08/05/2026
Ginseng ukinywa asubuhi unaweza kupata faida nyingi hasa kwenye nguvu za mwili na umakini wa siku nzima. Kwa upande wa Edmark International Ginseng Coffee, watu wengi hupenda kuitumia asubuhi kwa sababu hizi:
1. Huongeza nguvu na stamina ya mwili mapema asubuhi
2. Husaidia kuondoa uchovu na hali ya kulegea
3. Huongeza umakini na focus kazini au kwenye biashara
4. Husaidia kuamsha mwili vizuri bila kusinzia sana
5. Inaweza kusaidia kuboresha mzunguko wa damu
6. Husaidia mwili kupambana na stress za kila siku
7. Hutoa mood nzuri na kuongeza morale ya siku
8. Ina antioxidants zinazosaidia mwili kujilinda
9. Husaidia baadhi ya watu kuwa active zaidi kwenye mazoezi au shughuli nzito
10. Ladha yake ya kahawa yenye ginseng huwapa wengi hamasa ya kuanza siku vizuri
Njia nzuri ya kutumia:
* Tumia sachet 1 asubuhi
* Changanya na maji ya moto
* Ni vizuri kunywa kabla ya kazi au shughuli zako za siku
Bei yake 50000/=
#0654384013