
08/08/2025
...🌱Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya NANE!!...📚JIUNGE NA CHUO BORA, CHUO CHA AFYA BWIMA!...📚MAAMUZI YA LEO NDIO KIOO CHA MAISHA YAKO YA BAADAE!...🎓Karibu Chuo cha Afya Bwima kilichopo jijini Mwanza Manispaa ya Ilemela - Igombe!
....📚Tunatoa kozi za:-
● DIPLOMA YA UFAMASIA ( PHARMACY).....MIAKA 3
● DIPLOMA YA SOMO LA MIONZI (RADIOLOGY)....MIAKA 3
● DIPLOMA YA UTABIBU ( CLINICAL MEDICINE).....MIAKA 3
● DIPLOMA YA USTAWI WA JAMII ( SOCIAL WORK).....MIAKA 3
...📚ADA NI NAFUU NA INALIPWA KWA AWAMU NANE!
....✒HOSTELI NA USAFIRI WA KWENDA MAENEO YA MAFUNZO KWA VITENDO NI BURE!....✒PIA CHUO KINATOA HUDUMA YA CHAKULA KWA GHARAMA NAFUU KABISA!
...📝KARIBU BWIMA KWA ELIMU BORA KATIKA SOKO LA AJIRA!...📌CHUO KINA UZOEFU WA MIAKA 10...📌CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBARI HAS/151C
Wasiliana nasi kupitia Namba:- 0767493683/ 0675988104 /0710583683