29/10/2024
Posted • .honest 𝗥𝗘𝗗 𝗕𝗨𝗕𝗕𝗟𝗘 𝗧𝗘𝗔
Ni Chai ambayo imetengenezwa kwa kutumia majani ya mmea uitwao Camelia Sinensis na kuchanganywa na mchele mwekundu, mchanganyiko ambao unakupa vinasaba vya kiprotini vinavyosaidia kuzuia seli zisiharibiwe na kemikali mbali mbali.
𝗙𝗔𝗜𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗥𝗘𝗗 𝗕𝗨𝗕𝗕𝗟𝗘 𝗧𝗘𝗔 👇🏼
Ukitumia kwa wingi Red bubble tea utapata Chondroitin na Glucosamine, ambazo ni dutu asilia zinazosaidia👇🏼
✅ Kuongeza utengenezwaji wa uteute kwenye joints hivyo kuzuia msuguano wa mifupa
✅ Kuongeza afya na uimara wa cartilage hivyo kufanya joints kuwa imara zaidi
✅Kuimarisha mifupa, hivyo KUONDOKANA na maumivu ya mifupa na kuzuia kuvunjika kwa urahisi!
Kwa ujumla, faida za Red Bubble Tea ni zifuatazo 👇🏼
✅Husaidia kuongeza kinga mwilini
✅Husaidia kuongeza uimara wa mifupa
✅Inaondoa msongo wa mawazo na kukufanya uwe timamu kiakili
✅Inapunguza na kuondoa kabisa lehemu mbaya
✅ Inasaidia kuongeza lehemu nzuri
✅Inasaidia mzunguko wa damu na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi kwa usahihi
✅ Kuongeza uteute katika joints/viungo hivyo kuepusha kulika/kusagika kwa mifupa
Box moja ni elfu 45k
Kuipata WhatsApp 0654384013
One box costs 45,000 Tshs.
WhatsApp +255654384013
.
Unaweza kuletewa ulipo
Kwa Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar