Lubhaga Herbal Clinic

Lubhaga Herbal Clinic Karibu Lubhaga Herbal Clinic Tunapatikana Shinyanga Mjini kwa Ushauri na Tiba Asili za Uhakika

KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI YA KIUME (kibamia)  NINI HUCHANGIA?KUNA SABABU KUU MBILI!!-Mau...
27/02/2023

KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI YA KIUME (kibamia) NINI HUCHANGIA?

KUNA SABABU KUU MBILI!!

-Maumbile madogo ya kuzaliwa nayo (Kurithi)

- Sababu zitokanazo na mienendo ya maisha k**a

1 Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii

husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.

2. Kuugua chango la uzazi.

3. Magonjwa ya utotoni.

4. Unene kupita kiasi

5. Magonjwa ya ngiri nk.

SULUHISHO

IKOJA & LOBILA

Ni dawa za mafuta na unga zilizotengenezwa kwa mimea asili kwaajil ya kutibu na kumaliza tatiz la maumbile madogo (kibamia) kwa wanaume.

WASILIANA NASI LUBHAGA HERBAL CLINIC TUNAPATIKANA SHINYANGA MJINI PIA TUNA MAWAKALA DAR , DODOMA NA MOROGORO AU KWA SIMU NO
0678836939.

TATIZO LA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NI NINI?Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililif...
04/11/2022

TATIZO LA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NI NINI?

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

CHANZO

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Kisukari
Kuwa na mawazo na wasiwasi
Matumizi ya madawa mbalimbali
Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
Kuwa na tatizo la kibofu
Tabia za kujichua kwa mda mrefu
Kutopata usingizi kamili
Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI

Kuwahi kufika kileleni
Kukosa hamu ya mapenzi
Kushindwa kurudia tendo la ndoa
Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

TIBA/SULUHISHO

Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
Balansi usito wako
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Punguza mawazo
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
Kunywa maji ya kutosha

AU FIKA OFSINI KWETU LUBHAGA HERBAL CLINIC SINYANGA KWA USHAURI NA TIBA PIA WAWEZA TUMIA DAWA YETU YA ISHOSHA KWA MATOKEO BORA .TUNA MAWAKALA DODOMA ,DAR NA MOROGORO AU

PIGA
TUMA SMS
WHATSAP
NO 0678836939 KARIBUNI

03/11/2022

.PID.
PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).

CHANZO

Sababu kuu ya ugonjwa huu kutokea ni maambukizi yanayosambazwa kwa kujamiiana (STI). Ugonjwa huu unaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya maika 15 na 28 huathirika zaidi.

DALILI

Dalili huweza kujumuisha:
>>Maumivu ya nyonga au tumbo,
>>Maumivu wakati wa kujamiiana,
>>Uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni pamoja na homa,
>>Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi,
>>Maumivu wakati wa kujisaidia na nyingine nyingi.

MATIBABU

PID hutibiwa kwa antibiotiki. Na tiba ya PID hutofautiana kulingana na ukali wa maambukizi. Ikiwa maambukiz ni makali, inaweza kuhitajika kupewa antibiotiki kupitia mishipa ya damu. Ikiwa maambukizi husababisha usaha kukusanyika au makovu kwenye mirija ya fallopio, basi upasuaji huweza kuhitajika ingawa hii ni nadra sana.

PIA WAWEZA TUMIA DAWA YETU YA ITENA KUTOKA LUBHAGA HERBAL CLINIC. NI DAWA ILITENGENZWA KWAAJILI YA KUTIBU TATIZO LA PID,NA MAGONJWA MENGINE KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE IKIWEMO KUZIBUA MIRIJA YA UZAZI.

TUNAPATIKANA SHINYANGA KARIBU NA STAND YA ZAMAN PIA TUNA MAWAKALA DODOMA,DAR, NA MOROGORO AU WAWEZA WASILIANA KUPITIA
WHATSAP
SMS
CALL
KWA NO 0678836939.
DAWA YETU TSHS 45000/=

MIKOA MINGINE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA KARIBUNI SANA KWA USHAURI NA TIBA.

Karibu Lubhaga Herbal Clinic Tunapatikana Shinyanga Mjini kwa Ushauri na Tiba Asili za Uhakika

Karibu Lubhaga Herbal Clinic , Kwa Ushauri na tiba ya Magonjwa Mbalimbali k**a       >>>>PID,Kuzibua na kusafisha ya uza...
31/10/2022

Karibu Lubhaga Herbal Clinic , Kwa Ushauri na tiba ya Magonjwa Mbalimbali k**a

>>>>PID,Kuzibua na kusafisha ya uzazi kwa wanawake ,Maumivu Ya kiuno,Mvurugiko wa Hedhi na mengine mengi kwa upande wa wanawake kwa kutumia dawa yetu ya ITENA Dozi siku 21 .
Bei 45000

>>>>>Upungufu wa nguvu za kiume,Kutomudu tendo la ndoa , Mshipa wa ngiri na mengine mengi kwa wanaume kwa kutumia dawa yetu ya ISHOSHA Dozi siku 14.
Bei 45000.

>>>>>> Dawa zetu za IKOJA na LOBILA zinatibu tatizo la Maumbile madogo kwa Mwanaume ni dawa zinazofanya kazi kwa wakati mmoja zikiwa mbili yani Full dozi kwa siku 14.
Bei 45000.

Karibu Lubhaga Herbal clinic tunapatikana Shinyanga karbu na stand ya zamani pia tuna Mawakala Dodoma,Dar es salaam na Morogolo Na kwa mikoa jirani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Tutafute kwa no 0678836939
kwa mawasiliano ya kawaida na whatsap pia Asante.

Address

Shinyanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lubhaga Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram