Elite(T) Medical Group

Elite(T) Medical Group Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elite(T) Medical Group, Medical and health, Nyamagana, Mwanza.

14/05/2025
Tunawapongeza wakina Mama wote โ€“ kwa ujasiri, upendo, na uvumilivu. Tumefanya kazi kubwa kusambaza mashine za ultrasound...
11/05/2025

Tunawapongeza wakina Mama wote โ€“ kwa ujasiri, upendo, na uvumilivu. Tumefanya kazi kubwa kusambaza mashine za ultrasound kuhakikisha huduma ya afya ya uzazi inamfikia kila Mama, popote alipo.

BK160 3-Part Hematology Analyzer imeleta mapinduzi katika upimaji wa Full Blood Picture (FBP) nchini Tanzania.Hauhitaji ...
05/05/2025

BK160 3-Part Hematology Analyzer imeleta mapinduzi katika upimaji wa Full Blood Picture (FBP) nchini Tanzania.

Hauhitaji tena kununua madumu makubwa ya reagent. Hakuna usumbufu wa matengenezo magumu ya mara kwa mara. Unahitaji tone moja tu la damu, majibu ndani ya sekunde 30, na ripoti inachapishwa papo hapo.

Imeundwa kwa ajili ya Zahanati na vituo vya afya vinavyothamini usahihi wa majibu, hospitali zinazolenga ufanisi, na watendaji wanaotaka urahisi wa kazi โ€“ iwe mjini au vijijini.

Hakika hili ni Suluhisho la kisasa kwa mfumo wa afya unaoendelea kubadilika. Wasiliana nasi kupitia 0764107491

24/03/2025
Kila siku, tunafanya kazi kuhakikisha vifaa vya matibabu vinafika kila kona ya Tanzania! ๐Ÿฅ๐Ÿš‘ Kwa zaidi ya miaka saba, tum...
24/03/2025

Kila siku, tunafanya kazi kuhakikisha vifaa vya matibabu vinafika kila kona ya Tanzania! ๐Ÿฅ๐Ÿš‘ Kwa zaidi ya miaka saba, tumejitolea kusambaza vifaa muhimu vya tiba vinavyookoa maisha katika hospitali, zahanati, na vituo vya afya vilivyo pembezoni.

Picha hizi zinaonyesha kazi yetu kwa vitendo โ€“ kutoka kwa mgonjwa anayepatiwa huduma kwa kutumia vifaa vyetu vya uchunguzi hadi wataalamu wa maabara wakitumia mashine za kisasa. Tunaamini kila mtu anastahili huduma bora za afya, popote alipo! ๐Ÿ’™

Kila siku, tunafanya kazi kuhakikisha vifaa vya matibabu vinafika kila kona ya Tanzania! ๐Ÿฅ๐Ÿš‘ Kwa zaidi ya miaka saba, tum...
24/03/2025

Kila siku, tunafanya kazi kuhakikisha vifaa vya matibabu vinafika kila kona ya Tanzania! ๐Ÿฅ๐Ÿš‘ Kwa zaidi ya miaka saba, tumejitolea kusambaza vifaa muhimu vya tiba vinavyookoa maisha katika hospitali, zahanati, na vituo vya afya vilivyo pembezoni.

Picha hizi zinaonyesha kazi yetu kwa vitendo โ€“ kutoka kwa mgonjwa anayepatiwa huduma kwa kutumia vifaa vyetu vya uchunguzi hadi wataalamu wa maabara wakitumia mashine za kisasa. Tunaamini kila mtu anastahili huduma bora za afya, popote alipo! ๐Ÿ’™

Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Eid al-Fitr, Eid Mubarak!
22/04/2023

Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Eid al-Fitr, Eid Mubarak!

Multi-parameters patients Monitors Available in Our Stock for Inquiries please call 0764107491
06/03/2023

Multi-parameters patients Monitors Available in Our Stock for Inquiries please call 0764107491

Please contact 0764107491
16/02/2023

Please contact 0764107491

Tunayo furaha kushiriki mafanikio ya mteja wetu Hospitali ya Platinum kituo kipya kilichoanzishwa Morogoro. Tumesaidia H...
20/10/2022

Tunayo furaha kushiriki mafanikio ya mteja wetu Hospitali ya Platinum kituo kipya kilichoanzishwa Morogoro. Tumesaidia Hospitali ya Platinum kupata vifaa bora vya uchunguzi na matibabu yaani mashine ya Digital X-ray, Kiti cha Meno, na vifaa vingine vya maabara. Tunaamini upatikanaji wa vifaa hivi utasaidia kuboresha utoaji wa huduma katika Hospitali ya Platinum, kuleta matokeo chanya ya kiafya kwa wakazi wa Mororogo na maeneo ya jirani. K**a wasambazaji wa vifaa vya matibabu, dhamira yetu ni kusaidia vituo vya huduma ya afya kuboresha ubora wa huduma na huduma zinazotolewa kwa wagonjwa na kuendesha matokeo ya kifedha kwa biashara za Afya.

Successful Installation of Digital Radiography System to Our Client in ๐Ÿ“Morogoro, Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Our Digital Radiography sys...
20/09/2022

Successful Installation of Digital Radiography System to Our Client in ๐Ÿ“Morogoro, Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Our Digital Radiography system is set to:
1. Improve access to expert medical opinion, either for primary or secondary interpretation;

2. Provide access to medical image reporting for underserviced centres;

3. Support patient consultations and inform patient treatment decisions (for instance, on the need to transfer patients to a higher level of care facility);

4. Provide access to image interpretation for remote regions;

5. Provide reporting in shifts to provide timely interpretation after normal working hours;

6. Balance reporting workloads between centres with differing levels of staff to ensure timely turnaround of reports.

Congratulations to our team for making this happen.

Talk to us for you Digital X-ray Needs
Mobile: +255764107491
Email: elitemedicaltz@gmail.com
Or Visit Our website www.elitemedical.co.tz for more information

12/09/2022

Our team is doing tireless Efforts Delivering Digital Radiography System in Hospitals. Our mission is to make easier and more affordable for every health facility to have best medical and Diagnostic quipment. Visit our website www.elitemedical.co.tz for more information.

Address

Nyamagana
Mwanza
22300

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elite(T) Medical Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Elite(T) Medical Group:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram