
27/03/2025
Leo tarehe 27/3/2025 katika ofisi za Shirika la Rafiki SDO .Baraza la Watoto Manispaa ya shinyanga, tumeshiriki Kikao ambacho kulikuwa ni kupitia utekelezaji wa changamoto tulizoziibua mwaka 2024 katika sekta za maji, nishati ya umeme na utunzaji wa mazingira pamoja na changamoto ya s**o kwa wasichana.
Kikao hiki,kilichoandaliwa na kilihusisha wadau wa Maendeleo ya mtoto kutoka ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya shinyanga pamoja na viongozi wa kata ya Ngokolo.
Baraza la Watoto Manispaa tushukuru sana kuona tupo sehemu ya kundi tunashiriki katika masuala yanayotuhusu na lengo letu ni kuhakikisha mtoto analindwa na anaishi katika mazingira salamaπ€
.driver.of.development