AFYA YAKO

AFYA YAKO tunasaidia matatizo ya kiafya

Vidonda Vya Miguu na Namna Ya KuviepukaVidonda miguuni vinawapata wengi wenye kisukari, na ni sababu inayoongoza kwa wag...
03/11/2022

Vidonda Vya Miguu na Namna Ya Kuviepuka
Vidonda miguuni vinawapata wengi wenye kisukari, na ni sababu inayoongoza kwa wagonjwa hawa kukatwa miguu.

Tumeona namna kisukari kinavyoathiri mwili, mishipa ya fahamu na kinga.

1. Kwanza huaribu mishipa ya fahamu na hivyo hutoweza kuhisi. Kwa kuharibu mishipa ya fahamu husababisha sehemu zinazotegemea mishipa hii kutokufanya kazi kwa ufasaha.

Kwa mfano, upungufu / kosefu wa hisia miguuni husababisha mwenye kisukari kutokufahamu k**a mguu umekandamizwa k**a kubanwa na kiatu na hivyo kupelekea vidonda.

Vile vile kupungua ufanisi wa kazi za mishipa ya fahamu kwenye mishipa ya damu husababisha wangonjwa wa kisukari kupata matatizo ya presha kushuka na upungufu wa nguvu za kiume.

2. Kisukari pia huaribu mishipa ya damu na -k**a tulivyoona- kusababisha hali inayoitwa artherosclerosis. Hatimaye mishipa ya damu huziba haswa ile ya pembeni ya mwili k**a vile miguu. Kukosekana kwa damu maana yake sehemu husika hukosa chakula, hewa safi na kinga. Hivyo sehemu hiyo hufa na k**a utapata maambukizi hutapona kwa urahisi. Mara nyingi hii imekuwa sababu kubwa ya wagonjwa wa kisukari kukatwa miguu.

3. Njia ya tatu, sukari huathiri kinga ya mwili kwa kuharibu na kupunguza muda wa kuishi wa seli zinazopambana na magonjwa. Hali hii husababisha mgonjwa wa kisukari kuwa katika hatari ya kupata magonjwa hasa ya kuambukiza kwa urahisi na kushindwa kutibika kwa wakati.

Kwasababu ya kuharibiwa kwa mishipa ya fahamu, mgonjwa wa kisukari hukosa hisia miguuni.

Ukijumlisha na athari za kisukari kwenye kupunguza kinga na kupunguza kiwango cha damu kwenye miguu, k**a mgonjwa akipata kidonda sehemu hizi kidonda hupona kwa shida na mara nyingi hupata maambukizi.

Vidonda hivi hutokea haswa katika zile sehemu ambazo hukandamizwa wakati unatembea au umesimama au umelala.

Sehemu hizi ni chini ya vidole gumba, na sehemu ya mbele ya nyayo k**a inavyoonekana kwenye picha hii.

Haya yote yanaweza kudhibitika k**a tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka.

Nani Yuko Kwenye Hatari ya Kupata Vidonda Vya Kisukari Miguuni?
K**a tulivyoona, angalau 15% ya wagonjwa wa kisukari hupata vidonda miguuni. Tafiti zinaonesha kwamba wafuatao wako katika hatari ya kupata vidonda ukilinganisha na wagonjwa wengine wanaoougua kisukari. ugonjwa wa mishipa ya pembeni

Ikiwa una ugonjwa wa mishipa ya fahamu: utafahamu k**a mishipa yako ya fahamu haifanyi kazi sawasawa k**a hutokuwa unahisi ktiaka sehemu yeyote ya mguu au kufa ganzi.
K**a hujaweza kudhibiti sukari yako pia unakuwa katika hatari ya kupata vidonda miguuni.
Wanaouvutaji sigara au kutumia tumbaku
Wenye kuugua figo kutokana na kisukari.
kuwa na vidonda kabla / au kukatwa mguu kwasababu ya kisukari
Ni muhimu kuhakikisha unadhbibiti sukari kwenye damu, na kuacha matumizi ya tumbaku huku ukifuatilia presha yako ya damu.

Tiba ya Vidonda Vya Kisukari Miguuni
Tiba ya vidonda vya kisukari hutegemea kidonda kilipo, athari iliyotokea na sehemu za mwili zilizoharibika. Pia, tiba hutegemea k**a kidonda hichi kina kimepata maambukizi na k**a maambukizi yameenea mwilini. Matibabu pia hujumuisha kudhibiditi kiwango cha sukari huku ukitibu madhara mengine yaliyotokana na kisukari.

Kwahiyo matibabu yataweza kuwa ushauri na ufuatiliaji, kuosha kidonda, matumizi ya dawa za antibiotiki, pamoja na tiba kwa njia ya upasuaji unaoweza kushirikisha matibabu ya mfupa k**a ukiwa umeathirika.

Kusafisha kidonda ili kuondoa uchafu na tishu zilizokufa, kutibu maambukizi, kuhakikisha damu inafika vizuri miguuni pamoja na kunyanyua kidonda ndiyo njia muhimu kutibu vidonda vya kisukari.

Nyanyua mguu wako ili kuzuia maumivu ya vidonda. Kunyanyua mguu ni muhimu kwa aina zote za vidonda vya miguu ya kisukari. Mkandamizo unaotakana na kutembea huongeza wigo wa maambukizi na kusababisha kidonda kukuwa.

Daktari wako anaweza kupendekeza kuvaa vifaa maalum ili kulinda miguu yako.

Madaktari wanaweza kukwangua / kukata tishuiliyokufa au kuondoa taka zingine zinazoweza kusababisha kidonda kuzidi na kuambukizwa.

Maambukizi ni shida kubwa ya kidonda cha mguu na inahitaji matibabu ya haraka. Kila maambukizi yana tiba yake. Hivyo itategemea na majibu ya uchunguzi ambayo daktari wako ataufanya.

Sampuli za Tishu zinazozunguka kidonda zinaweza kutumwa maabara ili kubaini ni dawa gani ya kuua kidonda itasaidia. Ikiwa daktari wako anashuku maambukizi makubwa, anaweza kuagiza X-ray ili kuangalia dalili za maambukizi ya mfupa.

Jiunge na Group Letu La WhatsApp Tujadiliane Kwa Pamoja Namna Ya Kudhibiti Presha na Kisukari

JIUNGE SASA
Fanya Mambo Haya Kuepuka Vidonda Vya Miguu
Ili kuepuka shida kubwa za mguu ambazo zinaweza kusababisha kupoteza kidole, kiganja au mguu:

1. Kagua miguu yako kila siku. Angalia mikwaruzo, malengelenge, uwekundu, uvimbe, au kucha
matatizo. Tumia kioo cha kukuza ili kuangalia nyayo zako.

2. Osha miguu katika maji ya uvuguvugu, kamwe isiwe moto. Weka miguu yako safi kwa kuosha kila siku. Tumia maji tu ya uvuguvugu – joto ambalo ungetumia kwa mtoto mchanga. Kausha miguu yako na kuipaka mafuta ispokuwa katikati ya vidole. Ili kuepuka maambukizi kutokana na unyevu.

3. Osha taratibu miguu yako. Osha kwa kutumia kitambaa cha kufulia au sponji. Kausha kwa uangalifu katikati ya vidole.

4. Kata kucha kwa uangalifu. Usikate kucha fupi sana, kwani hii inaweza
kusababisha kucha kuotea ndani.

5. Kamwe usijitibu sugu mwenyewe. Muone mtumishi wa afya akushauri.

6. Tizama viatu vyako ndani kabla ya kuvaa. Kumbuka, miguu yako
inaweza kutokuhisi kokoto au kitu kingine.

7. Vaa soksi na viatu sahihi. Kiatu kisikubane sana au kupwaya sana.

8. Kamwe usitembee bila viatu, hata nyumbani. Kila mara
vaa viatu au malapa. Unaweza kujikwaa na kuumia.

9. Dhibiti sukari yako: Hakikisha sukari yako inakuwa katika kiwango kinachokubalika kiafya:

K**a umejipima asubuhi wakati hujala basi iwe kati ya 3.5mmol/L-7.0 mmol/L.
K**a umejipima baada ya kula basi iwe kati ya 7.0mmol/L-13.0 mmol/L.
10. Usivute sigara. Uvutaji sigara unazuia mtiririko wa damu miguuni mwako.

11. Mhudumu wa afya akague miguu yako mara kwa mara unapokwenda kliniki. Jitengenezee utaratibu wa kumkumbusha daktari anayekuhudumia ili atizame mguu wako. Njia nzuri ni kumuuliza daktari, unauonaje mguu wangu?

Namana Ya Kuepuka Maambukizi Kwenye Kidonda Cha Kisukari
Maambukizi kwenye kidonda cha mguu yanaweza kuzuiwa kwa kufanya yafuatayo:

Osha miguu Weka miguu yako safi kwa kuosha kila siku. Tumia maji tu ya uvuguvugu – joto ambalo ungetumia kwa mtoto mchanga.
Kusafisha ngozi inayozunguka kidonda
Kuacha kidonda kikavu na kubadilisha bandage mara kwa mara. Hii itategemea na ushauri wa mhudumu wa Afya, lakini unaweza kubadili angalau mara mbili kwa siku.
Vipimo Muhimu Vitakavyokusaidia Kujikinga na Vidonda
Vidonda vya kisukari vinaepukika. Hata wale waliokatwa miguu wangelifahamu haya wangeweza kuwa wanatembea hivi tunavyoongea kwani wasingekuwa wamepata kidonda na hivyo kuepuka haya yote yalioysababishwa na vidonda.

Kumbuka sukari inapozidi na kupungua kwa hisia miguuni ukijumlisha na kushuka kwa kinga mwilini ni huongeza hatari zaidi. Hivyo utahitaji kufahamu kiwango chako cha sukari ili upange mkakati wa kuidhibiti na pia kuweza kufahamu k**a unahisi kwenye miguu.

Hivyo utahitaji kipimo cha sukari -glucometer na kipimo cha hisia-monofilament. Vipimo hivi vyote vinapatikana kwetu.

Pima kiwango cha sukari kwenye damu: Ili kuweza kufahamu hali yKipimo cha Sukari-Gluconaviiako ya kisukari na kuweza kuidhibiti pamoja na kudhibiti madhara yake inabidi uwe na mashine yako kuweza kupima sukari kila wakati unapotaka kufanya hivyo

Kupima hisia miguuni haswa sehemu zile zilizokwenye hatari ya kupata vidonda. Ni muhimukufanya kipimo hiki ili kuhakiki utimamu wa mishipa yako ya faahmu. Hii itakuwezesha kuepuka vidonda ambavyo vinaweza kukusababisha ukatwe mguu.

Kifaa hichi kina nyuzi mahususi kwa kupima hisia na hivyo kuweza kuelewa hatari uliyonayo- uwezekano wa kuumia bila kuhisi maumivu.

Vifaa Vitakavyokusaidia Kujikinga na Vidonda Miguuni
Vifaa viwili vitakusaidia katika kujikinga na vidonda vya kisukari kwa kufanya yafuatayo.

Kwa kuhakikisha unapambana kushusha sukari ukiwa na uhakika wa kiwango unachotaka kukishusha na
Kufahamu hali yako ya hisia kwenye miguu.
Haya yote yatakuongezea ufahamu na hivyo kuchukua hatua stahiki.

VIPATE LEO
Epuka Vidonda Glucometer+Monofilament-Offer
Lini Nimuone Daktari Kuhusu Vidonda vya Kisukari?
Wagonjwa wanaweza kuonesha dalili za ugonjwa wa mishipa ya fahamu au kuziba kwa mishipa ya damu. Muone mtaalamu wa afya ikiwa unaona mabadiliko yafuatayo:

maumivu ya miguu au misuli kuk**ata katika mapaja wakati wa mazoezi ya mwili
Miguu kuwaka moto, kufa ganzi au kuwa na maumivu
Kupoteza hisia ya mguso au uwezo wa kuhisi joto au baridi vizuri kwenye miguu
Mabadiliko ya muonekano wa miguu kwa muda – k**a vile kuwa myeusi
Ngozi ya miguu kuwa kavu kupasuka
Mabadiliko ya rangi na joto la miguu
Kucha zilizo nene na manjano
Kuwa na maambukizi ya fangasi katikati ya vidole
Malengelenge,
Kidonda,
Kidonda au Sugu iliyoambukizwa,
Kucha zinazo ota kwa ndani.
Kukosekana kwa dalili hizi hakumaanishi kwamba hakuna tatizo lolote kwenye mguu.

Endelea kudhibiti sukari yako huku ukiendelea kuchungua miguu yako. .abidi ufuate kanuni ile ya Kagua mguu kila siku hata k**a huhisi mabadiliko au maumivu yeyote, na hakikisha unakwenda hospitali k**a ua kidonda kisichopona au lenge lenge lisiloisha.

SAIDIA WENGINE

Tafadhali Like na Kusambaza Ujumbe Huu Kwa Watu Unaofikiri Watanufaika na Ujumbe Huu.

Share with your friends
FacebookWhatsAppTwitterSMS

Leave a Replay

Recent Posts
Fahamu Madhara ya Kisukari na Namna ya Kuyaepuka
Read More »

Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga
Read More »
Ugonjwa wa Kisukari: Chanzo, Aina, Dalili, & Dawa za Kutibu
Read More »
Vipimo Muhimu Kwa Mgonjwa wa kisukari - kipimo cha sukari, kipimo cha presha-glucometer-kipimo cha hisia miguuni na cha uwiano wa uzito na urefu
Mgonjwa wa Kisukari Afanye Vipimo KWA MAWASILIANO ZAID PIGA CM KWEND NAMBA 👉👉0744806133

penda kupangilia mlo wako kilasiku 👇👇👇 asubuhi matunda kidogo supu na kitafunwa👇👇👇                             mchana ku...
02/11/2022

penda kupangilia mlo wako kilasiku 👇👇👇 asubuhi matunda kidogo supu na kitafunwa👇👇👇 mchana kula ugali na mbogamboga kwa wingi Sana na👉👉 kusiku penda kutumia matunda pekee 🤷🤷ita kusaidia kuweza kubransi sukakari na kuwa kwenye Hali ya kawaida kwa ushaul zaidi binyeza link hapo 👇👇👇👇👇👇👇👇👇https://chat.whatsapp.com/Lgj1uBxuGfpIfPG4dEUaPl

*MLO WA USIKU*👆🏼Mmeshindaje wapendwa??? Siku imeendaje?  nakukumbusha📌📌Jitahidi kutokula wanga k**a ugali, wali, tambi, ...
01/11/2022

*MLO WA USIKU*👆🏼

Mmeshindaje wapendwa??? Siku imeendaje? nakukumbusha

📌📌Jitahidi kutokula wanga k**a ugali, wali, tambi, chapati n. K muda wa usiku, *Wanga hii ni hatari zaidi maana, wanga hutumika k**a nishati kuupa mwili nguvu ya kufanya shughuli zake za kila Siku, ila wanga hii isipotumika na mwili, basi hubadilishwa kua mafuta*

👉🏾 Na mafuta haya ndio huusika katika, kuongeza uzito wa mwili na mafuta yanayojikusanya sehemu ya tumbo(belly fat) yanachangia kwa kiasi kikubwa kuvuruga mwili wako. *Badala yake, kula mbogamboga kwa wingi na matunda na protini/kitoweo kiasi muda wa usiku*

Kalibu katika group letu utapata ushauli bure kuhusisna na kisukari jinsi ya kubalansi vyakula nakutumia vyakula vilivyo...
31/10/2022

Kalibu katika group letu utapata ushauli bure kuhusisna na kisukari jinsi ya kubalansi vyakula nakutumia vyakula vilivyo sahihi ilikuweza kuepukana na kisukali wai link kabla group halijajaa 👇👇 https://chat.whatsapp.com/Lgj1uBxuGfpIfPG4dEUaPl uki pata link hii watumie na watu wengi kwani mgonjwa hili la kisukari ni hatar Sana nawa takia juma pili iliyo njema

WhatsApp Group Invite

JINSI YA KUTIBU CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME BILA KUTUMIA DAWA ZA HOSPITALI.K**a wewe ni mwanaume uliyeoa na umekuwa uki...
20/10/2022

JINSI YA KUTIBU CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME BILA KUTUMIA DAWA ZA HOSPITALI.

K**a wewe ni mwanaume uliyeoa na umekuwa ukihangaika kutatua tatizo la nguvu za kiume kwa kipindi kirefu sana bila ya kuona mafanikio basi nina habari nzuri mno.

Nimekuandalia darasa BURE KABISA lenye kukuonesha jinsi ya kutibu changamoto ya nguvu za kiume bila kutumia dawa za hospitali.

Kujiunga hilo darasa andika au comment namba yako ya simu hapo chini na nitakuingiza katika group letu la mafunzo Mara moja.

Kuhudhulia hilo darasa wahi
Bonyeza link hapo chini uingie kwenye group
https://chat.whatsapp.com/BkJHOOX2TOO0yZymWXWgYP
Au piga 0744806133

Wahi kabla ya group kujaa.

20/10/2022
KARIBU KWENYE GROPUP MAALUM LA AFYA NA USHAURI KUHUSU  UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEK**a wewe ni mwanaume uliyeoa na umekuw...
12/08/2022

KARIBU KWENYE GROPUP MAALUM LA AFYA NA USHAURI KUHUSU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

K**a wewe ni mwanaume uliyeoa na umekuwa ukihangaika kutatua tatizo la nguvu za kiume kwa kipindi kirefu sana bila ya kuona mafanikio basi nina habari nzuri mno.

Nimekuandalia darasa BURE KABISA lenye kukuonesha jinsi ya kutibu changamoto ya nguvu za kiume bila kutumia dawa za hospitali.

Kujiunga hilo darasa andika au comment namba yako ya simu hapo chini na nitakuingiza katika group letu la mafunzo Mara moja.

Kuhudhulia hilo darasa wahi
Bonyeza link hapo chini uingie kwenye group
https://chat.whatsapp.com/BkJHOOX2TOO0yZymWXWgYP
Au piga 0744806133

Wahi kabla ya group kujaa.

Address

Singidani Complex
Singida

Telephone

+255626695138

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share