Asiliatz

Asiliatz Uza na nunua bidhaa kutoka Tanzanania, tunakurahisishia kufanya biashara Boss.

Merry christmas family #2020
25/12/2019

Merry christmas family

#2020

🎯Mambo ma 5 kwanini watu hawa nunui1. Hawana huhitaji wa unacho uza.K**a mtu hana huitaji wa unacho uza hawezi kununua.📌...
15/11/2019

🎯Mambo ma 5 kwanini watu hawa nunui

1. Hawana huhitaji wa unacho uza.
K**a mtu hana huitaji wa unacho uza hawezi kununua.

📌K**a mjasiririamali unahitajika kumfanya mtu awe na uhitaji wa unachouza, kwa kumuonesha faida na manufaa ya unachomuuzia.

2. Hana uharaka wakununua muda huo.
K**a mtu haoni haraka yakununua hicho unacho uza muda huo basi hawezi kununua.

📌K**a mjasiriamali unawajibu wa kumpa uwoga mteja kwamba akichelewa kununua mda huo basi atakosa mazuri. Hii unaweza kufanya kwa kutoa offer za muda mfupi.

3. Hana tamaa au hamu ya kununua
K**a myeja hatamani unacho uza au hana amu ya unacho uza hawezi kununua.

📌K**a mjasiriamali unahitaji kumpa mteja hamu yakununua. Unaweza kufanikisha kwa kumuonjesha mteja kidogo unachouza.

4. Hana pesa
Ndio mtu hawezi kununua sababu hana pesa yakununua unacho uza.

📌K**a mjasiriamali unawajibu wakutambua hali mteja wako, k**a umefanikisha vyote hapo juu lakini hana pesa yakununua, hau paswi kumuachilia huyo mteja, omba maswaliano au muwekeane ahadi moaka lininatakua napesa yakunua, pia usisahau kumuonesha bidhaa ambazo anaweza kununua kwa bei pungufu.

5. Hakuamini
K**a mtu hakuamini hawezi kununua unacho uza.

📌K**a mjasiriamali unawajibu wakujenga uaminifu kwa wateja, tumia mitandao yakijamii waoneshe unapofanyia kazi, waonesha watu waliofurahia huduma yako, waoneshe namna watakavyo hudumiwa, husijifiche fiche nyuma ya pazia hasa kwa biashara ndogondogo. Wacha wakutambue wewe ni nani. Ndio labda kuna biashara zingine zinahitaji ujifiche iliufanye biashara.nyingi ni zamagendo.

✔️Haya ndio mambo matano kwanini watu hawa nunui.

🎤Komenti, ni jambo gani umegundua kwenye biashara yako lina punguza kasi ya mauzo, kulingana na hayo mambo hapo juu

KUPATA KITABU cha "jinsi yakupata wateja 440 - 1,300 kila siku" Komenti "BUY".

05/09/2019
05/09/2019
05/09/2019
28/05/2019

Njia rahisi kununua bidhaa asiliatz.co, Chagua bidhaa----bonyeza kitufe kikubwa cha kijani chenye maandishi----tunamalizana Whatsapp. "Let us take Tanzania to the world"

Tunakila sababu yakukuzogezea kilicho bora, bidhaa asili za kitanzania bei poa...
18/11/2018

Tunakila sababu yakukuzogezea kilicho bora, bidhaa asili za kitanzania bei poa...

Mkoba wa Shanga ni mkoba unaotengenezwa na urembo mbalimbali wa shanga tofauti tofauti na rangi. Unaweza tengenezewa mkoba wa shanga kulingana na rangi ya nguo zako na mtindo utao utaka mwenyewe.

Samani nzuri na imara zinapatikana Aina tofauti tofauti. Tembelea ASILIATZ.COM uchague kilicho bora kutoka TANZANIA na K...
14/11/2018

Samani nzuri na imara zinapatikana Aina tofauti tofauti. Tembelea ASILIATZ.COM uchague kilicho bora kutoka TANZANIA na Kufanya mahemezi yako sasa popote ulipo TANZANIA. Tunakuletea mpaka mlangoni # # # # # # kuisogeza Tanzania ya Viwanda.

Fanya mahemezi ya Mitungi Mizuri na imara ya ndani na nje ya nyumba yako kwa bei rahisi kabisa, Ukiwa na ASILIATZ.COM tu...
14/11/2018

Fanya mahemezi ya Mitungi Mizuri na imara ya ndani na nje ya nyumba yako kwa bei rahisi kabisa, Ukiwa na ASILIATZ.COM tunakutea popote ulipo TANZANIA.Weka Oda yako sasa kwa bidhaa bora kutoka TANZANIA # # # # # # # #

Chagua bidhaa uipendayo sasa na utaletewa mpaka mlangoni kwako. ASILIATZ.COM ndo sehem pekee unapata bidhaa za pamoja zi...
13/11/2018

Chagua bidhaa uipendayo sasa na utaletewa mpaka mlangoni kwako. ASILIATZ.COM ndo sehem pekee unapata bidhaa za pamoja zinazo tengenezwa na Watanzania # # # # # # # # #

Fanya mahemezi yako sasa na ASILIATZ.COM popote ulipo TANZANIA. Wasiliana nasi 0767402964 Au 0743306059 Buzuruga -Mwanza...
13/11/2018

Fanya mahemezi yako sasa na ASILIATZ.COM popote ulipo TANZANIA. Wasiliana nasi 0767402964 Au 0743306059 Buzuruga -Mwanza.

Tembelea ASILIATZ.COM kwa mahemezi yako popote ulipo TANZANIA. Tunakulete mpaka mlangoni
13/11/2018

Tembelea ASILIATZ.COM kwa mahemezi yako popote ulipo TANZANIA. Tunakulete mpaka mlangoni

Mwanza -Tanzania
13/11/2018

Mwanza -Tanzania

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asiliatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Asiliatz:

Share

Our vision to become Alibaba of Tanzania

Asiliatz ni duka la mtandaoni linaloruhusu wasambazaji na wazalishaji wabidhaa hapa Tanzania kuuza bidhaa zao popote Duniani.

Asiliatz imeanzishwa na wa Tanzania,vijana wawili kutoka Mwanza yalipo makao makuu ya Asiliatz.

Lengo letu nikusaidia wafanya biashara wadogo wakiwemo wabunifu na wenyeviwanda Tanzania kupata soko la kuuza bidhaa zao popote duniani.

Tunajitahidi kila tuwezalo kurahisisha njia za malipo na usafirishaji wa bidhaa kwamteja uwe wateknolojia ya hali ya juu na usalama zaidi.