Ruga's herbal clinic

  • Home
  • Ruga's herbal clinic

Ruga's herbal clinic PATA TIBA USHAURI WAKITAALAMU ZAIDI KUPITIA PAGE HII KIASILI ZAIDI.

Hapa kuna unga mchanganyiko wa miti shamba ambao unatibu kabisa matatizo yafuatayo.1:Inasisimua k**a hauna hamu ya tendo...
22/02/2024

Hapa kuna unga mchanganyiko wa miti shamba ambao unatibu kabisa matatizo yafuatayo.
1:Inasisimua k**a hauna hamu ya tendo la ndoa.
2:Inaimarisha misuli ya uume k**a imelegea.
3: Inaongeza stamina za mwili k**a mtu akifanya mapenzi uume unalegea k**a nyama.
4:Inaondoa uchovu wa mwili na kuwa imara kabisa.
5:Inakufanya unaenda mda mrefu bila kufika kileleni mapema kabla ya mwenzi wako na kumfanya afrahie tendo kwa kulizika.
WASILIANA NASI K**A UNAITAJI DAWA HII IKO VIZURI SANA NA IMEWASAIDIA WENGI
0785226517 / 0745871404
0785226517 / 0745871404

Karibu tukuudumie
08/12/2023

Karibu tukuudumie

08/12/2023

Kiujumla tumbo likiisha pata changamoto lazima mwili mzima udhoofike.

Fuatilia pata ushauri VIDONDA VYA TUMBO vinatibika.

TIBA MUHIMU ZA KIBIOLOGIA.

kwa matibabu sahihi, unashauriwa kutumia matibabu haya ambayo ufanya kazi ya Kuzalisha, kurekebisha na kujenga upya mifumo ya mwili kupitia SELI, TISSUE NA ORGAN ambayo upelekea kuimalisha kinga za mwili.
Haya ni matibabu yasiyokuwa na madhara yoyote mwilini.

kwa ushauri zaidi tuwasiliane; 0785226517

0745871404

Mtaalam na Mshauri wa Magonjwa yanayotokana na kuharibika kwa mifumo ya Mwili.
BARIKIWA SANA

05/01/2023

Ikiwa unakabiliana na changamoto k**a hizi

🔸kukosaa choo kwa muda wa siku mbili au zaidi,

🔸kupata choo kigumu halafu kwa shida sana
,
🔸kupatwa na hisia za miwasho mara Kwa mara sehemu zako za haja kubwa,

🔸kupata maumivu makali sana wakati wa kujisaidia

usiendelee Kudumu katika hali k**a hiyo Kwani Baada ya muda inaweza kusababishia kinyama katika sehemu yako ya haja kubwa na ukalazimika kufanya upasuaji.. *Piga simu, tuma msg kwa msaada wa haraka zaidi uonapo dalili hizo*0785226517/0745871404

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.👉Uume kusimama...
29/12/2022

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe neno AFYA kwenda whatsapp namba 0785226517 au 0745871404 piga simu usaidiwe mapema

Njooo tukuudumie
21/03/2022

Njooo tukuudumie

TATIZO LA UKE MKAVU⁣⁣⁣⁣MSHAURI: 0745871404 / / 0785226517Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/ kiwango k...
15/02/2022

TATIZO LA UKE MKAVU⁣⁣
⁣⁣
MSHAURI: 0745871404 / / 0785226517

Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/ kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaani ESTROGEN HORMONES ambayo huleta ute na vilainishi vya uke.⁣⁣
⁣⁣
⚫Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastani ambao hufanya uke kubana, kuleta joto na raha katika tendo la ndoa.⁣⁣
⁣⁣
VISABABISHI VYA UKE MKAVU⁣⁣
⁣⁣
⏩Upungufu/ kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi⁣⁣
⏩Magonjwa ya zinaa k**a kaswende, gonorea n.k⁣⁣
⏩U.T.I sugu⁣⁣
⏩Fangasi sugu ukeni⁣⁣
⏩Uke mchafu ⁣⁣
⏩Matumizi ya sabuni zenye kemikali kusafishia uke⁣⁣
⏩Matumizi ya pedi zisizo na viwango.⁣⁣
⁣⁣
DALILI ZA UKE MKAVU⁣⁣
⏩Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa ⁣⁣
⏩Kutokwa na damu wakati/ baada ya tendo la ndoa ⁣⁣
⏩Kukosa/ kupungua hamu ya tendo la ndoa ⁣⁣
⏩Maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo ⁣⁣
⏩Maumivu ya mifupa na viungo yasiyoisha⁣⁣
⏩Kuwa na ngozi kavu ⁣⁣
⏩Siku za hedhi kutokuwa na mpangilio maalum ⁣⁣
⏩Kutofurahia tendo la ndoa ⁣⁣
⁣⁣
MADHARA YA UKE MKAVU⁣⁣
⏩Upungufu/ kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi estrogen, progesterone, Endrogen, Testosterone, n.k (HORMONES IMBALANCE )⁣⁣
⏩kutoshika mimba ⁣⁣
⏩Siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum ⁣⁣
⏩Ni rahisi kushambuliwa na maambukizi katka mfumo wa uzazi k**a PID,PCOS n.k⁣⁣
⁣⁣
JIBU LA TATIZO LA UKAVU UKENI LINAPATIKANA HIVYO USISITE KUJA KUPATA TIBA KWA KUWASILIANA NASI 0785226517/0745871404

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke...
30/01/2022

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0745871404/ 0785226517 au piga simu usaidiwe haraka

05/01/2022
*KARIBU RUGA'S HERBALCLINIC*Kupitia bidhaa zilizo tengenezwa na aina tofauti za mimea & matunda.*Kupambana na magonjwa s...
04/01/2022

*KARIBU RUGA'S HERBALCLINIC*

Kupitia bidhaa zilizo tengenezwa na aina tofauti za mimea & matunda.

*Kupambana na magonjwa sugu*

▪︎ VIDONDA VYA TUMBO
▪︎ KUPUNGUZA UZITO
▪︎ MATATIZO YA UZAZI
▪︎ NGUVU ZA KIUMEKUREFUSHA UUME
▪︎ KUKOSA HEDHI,MAUMIVU n.k
▪︎ WAATHIRIKA WAPUNYETO
▪︎BAWASIRI
▪︎ MAGONJA YANAYOSAMBAZWA KWA NJIA YA NGONO
▪︎ KUONGEZA UUME NA MAUMBO KWA WANAWAKE

K**a unasumbuliwa na tatizo lolote lile kiafya, wasiliana nasi kupata ushauri zaidi au kupewa utaratibu husika.

*Dawa hizi zitakufikia popote ulipo nchini na nje ya nchi*,
WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA IZO.
0785 226 517
0745 871 404

UJUE VIZURI MSULI UNAOINUA NA KUIMARISHA UUME Pelvic  muscle ni msuli unaoinua uume .Wakati uume unasimama ndiyo unashik...
09/12/2021

UJUE VIZURI MSULI UNAOINUA NA KUIMARISHA UUME

Pelvic muscle ni msuli unaoinua uume .Wakati uume unasimama ndiyo unashikilia ni k**a mzizi wa uume.Pia huwezesha kubana mkojo au kakata mkojo .Vile vile wakati wa kujamiana huwezesha mwanaume kujicontrol asitoe mbegu mapema .Huu msuli ukilegea mwanaume anashindwa kujitawala wakati wa kujamiana ,akijaribu kubana asimwage mbegu anajikuta anashindwa zinaponyoka sekunde chache tu!

Mambo Yanayolegeza msuli huu ni ;
1)Uzito mkubwa.
2)Punyeto yani kujichua Sana
3)Kivimbiwa tumbo/Tumbo kujaa gesi
4)Bawasili.
5)Matatizo Ya Mzunguko wa Damu .
6)Kukohoa Sana/kwa muda mrefu.
7) matumizi ya pombe kupita kiasi
8) magonjwa ya utotoni mf chango na ngiri.
Suluhisho: Tuma ujumbe whatsapp namba 0745871404 au piga simu 0785226517 usaidiwe mapema

⏯ SABABU NA KWANINI BAADHI YA WANAUME WANAKUA NA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI (Kibamia)⏯ NA PIA KWANINI WANAUME WENGI WANA ...
16/07/2021

⏯ SABABU NA KWANINI BAADHI YA WANAUME WANAKUA NA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI (Kibamia)
⏯ NA PIA KWANINI WANAUME WENGI WANA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA ZAKE KIASILI 100%

⏯CHANZO CHA ASIKARI KUWA MDOGO.NA KUSINYAA (Kibamia)
_SABABU
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii
husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume
kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi
6. Magonjwa ya ngiri
7. Kukaa sehem za baridi wakati mwingi MF AC kwenye magari ,nyuma nk

⏯TIBA
K**a uume umesinyaa au uko mdogo sana Tumia dawa ya Mchanganyiko wa dawa 9 za asili za unga na mafuta k**a tulivoeleza awali iitwayo ( )
Imewasaidia sana waarabu ,wazanzibar wakenya wengi sana inaleta majibu ndani ya muda wa siku 7 _14
_Tunakuhakikishia k**a umeshakata tamaa jaribu hii hakika utafurahia huduma zetu
⏯GHARAMA,
👉 gharama za mchanganyiko huo wa superman Tshs 65,000/=tu
Tuachie ujumbe WhatsApp kwa namba 0745871404 au piga 0785226517
Andika naìtaji

⏯ZIJUE DALILI, SABABU , NA TIBA SAHIHI ZA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

⏯Upungufu wa nguvu za kiume ni neno la jumla amabalo linaunganisha sehemu zifuatazo kwa mwanaume ,
_Hizi ni k**a dalili za upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume

1.Kuwahi sana kufika mshindo /kileleni mapema
2.Kushindwa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara Moja
3.Kupungua au kukosa kabisa hamu ya tendo LA ndoa
4.Uume kusimama kwa ulegevu sana
5.Maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga kiujumla

⏯JE KWANINI NGUVU ZA KIUME ZINAPUNGUA ?AU MPAKA KUISHA KABISA

⏯Sababu za kupungukiwa nguvu za kiume
1. Kujichua kwa muda mrefu (musterbation)
Husababisha mishipa ya uume kulegea hasa (pelvic muscle) mshipa mkuu amabao huruhusu kuziba au kuachia manii (mbegu)
_hii hupelekea mtu kuwahi kufika kileleni
Pia uume kushindwa kusimama imara (kwa ulegevu)
2.Magonjwa ya Kisukari na presha
3.magonjwa ya ngiri (hernia)
4.Ndoto za usiku za Mara kwa Mara
5.Ulaji mkubwa wa vyakula vya mafuta mengi .
6.Uchovu ,kuchoka sana pia na mawazo kwa wingi (stress)
7.Ulevi ,MF ,unywaji wa pombe ,uvutaji sigara ,madawa ya kulevya ,na aina nyingine za vilevi
8.Matumizi ya vidonge wakati wa tendo (Vi**ra)

⏯JE TIBA YAKE NI NINI ?

⏯Tumia dawa iliyothibitishwa na mkemia mkuu wa serikali (LAB NO: 762/2011) iitwayo (Mlingo)heshima /dume ,
Dawa hii inatoa matokeo 99% na 1% ndo jitihada zako binafsi

INA maliza na tatizo LA kujichua, kukaza mishipa iliyolegea k**a umejichua muda mrefu ,unawahi kufika kileleni, kukosa hamu ya TENDO LA NDOA.

⏯K**a una matatizo ya NGUVU za kiume niachie ujumbe
WhatsApp pia 0745871404 au piga 0785226517.
andika *heshima ya ndoa*
Tshs 55,000/=
-Pia
⏯Tunatibu magonjwa ya ngiri/hernia. 50,000 aina zote
⏯ Dawa za kupunguza uzito na unene/KITAMBI (mafuta mwilini) 70,000/=
⏯Tunatibu fungus aina zote, U T I Sugu , 40,000/=
⏯Maumivu ya NYONGA kiuno na mgongo

👉MWANZA , DAR ES SALAM, TUMAPATIKANA AU PIA UNAWEZA KUFIKISHIWA DAWA POPOTE ULIPO,
👉MIKOANI KWINGINEKO TUTAKUTUMIA KWA BUS DERIVERY IN 12_24HRS
👉ZANZIBAR KWA BOAT ZA AZAM EXPRESS ,

Sambaza ujumbe huu ,share sehem tofauti ,wajuze watu wasiharibu gharama zao watumie dawa hizi watapata majibu mazuri

MAAJABU YA DAWA YA ‘MLINGO ’ KATIKA KUMALIZA NA KUPONYESHA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUWAHI KUFIKA KILELENI. Ruga's He...
08/07/2021

MAAJABU YA DAWA YA ‘MLINGO ’ KATIKA KUMALIZA NA KUPONYESHA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUWAHI KUFIKA KILELENI.
Ruga's Herbal clinic & Nutritional Foods ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa
a) tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
b) Kuwahi mapema kufika kileleni
c) Kushindwa kurudia tendo la ndoa
d) Kukosa hamu ya tendo
d) Kutoa manii kidogo sana na nyepesi.
e) Kurutubisha mbegu na kuondoa uchovu baada ya tendo la ndoa
 Dawa hii iitwayo “MLINGO’ ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) isiyokuwa na kemikali ya aina yoyote na inaponyesha na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume ndani ya siku SABA tu na ushuhuda kwa tuliowahudumia unazidi kuongezeka kila kukicha mambo ya kuwahi tena hakuna na mshindo mmoja washasahau,
JINSI DAWA YA MLINGO INAVYO FANYA KAZI
 Dawa ya MLINGO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara k**a msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume
iii. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
iv. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo.
v. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja bila kuchoka.vi. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
vii. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.viii. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
ix. Husaidia kutibu chango la kiume.x. Inakuwa uwezo wa kukaa kifuani kwa muda mrefuxi. Pia kurutubisha mbegu za kiume
xii.. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
BEI YA DAWA : Bei ya Dawa hii ni shilingi 55,000/=
JINSI YA KUIPATA DAWA:

 MWANZA, DAR, MOSHI.
 KWA WATEJA WA MIKOANI : Kwa wateja wa mikoani tunawatumia dawa kwa njia ya mabus
 Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya meli za azam express
 KWA WATEJA WA NCHI JIRANI : Kenya, Uganda, Rwanda & Burundi tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi.
 Kwa wateja wa nje ya Afrika : Kwa wateja wa nje ya Afrika tunawatumia dawa kwa njia ya posta au DHL.
 Kwa wateja wa SOUTH AFRIKA NA BOTSWANA.Kwa wateja wetu waliopo South Afrika na Botswana tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi au posta.
MAWASILIANO : Wasiliana nasi kwa simu namba
Watsapp/sms /call 0745871404
0785226517

Kujituma ndio siri ya mafanikio
23/06/2021

Kujituma ndio siri ya mafanikio

Mafuta ya tini
05/02/2021

Mafuta ya tini

K**A WEWE💪💪💪 MWANAUME KWELI💪 ACHA KULAMBA AU KUPAKA DAWA ZA KUBUST MACHINE KUFANYA HIVYO NI KUJIONGEZEA TATIZO ZAIDI MAN...
03/11/2020

K**A WEWE💪💪💪 MWANAUME KWELI💪 ACHA KULAMBA AU

KUPAKA DAWA ZA KUBUST MACHINE KUFANYA HIVYO NI KUJIONGEZEA TATIZO ZAIDI

MANA UTAKUA HAUWAKI PAKA UPIGE starter

TUMIA DAWA HII ILI KUMALIZA TATIZO MOJA KWA MOJA KWA WALIO ASIRIKA
KWA UPIGAJI PUNYETO (KUJICHUA) WAKAWA NI WENYE UUME REGEVU
UUME KUSINYAAA KUTOKANA NA NGIRI NA KUFANYA UUME. KUA MDOGO AU KURUDI NDANI HUFANYA UUME KURUDI MAHALA PAKE
HII UKU FANYA KUA NDINDINDI NA MWENYE KUDUMU NA KURUDIA ZAIDI YA MARA 3 PAKA 4 KWA WENYE KUPIGA MOJA CHALI NA MCHEZO KWISHA USIKUBALI KUZARAULIKA

NIONE KWA NAMBA 0745871404
0745871404

BAWASIRI (PILES/HEMORRHOIDS) Bawasiri ni ugonjwa ambaohutokea endapo mshipa au mishipa ya damu yani veins inapovimba nda...
08/09/2020

BAWASIRI (PILES/HEMORRHOIDS)

Bawasiri ni ugonjwa ambaohutokea endapo mshipa au mishipa ya damu yani veins inapovimba ndani ya mfereji wa haja kubwa kwenye puru(rectum) au nje kuzunguka tundu la haja kubwa.

SABABU ZA KUPATA BAWASIRI *shinikizo kubwa la damu kwenye mishipa hiyo wakati wa ujauzito au k**a mtu anauzito mkubwa sana au kitambi kikubwa.
*kuhara kwa muda mrefu, kupata haja kubwa ngumu na kufanya mapenzi kinyume na maumbile(katika tundu la haja kubwa).

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
~Kuwasha na kuhisi kuchomachoma.
~kupata hajakubwa iliyochanganyika na damu.
~kinyesi kutoka ghafla au kushindwa kuhimili kukibana.
~kutokwa na bawasiri wakati wa kujisaidia
~kuvimba katika eneo linalozunguka tundu la haja kubwa.

KINGA YA BAWASIRI
Bawasiri ni ugonjwa unaoweza kujiepusha nao usiupate au usijirudie baada ya kupata tiba baadhi ya kings hizo ni;
~kubadili mtindo wa maisha epuka vyakula vyenye sukari au wanga kwa wingi, k**a tulivyo zoea ugali au ubwabwa mwingi kuliko mboga za majani, vyakula vya kusindikwa na soda vyakula hivi nichanzo cha uzito kupitakiasi na hivyo kutudhuru kiafya
~kunywa majimengi ya kutosha
~tumia vyakula vya asili zaidi kula matunda na mboga za majani
~pendelea kufanya mazoezi ya mwili

MATIBABU
Dawa yetu ni ya asili ambayo itakuondolea tatizo mojakwamoja pasipo kwenda kufanyiwa upasuaji au kukata kinyama kinachotokeza nje (bawasiri)

Wasiliana nasi kupitia namba hii 0745871404 kwa maelezo zaidi ushauri sambamba na tiba.

Au tuma SMS za kawaida, whatsapp hutahudumiwa pia tembelea page yetu ya facebook ya Ruga's herbal clinic" upate ushauri kuhusu magonjwa mbalimbali na tiba zake kiasili 0785226517 0745871404:

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ruga's herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ruga's herbal clinic:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share