22/07/2025
*JIFUNZE KITU HAPA*👇
Period siyo ugonjwa kila mwanamke lazima aingie period awe amejiandaa au hajajiandaa.
Kwa kuwa siyo ugonjwa hautakiwi kupata dalili yoyote, kuumwa popote kuwa umekaribia au upo period.
Siyo kiuno, siyo tumbo, siyo kichwa, siyo chunusi, siyo maziwa kujaa au kuuma.
Haitakiwi.❌
Ni ugonjwa pekee ndiyo una dalili lakini period siyo ugonjwa.
Ukiona umepata dalili kuwa umekaribia period na ukaingia ujue kuna kitu hakipo sawa hata k**a siyo kikubwa lakini kipo.
Watu hawaamini k**a unaweza kuingia period bila kuumwa chochote lakini baada ya kutumia juisi wameamini.
Mfano 👇
Ukiumwa tumbo, kiuno, nyonga, ukikaribia au ukiwa period *hilo ni chango la Uzazi.* juisi ya bamia na chai ya mchaichai inakuhusu.
Ukiona maziwa yamejaa, yanatoa maji maji, yanauma au yanatoa maziwa kabisa ukikaribia au ukiwa period hiyo ni mvurugiko wa homoni. Tena ni prolactin homoni ipo juu ndiyo maana inafanya maziwa yaume, wengine kujaa, wengine kutoa maji maji na baadhi kutoa maziwa maziwa kabisa ilihali siyo WAJAWAZITO wala hawanyonyeshi hasa wanapokaribia au wawapo period.
Kwa ufupi *period siyo ugonjwa hivyo hutakiwi kupata dalili yoyote au maumivu yoyote kuwa umekaribia kuingia period au upo period.*🙏
*JE, WAJUA?.*
Period/hedhi nzuri kwa mwanamke inatakiwa iwe:.
1. Itoke siku 3 mpaka 5 lakini isizidi siku 7.
2. Itoke damu ya kawaida isiwe na mabonge, isiwe nyeusi wala isiwe na harufu yoyote.
3. Usipate maumivu yoyote au ishara yoyote kuwa umekaribia au upo period.
Mfano: Tumbo lisiume, kiuno kisiume pia maziwa yasiume, yasijae, yasitoe maziwa au majimaji.
4. Isitoke damu matone kiasi kuwa ushinde na pedi moja tu siku nzima. (Kawaida kwa siku unatakiwa ubadili pedi 3 mpaka 4).
5. Zinaweza kupishana tarehe lakini idadi ya siku kuufanya mzunguko wako kuwa wenye siku zinazofanana kila mwezi.
6. Usiruke wala kupitisha mwezi bila kuingia period ilihali wewe siyo mjamzito.
7. Usiingie period mara mbili au zaidi ndani ya mwezi mmoja.
*Je, wewe hali ya period/ hedhi yako ikoje namba ngapi inakuhusu hapo?.*