22/06/2021
TANGAZO LA KUHAMA KUTOKA HOSP YA MOSHI ARUSHA.
MAELEZO YA KUFIKA DENTAL CLINIC MPYA
Karibuni sana kwenye Dental Clinic yetu mpya (KMQ Specialist Dental Services). Tupo kwenye jengo la TBA opposite na Tanzania Farmers Association (TFA). Clinic ipo ghorofani juu ya Azania Bureau De Change/Mawenzi Vet.
Tumepakana (adjacent) na jengo la Kilimanjaro Bus Services/Kilimanjaro Lodge). Ukifika ulizia walinzi wa Azania Bereau watakuelekeza namna ya kuingia.
Tafadhali wasiliana nasi kwa namba zifaatazo👇
0735 455730 (Namba ya Ofisi)
0746 390669 (Neema Mkumbo)
0784 455730
0754 933400 (Dr. Mng'anya)
0655 499596 (Dr. Quaker)