Pharm David68

Pharm David68 Karibu kwenye ukurasa wa Pharm_David68 kwa huduma ya Dawa � Vipodozi �Ushauri pamoja na Elimu jamii

💥COLLAGEN SCAR and ACNE MARK REMOVAL💥Hii ni serum special kwa ajili ya kuondoa makovu mbalimbali katika mwili✅Makovu yal...
05/11/2022

💥COLLAGEN SCAR and ACNE MARK REMOVAL💥

Hii ni serum special kwa ajili ya kuondoa makovu mbalimbali katika mwili
✅Makovu yaliyo sababishwa na majeraha mbalimbali k**a ajali, mishono ya oparesheni, majeraha ya visu
✅Inasaidia kufifisha michirizi kwa 💯%
✅Inasaidia kuondoa makovu ya cream kali

Price: 25,000/=

💥PAPAYA BODY LOTION💥Ni nzuri sana kwa Afya ya ngozi yako✅Inasaidia ngozi kuwa na rangi moja na yenye kung'aa✅Inakausha C...
04/11/2022

💥PAPAYA BODY LOTION💥

Ni nzuri sana kwa Afya ya ngozi yako
✅Inasaidia ngozi kuwa na rangi moja na yenye kung'aa
✅Inakausha Chunusi
✅Inaondoa madoa usoni

Karibu sana uipe ngozi yako kile inachostahili

Price: 23,000/=

💥ANTI-WART HEALTH TREATMENT💥Hii ni treatment special kwa wale wenye matatizo ya vinyama nyama mwilini.✅Inaondoa kabisa v...
30/10/2022

💥ANTI-WART HEALTH TREATMENT💥

Hii ni treatment special kwa wale wenye matatizo ya vinyama nyama mwilini.
✅Inaondoa kabisa visunzua
✅Inaondoa dark skin
✅Inaondoa visundo sundo mwilini

Price: 25,000/=

Wekeza kwenye ngozi yako na

💥VITAMINI  NA MADINI MUHIMU WAKATI WA UJAUZITO📌Lishe bora katika ujauzito ni muhimu kwa ukuaji wa afya na ukuaji wa mtot...
20/09/2022

💥VITAMINI NA MADINI MUHIMU WAKATI WA UJAUZITO

📌Lishe bora katika ujauzito ni muhimu kwa ukuaji wa afya na ukuaji wa mtoto wako. Unahitaji kutumia virutubisho vya kutosha ili kukidhi mahitaji ya mtoto wako, pamoja na yako mwenyewe.

Unapokuwa mjamzito, unahitaji zaidi baadhi ya virutubisho, ikiwa ni pamoja na

✅protini,
✅Folate,
✅Iodini,
✅Madini Chuma na baadhi ya vitamini.

Karibu SAG SHY PHARMACY tukupatie Virutubisho kwa ajili ya Afya ya Mtoto wako pamoja na Mama Mjamzito.

Call 📞 or Whtsp 0765 495 271

We make your life betterCall or Whtsp +255 765 495 271
19/09/2022

We make your life better

Call or Whtsp +255 765 495 271

Karibu Tukuhudumie, Tunakufikia popote pale 💊🚛
12/09/2022

Karibu Tukuhudumie, Tunakufikia popote pale 💊🚛

💥SUDOCREM Antiseptic Healing Cream💥Ni mafuta mazuri kwa watoto📌walioungua na dipers📌Vipele vya joto📌Wenye pumu ya ngozi📌...
12/09/2022

💥SUDOCREM
Antiseptic Healing Cream

💥Ni mafuta mazuri kwa watoto
📌walioungua na dipers
📌Vipele vya joto
📌Wenye pumu ya ngozi
📌Wenye vidonda na michubuko

60g .......Tsh 18,000
125g ......Tsh 25,000

Karibu Tukuhudumie

Je, Unahitaji ujazo mpya kwenye Dawa uliyoagizwa na Daktari? Tupigie simu Au tuma picha ya cheti chako cha Dawa kwa what...
26/08/2022

Je, Unahitaji ujazo mpya kwenye Dawa uliyoagizwa na Daktari?

Tupigie simu Au tuma picha ya cheti chako cha Dawa kwa whatsapp +255 765 495 271

Karibu tukuhudumie mpaka Mlangoni kwako 🚛

💥GINSENG Tablets 90💥Huu ni mzizi wa Ginseng ambao unasaidia kutibu magonjwa mbalimbali katika mwili. Inasaidia kwa:-1️⃣W...
07/08/2022

💥GINSENG Tablets 90💥

Huu ni mzizi wa Ginseng ambao unasaidia kutibu magonjwa mbalimbali katika mwili.
Inasaidia kwa:-
1️⃣Wenye matatizo ya uzazi
inaongeza nguvu na afya kwenye misuli ya uume, pia Inaondoa tatizo la ugumba.
2️⃣Wenye matatizo ya Sukari
3️⃣Inasaidia kwa wenye presha ya kushuka
4️⃣Inasaidia kwenye kuimalisha akili nakuongeza nguvu mwilini (inaondoa uchovu uliopitiliza).

💥Dose: kidonge kimoja kila siku. Kwa wenye matatizo zaidi kidonge kimoja mara mbili (kila baada ya masaa 12)

Contact: 0765 495 271

Address

Shinyanga

Opening Hours

Monday 08:30 - 21:00
Tuesday 08:30 - 21:00
Wednesday 08:30 - 21:00
Thursday 08:30 - 21:00
Friday 08:30 - 21:00
Saturday 08:30 - 21:00
Sunday 13:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pharm David68 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram