
15/09/2025
Hebu fikiria hivi… miezi miwili huna hedhi, matiti yamejaa maumivu, kichefuchefu kinaanza k**a dalili za ujauzito....
— Lakini kila ukipima majibu ni negative, Ndipo unajiuliza, mwili wangu unaenda wapi sasa..
Hali hii si ya ajabu..
Baada ya kutumia njia ya uzazi wa mpango ikiwa ni pamoja na P2, homoni zako mara nyingi huingia kwenye sintofahamu....(Hormone imbalance)
Kipindi cha hedhi hubadilika, ovulation inachelewa au kusimama, mwili huanza kutuma ishara za ujauzito hewa (false pregnancy signs).
Wanawake wengi huishi gizani, bila kuelewa mwili wao unachopitia, huku hofu na wasiwasi vikizidi kila siku.
Na pale akili inapochanganya hofu ya kushika mimba, maumivu ya mwili, na ukaribu wa mume kurudi nyumbani…Unajikuta unateswa mara mbili..
↳ Huna majibu ya kitiba,
↳ Huna amani ya kiakili,
↳ Na hujui kuchagua njia salama ya uzazi wa mpango.
Kwa lugha rahisi, mwili wako unalia msaada, lakini akili yako inazidi kunguruma kwa stress...☠️
Kitaalamu, suluhisho si kukimbilia tembe nyingine kiholela.
↳ Kwanza, fanya kipimo cha homoni na mimba cha kitaalamu hospitali (sio strip pekee).
↳ Pili, hakikisha mzunguko wa hedhi unakuwa sawa kupitia njia ya Detox, K**a livyo elekeza hapo juu..
↳ Tatu, kabla hujaamua njia ya uzazi wa mpango, ni lazima kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu (kuna tofauti kubwa kati ya kondomu, vidonge, sindano, au P2 kulingana na historia yako)..
Ukweli ni kwamba wagonjwa wengi ninaowaona hukaa na stress kwa miezi, wakiogopa kuuliza.
Lakini mara tu wanapopata uchunguzi sahihi na mwongozo wa kitaalamu— wanapumua upya.
Mifano ipo, na wapo waliorejea katika hedhi zao kawaida baada ya counseling na mwongozo wa homoni, wapo waliopata njia salama ya uzazi wa mpango bila kuharibu mwili.
Je mpo na uhitaji wa elimu na Miongozo..?
— Wa namna ya kurekebisha homoni zako na kuchagua njia sahihi ya uzazi wa mpango bila kuumiza mwili wako.
Kwa ushauri zaid wasiliana nas kwa namba 👇🏾
http://wa.me/+255627278604