12/04/2026
โWalakini mwisho wa agizo hilo ni upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki.โ
โ 1 Timotheo 1:5 (Biblia Takatifu)
Kuna muda unahisi k**a uko na maisha very tough but ukimuona mwingine shida aliyonayo unabaki kumshukuru Mungu na unaomba ata rehema kwa Mungu. Let's pray for all over the world tupate neema ya Mungu na kuweza kumpatia mhitaji, hii sadaka ni kubwa ukipata chochote na kuungana na mtumishi DAN WEMA. ๐๐ซ
Pia unaweza kufuatilia page yake k**a utaguswa kufanya nae kitu kwa ajili ya jamii ,lakini kujifunza namna ya kusaidia jamii zetu za karibu zenye mahitaji kwa kuwatembelea ikiwezekana, God bless you.