HELEN HEALTHcare

HELEN HEALTHcare CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA MWANAMKE NA MWANAUME, VIDONDA VYA, AFYA YA VIUNGO NA MIFUPA, UTI, FUNGUS NA PID 0763344039

13/07/2023

WhatsApp Group Invite

Alovera juice Inapunguza gesi tumboni inaondoa muungurumo tumbonInatibu madonda ya tumboInalainisha choo nichek 07633440...
17/07/2022

Alovera juice
Inapunguza gesi tumboni
inaondoa muungurumo tumbon
Inatibu madonda ya tumbo
Inalainisha choo nichek 0763344039 nikuhudumie

✅✅✅Hello dears, kwanza kabisa napenda niwajulishe kuhusu Mvurugiko wa homonihttps://chat.whatsapp.com/FKSeVO9AKZJHQosDw4...
04/06/2022

✅✅✅Hello dears, kwanza kabisa napenda niwajulishe kuhusu Mvurugiko wa homoni

https://chat.whatsapp.com/FKSeVO9AKZJHQosDw4Qk0M

✍️Mvurugiko wa homoni (hormone imbalance)
👉👉Hii ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke, hivyo kumfanya mwili wake kubadilika.
Hali hii huchangia mwanamke kupata matatizo katika mfumo wake wa uzazi kwa asilimia kubwa
https://chat.whatsapp.com/FKSeVO9AKZJHQosDw4Qk0M
👉Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke husababishwa na kutokuwepo usawa katika homoni zifuatazo
-Estrogen
-Progesterone
-Testosterone.

https://chat.whatsapp.com/FKSeVO9AKZJHQosDw4Qk0M

✍️✍️Vyanzo vya Mvurugiko wa homoni ni vipi????

✅Uwepo wa takamwilk nyingi na sumu mwilini
✅Unbalanced diet: kutozingatia mlo kamili
✅Umri kwenda sana
✅Kukoma hedhi
✅Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
✅ Uzito mkubwa sana
✅ Msongo wa mawazo, hii hali husababisha mwili kushindwa kuzalisha homoni
✅Upungufu wa lishe
✅Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
✅Utoaji mimba
✅Family history (historia ya familia), Upungufu au ongezeko la uwezo wa mwili kuzalisha homoni..

✍️✍️Dalili za Mvurugiko wa homoni..

✅Kukosa hedhi kwa mda mrefu
✅ Hedhi isiyo na mpangilio(Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi
✅Kutokwa jasho usiku
✅Maumivu makali wakati wa hedhi
✅Uke mkavu(kukosa uteute)
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa
✅Uchovu na hasira za mara kwa mara
✅Kuhisi dalili za mimba wakati hauna mimba
✅Kukosa kumbhkumbu
✅Kuharibika kwa ngozi, kupata chunusi

⚠️https://chat.whatsapp.com/FKSeVO9AKZJHQosDw4Qk0M
0763344039

WhatsApp Group Invite

04/06/2022

*YAJUE MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA!!*
P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.
*P.I.D NI NINI?*
P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.
*💥DALILI ZA P.I.D*
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

*FIBROIDS NI NINI??*
*FIBROIDS ni* uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi
*💥DALILI ZA FIBROIDS*
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizikua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpk kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendi la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation)
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba
Kupata msaada na tiba wasiliana nasi 0763344039

03/06/2022
Asante sana Mamy kwa marejesho ijue nguvu ya garlic katika kupambana na infection zote za ndan k**a UTI, fungus, Pid nk
21/05/2022

Asante sana Mamy kwa marejesho ijue nguvu ya garlic katika kupambana na infection zote za ndan k**a UTI, fungus, Pid nk

Je unasumbuliwa 🌹U. T. I 🌹Fungus🌹Miwasho sehemu za siri 🌹Uchafu unatoka sehemu za siri🌹Mba wa ngozi mba wa kichwani🌹Viba...
21/05/2022

Je unasumbuliwa
🌹U. T. I
🌹Fungus
🌹Miwasho sehemu za siri
🌹Uchafu unatoka sehemu za siri
🌹Mba wa ngozi mba wa kichwani
🌹Vibarango. Mapunye
🌹Umeungua au ndugu kaungua
🌹Kidonda hakijauki una kidonda na unakansa
Sasa suluhisho limekufikia karibu tumia care kwa ulinzi wa afya yako

Zifahamu sababu zinazomfanya mwanamke kushindwa kushika ujauzito gusa link Kuja kwenye group
21/05/2022

Zifahamu sababu zinazomfanya mwanamke kushindwa kushika ujauzito gusa link Kuja kwenye group

Wababa hii ni yenu nichek 0763344039 nikuhudumie
21/05/2022

Wababa hii ni yenu nichek 0763344039 nikuhudumie

Jipatie virutubisho kwa changamoto hii ya nguvu za kiume na tatizo lako litakwisha Usitumie mkongo nichek 0763344039
21/05/2022

Jipatie virutubisho kwa changamoto hii ya nguvu za kiume na tatizo lako litakwisha Usitumie mkongo nichek 0763344039

Address

Ikungi
Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HELEN HEALTHcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to HELEN HEALTHcare:

Share