
08/07/2025
HUDUMA ZA UPASUAJI WA MIFUPA NA UTI WA MGONGO
Ikiwa ndugu, Jamaa au rafiki yako anauhitaji wa huduma zifuatazo
1. Anamaumivu ya muda mrefu ya goti au nyonga na anahitaji upasuaji (KNEE & HIP REPLACEMENT SURGERY)
2. Anamaumivu ya mgongo ya muda mrefu, Pingili za mgongo zimetuna, anahisi ganzi au amevunjika uti wa mgongo na anahitaji upasuaji (SPINE SURGERY)?
3. Amevunjika Mfupa na anahitaji upasuaji?
Huduma hizi zinapatikana kila siku J3 hadi Ijumaa Saa 2 kamili asubuhi hadi saa 11 Jioni
Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA, UNISURE, GA na wanaolipa fedha taslim
Tembelea kliniki ya upasuaji wa mifupa Iseni, Butimba Mwanza
Wasiliana nasi kwa namba 0744-442-444