo Hali itakuwa mbaya zaidi na kuchelewa kupata matibabu. Hali hii hutokea hasa nyakati za usiku, mapema asubuhi, wakati wa mazoezi, au wakati wa baridi Kali.

28/06/2023

*KIHARUSI(STROKE)*
🔺 Kiharusi ni ugonjwa unaoathiri ubongo ambayo Hali hyo hupelekea kuathirika upande wa mwili au mwili mzima kutokana na kwamba ubongo ndio kiungo pekee ambacho huuendesha mwili mzma.

🔺Kuna aina mbili za Kiharusi yaani:
*Ischemic stroke(Kiharusi kitokanacho na ukosefu wa hewa ya oxygen kwenye ubongo) na
*Hemorrhagic stroke (Kiharusi kitokanacho na kuvujia Kwa damu kwenye ubongo)
*NB*;Aina zote hizi za Kiharusi huupunguzia ubongo uwezo wa kufanya kazi yake vizuri na kupelekea baadhi ya sehemu za mwili au mwili mzima kushindwa kufanya kazi zake vizuri

🔺 Hospitalini ugonjwa huu umekuwa changamoto kubwa sana kutibu ila nikuoe matumaini kwamba ugonjwa huu unatibika Kwa bidhaa Bora kabisa zilizotengenezwa na viambata asilia ambavo vipo katika mfumo wa tibalishe.

*UTAJUAJE KWAMBA MTU AMEANZA KUSHAMBULIWA NA UGONJWA WA KIHARUSI*🤷🏾‍♂️

Watu wengi wamekuwa hawaelewi ni namna gani unaweza ukamgundua mtu anaeshambuliwa na ugonjwa wa Kiharusi mapema kabla ugonjwa haujakomaa, Sasa naomba nikuelwkeza namna ya kutambua mtu anaeshambuliwa na ugonjwa wa Kiharusi mapema kabla tatizo halijakuwa kubwa. K**a utakuwa unahisi ugonjwa wa Kiharusi umeanza kukushambulia au utahisi mtu wako wa karibu hiharusi kimeanza kumshambuli fanya vitu hivi ili kuthibitisha k**a anashambuliwa na Kiharusi.........

💨 Tabasamu. mwambie mtu huyo atabasamu, k**a upande mmoja wa mdomo utakuwa umeshuka kuliko upande mwingine atakapotabasamu basi ujue kabisa mtu huyo Kiharusi kimeanza kumshambulia.

💨Ganzi ya mara kwa mara kwenye Miguu na mikono. Endapo mtu atakuwa analalamika kushikwa na ganzi za mara kwa mara kwenye Miguu na mikono basi huyo mtu inabidi awahishwe hospitali kwani Kuna uwezekano mkubwa kwamba mtu huyo anashambuliwa na ugonjwa wa Kiharusi.

💨 Kunyanyua mikono. Mwambie mtu huyo anyanyuwe mikono yote miwili juu. Endapo mkono mmja utanyanyuka kidogo au atashindwa kuunyanyuwa kabisa basi ujue mtu huyo anashambuliwa na Kiharusi.

💨 Kumbukumbu. K**a utaona mtu anaanza Kupoteza kumbukumbu za vitu, watu, sehemu na nyakati k**a vile mahali anapoishi au alipozaliwa, mwaka wake wa kuzaliwa, na majina machache ya watu wake wa karibu na watu maarufu, hasa k**a ana umri wa kuanzia miaka 50 na kuendelea basi ujue mtu huyo anashambuliwa na Kiharusi.

💨 Balance. Endapo k**a utaona mtu anashindwa kupiga hatua au anakuwa mzito wa kupiga hatua na haikuwa kawaida yake basi ujue huyo mtu anashambuliwa na ugonjwa wa Kiharusi.

🕳️Basi k**a upo na mgonjwa mwenye dalili hizo hapo juu 👆 tunaweza kuwasilana kupitia namba +255789764299 ili niweze kukusaidia namna ambavo unaweza kupata matibabu

Take care of your own health,no one is going to take care of it if you don't
01/06/2023

Take care of your own health,no one is going to take care of it if you don't

*KIHARUSI(STROKE)* 🔺 Kiharusi ni ugonjwa unaoathiri ubongo ambayo Hali hyo hupelekea kuathirika upande wa mwili au mwili...
01/06/2023

*KIHARUSI(STROKE)*
🔺 Kiharusi ni ugonjwa unaoathiri ubongo ambayo Hali hyo hupelekea kuathirika upande wa mwili au mwili mzima kutokana na kwamba ubongo ndio kiungo pekee ambacho huuendesha mwili mzma.

🔺Kuna aina mbili za Kiharusi yaani:
*Ischemic stroke(Kiharusi kitokanacho na ukosefu wa hewa ya oxygen kwenye ubongo) na
*Hemorrhagic stroke (Kiharusi kitokanacho na kuvujia Kwa damu kwenye ubongo)
*NB*;Aina zote hizi za Kiharusi huupunguzia ubongo uwezo wa kufanya kazi yake vizuri na kupelekea baadhi ya sehemu za mwili au mwili mzima kushindwa kufanya kazi zake vizuri

🔺 Hospitalini ugonjwa huu umekuwa changamoto kubwa sana kutibu ila nikuoe matumaini kwamba ugonjwa huu unatibika Kwa bidhaa Bora kabisa zilizotengenezwa na viambata asilia ambavo vipo katika mfumo wa tibalishe.

🔺 *Ondoa shaka Kiharusi (stroke) kinatibika*

Kwa elimu zaidi au taarifa zaidi mawasiliano ni 0789764299

BAWASIRI inatibika bila operation/upasuaji Je unataka kujua ni Kwa namna gan.......?? Ni Kwa kutumia bidhaa Bora kabisaa...
30/10/2022

BAWASIRI inatibika bila operation/upasuaji
Je unataka kujua ni Kwa namna gan.......??
Ni Kwa kutumia bidhaa Bora kabisaa ambazo zimethibitishwa na TMDA mamlaka ya udhibiti madawa na vifaa tiba ambazo ni tiba lishe
Ukitaka kuzipata ni rahisi tu piga simu kwenda namba 0789764299

Address

Buzuruga
Mwanza
TMDA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA LINES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram