Tabibu Amani Ezekiel

Tabibu Amani Ezekiel tunajihusisha na tiba mbadala zenye ufanisi mkubwa kabisa. karibuni +255765366133 email: amaniezekiel35@gmail.com tupo mwanza

04/05/2025
27/01/2024
18/12/2023

Hapo Sasa tunaanza kuelewana

Duniani tunaishi kwa muda mfupi Sana tujitahidi kutenda wema kwa kadri tunavyoweza hata K**a inakuwa ngumu kiasi gani.
13/12/2023

Duniani tunaishi kwa muda mfupi Sana tujitahidi kutenda wema kwa kadri tunavyoweza hata K**a inakuwa ngumu kiasi gani.

Tutakukumbuka Daima Baba yetu.
12/12/2023

Tutakukumbuka Daima Baba yetu.

Kwaheri Ya kuonana tutaonana Asubuhi NJEMA Baba yangu Assistant Superintendent of Prison
12/12/2023

Kwaheri Ya kuonana tutaonana Asubuhi NJEMA Baba yangu Assistant Superintendent of Prison

Mwendo Umeumaliza Imani Umeilinda Tunakushukuru Sana Baba yetu kwa mema mengi Sana Uliyotufanyia  Pumzika kwa Amani BABA...
11/12/2023

Mwendo Umeumaliza Imani Umeilinda Tunakushukuru Sana Baba yetu kwa mema mengi Sana Uliyotufanyia Pumzika kwa Amani BABA YETU.

Ukielewa hapa Basi usitegemee kushindwa katika maisha Bwana na AKUBARIKI NA NAKUKUINUA TENA AMEN
22/09/2023

Ukielewa hapa Basi usitegemee kushindwa katika maisha Bwana na AKUBARIKI NA NAKUKUINUA TENA AMEN

Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ...
22/09/2023

Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...

Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.

Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.

Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.

Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.

Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto.

Alishindwa hata katika jaribio la kumpata mwanae, na kuamua kumshawishi mkewe kurejea nyumbani.

Akiwa na miaka kati ya 18-22, alikua msimazi wa njia za reli lakini alishindwa akafukuzwa.

Baadae alijiunga na Jeshi lakini akafukuzwa pia.

Akatuma maombi shule ya sheria ila hakupata nafasi.

Akawa muuzaji wa Bima lakini alishindwa pia.

Hatimaye akapata ajira k**a mpishi na mwosha vyombo wa mgahawa mdogo.

Akiwa na miaka 65 alistaafu ajira yake ya kupika na kuosha vyombo katika mgahawa,

Baada ya kustaafu alipata mafao yake kutoka serikalini dola 105$, k**a Tsh 262,500.

Alidhani serikali imemuona k**a hajiwezi kabisa.

Akafanya jaribio la kujiua, akiamini hakuna thamani ya kuishi tena na kwamba ameshashindwa sana.

Hakufanikiwa hata katik jaribio lake hilo.

Akaamua kukaa chini ya mti na kuandika matarajio yake, Ila aliona ayaandike yale aliyoyakamilisha tayari.

Akagundua kuna mambo mengi hakuyafanya bado.

Akagundua lipo jambo moja ambalo anaweza kulifanya vizuri zaidi kuliko mtu yeyote yule anayemfahamu.

Na ilikua ni namna gani ya kupika.

Akaamua kuchukua dola 87$ k**a Tsh 217,500 kutoka kwenye Hundi yake ya pensheni na kununua kuku.

Akawakaanga kwa kuwachanganya na viungo anuai akapata mchanganyiko wa aina yake (unaovutia).

Akaamua kupita mlango kwa mlango kuwauza kwa majirani zake huko Kentucky.

Mchanganyiko ule ukapendwa sana na akaamua kuanzisha mgahawa wake uitwao Kentucky Fried Chicken (KFC)...
..uliokua ukitengeneza mchanganyiko wa kuku alioubuni.

Hatimaye biashara yake ikakua na akafungua migahawa mingi ya KFC nchini Marekani.

Mchanganyiko ule ukazidi kupendwa na kutanua wigo wa biashara yake.

Huyu si mwingine ni Colonel Harland Sanders mwanzilishi wa migahawa ya KFC duniani.

Licha ya kustaafu akiwa "fukara wa kutupwa" katika umri wa miaka 65, lakini hadi wakati anafariki (1980)...
..akiwa na umri wa miaka 90 alikua katika orodha ya mabilionea wakubwa nchini Marekani.

Kwa sasa migahawa ya KFC imeenea kote duniani katika nchi 123, Tanzania ikiwemo.

Na ni mgahawa wa pili mkubwa ulioenea zaidi duniani baada ya migahawa ya McDonald's.

Mwaka 2013 migahawa ya KFC ulifanya mauzo ya dola Bilioni 23 sawa na Tsh Trilioni 50.

Kumbuka muasisi alikua FUKARA hadi uzee wake (miaka 65) na akadhani ameshindwa maisha.

Akajaribu kujiua.

Lakini baada ya kutafakari akaona bado ana nafasi ya kujaribu tena.

Akajaribu japo katika umri wa uzee, na hatimaye Mungu akamfanikisha.

Akawa BILIONEA MKUBWA sana nchini Marekani.

Je wewe umekata tamaa ya maisha?

Ulitamani kusoma lakini ukashindwa kwa kukosa ada?

Umesoma lakini umekosa ajira?

Miaka inapita na unaona wenzio wanaajiriwa wewe uko tu nyumbani?

Je Umejaribu biashara lakini kila wakati unapata tu hasara?

Unahisi kukata tamaa?

Unahisi Mungu amekuacha?

Usikate tamaa.

Mungu hajakuacha.

Jipange tena na uanze upya.

Haujakawia bado.... Kitu kikubwa ni "Mtazamo" ( Attitude).

Usikate tamaa ....

Haijalishi mambo ni magumu kiasi gani.

Una kila kitu cha kukufanya Ufanikiwe.

Amua kubadili mtazamo ili kubadili Stori ya maisha yako.

Inawezekana, anza sasa.!

K**a umejifunza vitu tafadhali SHARE makala hii na rafiki/ndugu/jamaa wengi kadri uwezavyo...
..kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi.

TUPIGIE

+255765366133

LOMALINDA SANITARIUM CLINIC KWA HUDUMA BORA ZILIZOBORESHWA NA ZA UHAKIKA

Address

Nyegezi
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255765366133

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabibu Amani Ezekiel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tabibu Amani Ezekiel:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category