20/08/2025
Je, unaelewa H. pylori? Ni bakteria wanaoweza kusababisha maumivu ya tumbo, gesi, kichefuchefu, hata vidonda au saratani ya tumbo. Umeona dalili? pima mapema, jifunze na linda afya yako. Tumia vyombo safi, epuka kugawana vitu bila kusafisha mikono, na hakikisha unapata maji safi,
Kutana na Dr. Salah Abdulrahman Medinova Specialized Polyclinic.