Hope Natural Therapy

Hope Natural Therapy Habari Mtanzania..! Sisi ni Hope Natural Therapy Tunapatikana Mji wa Njombe, Makambako na mkoa na wa Iringa. Tunafurahi kupokea simu yako na Karibu tukuhudumie.

Kazi yetu ni kuhudumia watu kupitia tiba Asili na tiba mbadala na tunatibu maradhi mengi sana ambayo yameshindikana maeneo mbalimbali zaidi ya 370 katika mwili wa binadamu. kwanza kabisa ukifika kwenye vituo vyetu tunakufanyia Vipimo vya mwili mzima bure kabisa baada ya kujua Tatizo lako ndiyo tunakushauri namna tunavyoweza kukuhudumia. Tafadhali kama una Tatizo lolote wasiliana nasisi popote ulipo kwa Njombe 0763101070, Makambako 0766462424, Iringa 0752717531..... Kifanye Chakula unachokula kuwa dawa na siyo Dawa kuwa Chakula chako.

08/09/2023

You need to forget what’s gone. Appreciate what still remains and look forward to what’s coming next.

Address

Njombe
59101

Telephone

+255752717531

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hope Natural Therapy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Hope Natural Therapy:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram