OBED Kabinza, MD

OBED Kabinza, MD The aims of this page is to give health education to all people and advices concerning health matters

01/01/2018
24/12/2017

Unapokuwa ukisherehekea sikukuu za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo na Mwaka mpya, kumbuka kuwa na kiasi katika ulaji, unywaji na matumizi kwa ujumla. Nawatakia sikukuu njema na heri ya mwaka mpya 2018

21/10/2017

MTAJI MUHIMU ZAIDI MAISHANI

"Binadamu yeyote hupenda kuona akifanikiwa maishani mwake. Katika biashara kuna kitu kinaitwa mtaji, ili uanzishe biashara na kupata mafanikio,unahitaji mtaji. Utakubaliana na mimi kuwa kuna aina nyingi za mitaji lakini fedha ni mtaji unaothaminiwa sana, kila anayetaka kuanzisha biashara hujiuliza nipate wapi pesa k**a mtaji.

Leo nitakuambia mtaji uliobora zaidi kuliko fedha, huu ni mtaji ambao unapaswa kuutafuta kwanza hata kabla ya kutafuta mtaji uitwao fedha, mtaji huu si mwingine bali ni AFYA ILIYOBORA.

Afya iliyobora hujumuisha afya ya kimwili, kiakili, kijamii na kiroho. Pasipo kuwa na afya bora huwezi kutafuta mtaji aina ya pesa, unapaswa kuwa na mtaji wa afya ili upate nguvu ya kutafuta mtaji wa fedha. Ndio maana nadiliki kusema kuwa TAIFA LITAKALO WEKEZA ZAIDI KATIKA AFYA ZA WANANCHI WAKE, LITAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO TAIFA LILILOWEKEZA KIDOGO KATIKA AFYA ZA WANANCHI WAKE .

Pia kuwa na afya bora hakugonji kuletewa huduma bure za afya kwa kila mwananchi, bali afya bora huanza na mtu binafsi kuamua yeye mwenyewe kuwa msafi wa mwili na mazingira, kula mlo kamili,kufanya mazoezi,kuwa na kiasi kwa kila jambo, kulala katika neti n.k,hii itakufanya ujikinge na magonjwa mengi ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza.
Kinga ni bora kuliko tiba.

Pasipo kuwa na afya bora hakuna maendeleo. Tafuta kwa bidii kubwa mtaji uitwao AFYA BORA, kabla hujatafuta aina zingine za mitaji k**a fedha,maana afya bora ndio itakufanya ukamilishe mipango yako yote maishani.Watu waliofanikiwa duniani waliwekeza zaidi katika afya zao.

Jaribu kufikiria, endapo mgonjwa mahututi akipewa mtaji/pesa, itamsaidia nini hiyo pesa? , zaidi itatumika katika matibabu ila si katika kuwekeza kwa ajili ya maendeleo yake binafsi . mfano huu unatuwezesha tujue kipi ni muhimu zaidi kati ya pesa na Afya bora.

Mtaji ulio wa muhimu zaidi maishani ni afya bora kwa sababu mtaji huu hukufanya utafute mitaji mingine".

"Afya yako, mtaji wako ".

"Jali afya yako, ikujali pia" .

Asante sana kwa kusoma mada hii muhimu, endelea kufatilia mada zangu mbalimbali.

Dr. Obed Kabinza L, MD

07/04/2017
09/02/2017

Hakuna atakayejali afya yako, isipokuwa wewe mwenyewe, endelea kujali afya yako na kuzidi

AIDS 2016 Conference ObjectivesAIDS 2016 aims to reinvigorate the response to HIV and AIDS by: 1.Bringing together the w...
01/12/2016

AIDS 2016 Conference Objectives

AIDS 2016 aims to reinvigorate the response to HIV and AIDS by:

1.Bringing together the world’s experts to advance knowledge about HIV, present new research findings, and promote and enhance scientific and community collaborations around the world;

2.Promoting HIV responses that are supported by and tailored to the needs of at risk populations or people living with HIV, including women and girls, men who have s*x with men, transgender people, s*x workers, young people, and people who use drugs;

3.Promoting activism and community mobilization that holds leaders, industry, and governments accountable and increases their commitment to an evidence-based, human-rights-affirming HIV and AIDS response;

4.Advancing a clear agenda for HIV in a post-2015 framework, including the cross-cutting issues of criminalization, gender-based violence, s*xual and reproductive health, rights, and stigma and discrimination that keep people living with HIV at the center of the HIV response; and

5.Building innovative partnerships with businesses, community, government, and science to strengthen HIV prevention and treatment efforts.

http://www.aids2016.org/About/Overview/Theme-Objectives

28/08/2016

Wishing you a nice evening

08/06/2016

Though public understanding of depression has improved somewhat over the years, we as a society still frequently misunderstand or overlook depression...

30/05/2016

"Health is like MONEY, We never have a true idea of its value until We LOSE it "

20/04/2016

"Msongo wa mawazo si kile kinachotokea kwetu, bali ni muitikio dhidi ya kile kinachotokea kwetu.Na muitikio ni kitu ambacho unaweza kuchagua , kuwa mwenye amani au kuwa mwenye Msongo wa mawazo

Uamuzi wa kuishi maisha yenye furaha uko juu yako, amua sasa ".

28/02/2016

Address

Mwanza

Telephone

0767089437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OBED Kabinza, MD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share