
26/12/2024
Usije ukajaribu hata siku moja kumwambia mvulana kuwa bado wewe ni bikra kumbe unajua ni bwabwa k**a unataka Usalama wa ndoa yako usije kujaribu
Unaweza kupewa talaka siku hiyo hiyo huyo MWANAUME k**a sio wale wa subra MPE ukweli kuwa mimi niliteleza basi kuliko uongo wa MADHARA
Wengine wanaishi nao ila kwa mashaka makubwa na ndoa hukosa furah, upendo amani kisa ulisema uongo kukuamini ni 0 muwe wakweli kwenye uchumba sio uongo
WANAUME hata k**a yupo na miaka 100 watoto 100 kazini na watu 100 bado anataka bikra muwe makini
Na nyie wanaume hii tabia ya kukaa mnasema SIKU hizi hakuna bint bikra muache Mara moja, tabia mbaya dhana mbaya utakuja kuulizwa kwani nyie mumezini dunia nzima kuweni makini na kauli zenu
UKITULIA UTAPATA ALIYE TULIA TATIZO LENU BAADHI MNAZINI KWANZA NDO MNATAKA KUOA BIKRA NDO MAANA MNAKOSA
ILA MKITULIA BILA KUZINI MTAPATA
MABINT WALIYO JITUNZA NI WENGI MIMI NAKUHAKIKISHIA KUWA WAPO
NAWAPENDA NDO MAANA NAWAMBIA.