EddoStemcell

EddoStemcell Sᴛᴇᴍᴄᴇʟʟs � zinasaidia kuzalisha ᴄᴇʟʟ ᴜᴩyᴀ katika mwili na hivyo kuleta uponyaji wa ᴍᴀɢᴏɴᴊᴡᴀ yote

U Z I 🔥
29/07/2025

U Z I 🔥

11/07/2025
ɴᴏ ʀᴇfᴏʀᴍs ɴᴏ ᴇʟᴇᴄᴛɪᴏɴ
24/06/2025

ɴᴏ ʀᴇfᴏʀᴍs ɴᴏ ᴇʟᴇᴄᴛɪᴏɴ

⛪ 🇹 🇪 🇨 ⛪                        Kanisa Katoliki nchini Tanzania limezuia rasmi kuwapa nafasi viongozi wa Kisiasa na Kis...
21/06/2025

⛪ 🇹 🇪 🇨 ⛪

Kanisa Katoliki nchini Tanzania limezuia rasmi kuwapa nafasi viongozi wa Kisiasa na Kiserikali kuongea, kutoa hotuba, Pongezi na kusalimia mbele ya waumini ndani ya Kanisa. Waraka wa kuzuia jambo hilo umetolewa na baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC).

Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC), limepiga marufuku viongozi wa serikali/kisiasa kuitwa mbele ya madhabahu/altare kuongea, kutoa hotuba, kusalimia au kusema chochote. K**a Misa imehudhuriwa na Rais, Waziri, Mbunge au kiongozi mwingine yeyote, Padre/Askofu anayeendesha ibada atatambua uwepo wake bila kumpa nafasi yoyote ya kuongea. Ikiwa kiongozi ana sadaka au neno la shukrani basi Katekista, Padre au Askofu atatoa shukrani hizo kwa niaba ya kiongozi husika. Roma locuta, causa finita est. Roma ikisema, mjadala umefungwa. Tumsifu Yesu Kristo

Viongozi wa kiserikali na kisiasa ni marufuku kutoa hotuba au salamu kanisani. Mwadhimishi atatambua uwepo wao bila wao kusema neno.

Huu ndiyo ukuu wa kanisa KATOLIKI.

Mwezi wa 8 Kanisa katoliki TANZANIA limetangaza itakuwa ni siku ya kuombea haki na siyo amani,kuombea haki kwa nchi

🇵 🇪 🇳 🇩 🇴 ᏦUU  ℒᎯ 🇾 🇪 🇸 🇺   🌴ᴩᴇɴᴅᴏ ᴋᴜᴜ ʟᴀ Yᴇsᴜ ʟɪʟɪᴛᴏsʜᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪᴍsᴀᴍᴀʜᴀ ᴡᴀ ᴅʜᴀᴍʙɪ ɴɪʟɪᴜᴩᴀᴛᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪᴀʟɪɴɪᴩᴇɴᴅᴀ Yᴇsᴜ ᴀᴋᴀɪɴ...
18/04/2025

🇵 🇪 🇳 🇩 🇴 ᏦUU ℒᎯ 🇾 🇪 🇸 🇺

🌴

ᴩᴇɴᴅᴏ ᴋᴜᴜ ʟᴀ Yᴇsᴜ ʟɪʟɪᴛᴏsʜᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪ
ᴍsᴀᴍᴀʜᴀ ᴡᴀ ᴅʜᴀᴍʙɪ ɴɪʟɪᴜᴩᴀᴛᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪ
ᴀʟɪɴɪᴩᴇɴᴅᴀ Yᴇsᴜ ᴀᴋᴀɪɴɢɪᴀ ɢʜᴀʀᴀᴍᴀ
ᴍsᴀᴍᴀʜᴀ ᴡᴀ ᴅʜᴀᴍʙɪ ɴɪʟɪᴜᴩᴀᴛᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪ

🌺
ᴀʟɪʟɪᴩᴀ ᴅᴇɴɪ ᴢᴀɴɢᴜ,ᴋᴡᴀ ɢʜᴀʀᴀᴍᴀ yᴀ ᴍᴀᴜᴛɪ
ᴍsᴀᴍᴀʜᴀ ᴡᴀ ᴅʜᴀᴍʙɪ ɴɪʟɪᴜᴩᴀᴛᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪ (x2)

Yᴇsᴜ ᴀᴛᴜᴄʜᴜɴɢᴀ,ᴍᴄʜᴜɴɢᴀ ᴡᴇᴛᴜ
ɴᴀyᴇ ᴀᴛᴜꜰᴜᴛᴀ ᴍᴀᴄʜᴏᴢɪ yᴇᴛᴜ
ᴍᴋᴏɴᴏɴɪ ᴍᴡᴀᴋᴇ ʜᴀᴛᴜɴᴀ ʜᴏꜰᴜ
ᴅᴀɪᴍᴀ ᴛᴡᴀᴩᴀᴛᴀ ᴋᴡᴀᴋᴇ ᴡᴏᴋᴏᴠᴜ

⚕️
Yᴏᴛᴇ ɴᴀᴍᴛᴏʟᴇᴀ Yᴇsᴜ ɴᴀᴍᴩᴀ ᴍᴏyᴏ ᴡᴏᴛᴇ
ɴᴛᴀᴍᴩᴇɴᴅᴀ Yᴇsu ᴜɴᴀᴍᴡᴀɴᴅᴀᴍᴀ ᴋɪʟᴀ sᴀᴀ
ᴄʜɪɴɪ yᴀ ᴍsᴀʟᴀʙᴀ ɴᴀᴛᴀᴋᴀ sɪᴍᴀᴍᴀ
ɴᴅɪyᴇ ᴍᴡᴀᴍʙᴀ sᴀꜰᴀʀɪɴɪ ᴋᴡᴀ ᴋɪᴠᴜʟɪ ᴄʜᴇᴍᴀ

❄️
ɴᴀᴛᴀᴋᴀ ɴɪfᴀʜᴀᴍᴜ ɴɪᴢɪᴅɪ ᴋᴜᴩᴀᴍʙᴀɴᴜᴀ
ᴍᴀᴩᴇɴᴢɪ Yᴀᴋᴇ ɴɪfᴀɴyᴇ yᴀɴᴀyᴏ ᴍᴩᴇɴᴅᴇᴢᴀ
ɴᴀᴛᴀᴋᴀ ɴɪᴋᴀᴇ ɴᴀyᴇ ᴋᴡᴀ ᴍᴀᴢᴜɴɢᴜᴍᴢᴏ
ɴɪᴢɪᴅɪ ᴋᴜᴡᴀᴏɴyᴇsʜᴀ ᴡᴇɴɢɪɴᴇ ᴡᴏᴋᴏᴠᴜ ᴡᴀᴋᴇ

🌀
ᴍsᴀᴍᴀʜᴀ ᴡᴀ ᴅʜᴀᴍʙɪ ɴɪʟɪᴜᴩᴀᴛᴀ ᴋᴀʟᴠᴀʀɪ (x4)

💜
22/02/2025

💜

25/12/2024

🇮 🇸 🇦 🇾 🇦 9:6
🌹
ᴹᴬᴬᴺᴬ ᴷᵂᴬ ᴬᴶᴵᴸᴵ ᵞᴱᵀᵁ ᴹᵀᴼᵀᴼ ᴬᴹᴱᶻᴬᴸᴵᵂᴬ,
ᵀᵁᴹᴱᴾᴱᵂᴬ ᴹᵀᴼᵀᴼ ᴹᵂᴬᴺᴬᴹᵁᴹᴱ; ᴺᴬᵁᵂᴱᶻᴬᵂᴬ
ᴷᴵᶠᴬᴸᴹᴱ ᵁᵀᴬᴷᵁᵂᴬ ᴮᴱᴳᴬᴺᴵ ᴹᵂᴬᴷᴱ; ᴺᴬᵞᴱ ᴬᵀᴬᴵᵀᵂᴬ ᴶᴵᴺᴬ ᴸᴬᴷᴱ, ᴹˢᴴᴬᵁᴿᴵ ᵂᴬᴬᴶᴬᴮᵁ, ᴹᵁᴺᴳᵁ ᴹᵂᴱᴺᵞᴱ ᴺᴳᵁᵛᵁ, ᴮᴬᴮᴬ ᵂᴬᴹᴵᴸᴱᴸᴱ, ᴹᶠᴬᴸᴹᴱ ᵂᴬ ᴬᴹᴬᴺᴵ.

💥
24/11/2024

💥

19/11/2024

📍
KA R I B U O F I S I N I

14/11/2024

🧶naomba nishare nawe hujumbe huu
👇

25/09/2024

🌀 bidhaa bora na ni ORIGINAL toka PHYTOSCIENCE 🇹🇿

25/09/2024

⚡ PATA SOMO HAPA JUU YA AFYA YAKO

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EddoStemcell posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram