dalali_singida_viwanja_nyumba

dalali_singida_viwanja_nyumba pata nyumba za kununu,kupanga, viwanja na mashamba. ndani ya mkoa wa singida. simu 0758128485

18/04/2026
18/04/2026

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – SINGIDA 🏡

📍 Ipo nyuma ya kiwanda cha Aikamde cha mafuta

✨ Ina sifa zifuatazo:
✔️ Vyumba 3
✔️ Kimoja Master Bedroom
✔️ Sebule kubwa
✔️ Jiko
✔️ Dining Room
✔️ Store
✔️ Study Room
✔️ Fensi na Geti
✔️ Mazingira mazuri na salama

💰 Kodi: Tsh 300,000 kwa mwezi

📞 SIMU 0658128485/0758128485

KodiSingida

16/04/2026

🏡 NAPANGISHA NYUMBA – SINGIDA 🏡

✨ Inapangishwa nyumba nzuri yenye mazingira salama na tulivu

✅ Vyumba viwili
✅ Sebule
✅ Sehemu ya jiko
✅ Choo na bafu nje
✅ Umeme unajitegemea
✅ WiFi FREE 📶
✅ Maji FREE 💧
✅ Fensi na geti
✅ Karibu na Jengo la Walimu Mwenge

💰 Kodi: TSh 120,000 kwa mwezi

📞 SIMU 0658128485/0758128485

15/04/2026

🏡 PATA VIWANJA & NYUMBA SINGIDA 🏡

📍 Ndani ya Singida Mjini
✔️ Viwanja vya bei nafuu
✔️ Nyumba za kupangisha
✔️ 1/125 (Open, 3 Bedrooms)
✔️ Mashamba ya uwekezaji

💰 Bei rafiki – Chagua kulingana na bajeti yako

📞 Wahi sasa:
0658128485 / 0758128485

⚡ Usichelewe – fursa zinaisha haraka!

RealEstateTZ DalaliSingida

14/04/2026

🚨 PIKIPIKI ZINAUZWA – FURSA YA HARAKA! 🏍️🔥

NAUZA PIKIPIKI
✔️ Zina namba: DKY & DNZ
✔️ Zote ziko vizuri tayari kwa matumizi

💰 Bei: Milioni 1.4 kila moja (fixed)

📍 Location: Msufini – Singida

📞 PIGA SIMU SASA:
0658128485 / 0758128485

⚠️ Wahi mapema – wa kwanza ndiye mwenye bahati!

---
NunuaLeo HarakaHaraka DealsZaMoto TanzaniaMarket BodaBodaLife

14/04/2026

🏠 NYUMBA YA KUPANGISHA – KINDAI, SINGIDA

✔️ Vyumba 3
✔️ Sebule
✔️ Jiko la nje
✔️ Public toilet
✔️ Umeme na maji vipo

📍 Location: Kindai – karibu na viwanda vya mpunga

💰 Kodi: 100,000/=

📞 Piga simu: 0658128485 / 0758128485

⚡ Wahi sasa – nyumba ipo tayari kwa kuhamia!

---

RealEstateTanzania DalaliSingida NyumbaNzuri TanzaniaHomes Kodi100k

14/04/2026

🏠 CHUMBA KIZURI CHA KUPANGISHA – JINERI, SINGIDA

✨ Chumba safi na kizuri kabisa
📍 Location: Jineri Center – Singida
💰 Kodi: Tsh 80,000 tu kwa mwezi

📞 Wasiliana sasa:
0658128485 / 0758128485

🚨 Wahi mapema – nafasi ni chache!

DalaliSingida Pangisha RealEstateTZ TanzaniaHomes HouseForRent ChumbaBeiPoapoa

13/04/2026

🏡 VIWANJA VINOUZWA – SINGIDA (MTIPA)

📍 Karibu na Uwanja wa Airtel
🔹 Viwanja 5 (3 pamoja, 2 jirani)
📐 SQM 1000 (25×40)

💰 3.1M (Fixed)

📞 0658128485 / 0758128485

Wahi

13/04/2026

🏡 VIWANJA VINOUZWA – SINGIDA 📍

📌 Location: Karibu na Uwanja wa Mpira Airtel – Mtipa

🔹 Jumla: Viwanja 5
✔️ 3 vimefuatana
✔️ 2 vimefuata

📐 Kila kiwanja: SQM 1000 (25 × 40)

💰 Bei: Milioni 3.1 tu (Fixed – hakuna kupunguza)

🔥 Eneo zuri kwa makazi au uwekezaji – wahi kabla havijaisha!

📞 Piga simu sasa:
0658128485 / 0758128485

Uwekezaji Nyumba PlotForSale TanzaniaRealEstate Fursa Dalali LandForSale InvestmentTZ NyumbaNaViwanja Wahi

13/04/2026

🏠 CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA

📍 Jineri Center – Singida
💰 Kodi: 100,000/=

✔️ Chumba kizuri na mazingira tulivu
✔️ Eneo la karibu na huduma muhimu

📞 Piga simu sasa:
0658128485 / 0758128485

⚡ Wahi kabla hakijachukuliwa!

JineriCenter

Address

Misuna
Singida

Telephone

+255758128485

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dalali_singida_viwanja_nyumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share