Ijue Afya yako na Dr mudi

  • Home
  • Ijue Afya yako na Dr mudi

Ijue Afya yako na Dr mudi This page deals with providing education about human health so as people may treat themselves at home

Je, ulikua ukiangaika  kwa muda mrefu kutatua tatizo la harufu mbaya mdomoni au tatizo lolote la meno basi tatizo lako l...
23/03/2023

Je, ulikua ukiangaika kwa muda mrefu kutatua tatizo la harufu mbaya mdomoni au tatizo lolote la meno basi tatizo lako limefika mwisho kwani DR MUDI ameandaa group la WhatsApp ili kutoa elimu jinsi ya kutunza meno Yako na mdomo kiujumla ili kuondokana na harufu mbaya mdomoni na elimu hiyo inatolewa Bure kabisa ndani ya siku 14,
Ili kuweza kujiunga na Hilo group save namba hii 0747936356 Dr mudi na utume sms NIUNGE au bonyeza Link hapo chini na tuma sms NIUNGE na utaungwa Moja kwa Moja kwenye group ili uweze kupata elimu ya afya ya meno na kinywa.
https://wa.me/message/QKTY2XEF6PKJC1

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Harufu Mbaya Ukeni Ndani Ya Kipindi Kifupi.Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na h...
28/01/2023

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Harufu Mbaya Ukeni Ndani Ya Kipindi Kifupi.

Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na harufu Mbaya ukeni

Tatizo hili limewafanya wanawake wengi kushindwa hata kujumuika na wenzao kwenye masherehe, harusini na hata misibani.

Mbaya Zaidi limewaondolea hari ya kujiamini kwa wenzao na kujiona k**a ni wanawake wasiokamilika.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili litaambatana na uchafu kutoka ukeni, wengi wanashindwa kufurahia tendo la ndoa na hata kuhatarisha usalama wa mahusiano yao.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suruhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba ya antibiotics hospitalini inayoua hata bakteria walinzi wanaolinda uke na ndomana baada ya Muda mfupi tatizo hujirudia tena.

K**a na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo

Basi Nina habari Nzuri kwako.

Nimekuandalia Video Maalum itakayokuonyesha njia rahisi na salama hatua kwa hatua jinsi ya kutokomeza tatizo hili kwa kipindi kifupi tu, hata k**a ushahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio.

Na hii Video Nitakutumia kwenye WhatsApp yako.

Ili kupata video hii Sasahivi kwa urahisi save hii namba (Mudi) kwenye simu yako kisha nituma ujumbe WhatsApp (Video) na utatumiwa video yote Bila gharama yeyote.

P.S Tangazo hili halitokuwepo hewani Muda wote, Ili upate njia rahisi na salama ya kutokomeza tatizo la harufu ukeni Sasahivi Save namba hii 0747936356 (Mudi) kwenye simu yako Kisha tuma ujumbe WhatsApp (Video) na utatumiwa video mala moja.!

Au Piga Simu 0747936356

Juwa kuhusu shinikizo la damu ili uweze juwa afya yako mapema
25/01/2023

Juwa kuhusu shinikizo la damu ili uweze juwa afya yako mapema

Karibu ujiunge kwenye page yetu ili uweze kuijua afya yako kiundani zaidi ili uweze kujitibu mwenyewe kabla ya kwenda ho...
25/01/2023

Karibu ujiunge kwenye page yetu ili uweze kuijua afya yako kiundani zaidi ili uweze kujitibu mwenyewe kabla ya kwenda hospitali

Address


Telephone

+255623627246

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue Afya yako na Dr mudi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ijue Afya yako na Dr mudi:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share