28/02/2025
AMANI INTERNATIONAL OPTICAL CENTRE.
TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE WENYE MATATIZO MBALIMBALI YA MACHO. TUMELETA FRAME ZA MIWANI AINA MBALIMBALI PIA UTAPATA LENSI ZA MIWANI AINA TOFAUTI TOFAUTI ZIKIWEMO LENSI ZA PLASTICS KWA AINA ZAKE, GLASSES KWA AINA ZAKE.
KARIBU AMANI INTERNATIONAL OPTICAL CENTRE KWA HUDUMA BORA ZA MACHO YAKO.
NJOMBE TUNAPATIKANA NJOMBE MJINI KARIBU NA NJOMBE HOTEL BARABARA IENDAYO MABATINI SECONDARY
MAKAMBAKO TUNAPATIKANA MAKAMBAKO STAND MPYA YANAPOINGILIA MAGARI.
"MACHO NI TAA YA MWILI"
BEST SERVICE FOR YOUR EYES IS OUR FIRST PRIORITY
Mawasiliano
+255762182526
+255658182526
+255612182526
WELCOME FOR GOOD EYE SERVICES