Afya ni yetu sote

Afya ni yetu sote VIRUTUBISHO ASILIA

09/01/2023

FOREVER ALOE VERA GEL

Ni Juisi iliyotokana na Ute Ute wa ndani wa jani la Aloe Vera aina ya Aloe Barbardensis Miller.

Ambayo ina 99.9% ya Aloe Vera na imehifadhiwa kwa viini lishe vya vyakula visivyo koborewa hivyo haina kemikali.

Aloe Vera Gel inakupatia Vitamin A, B12, C & E, Madini ya Calcium, Sodium, Potassium, Iron, Magnesium, Copper, Zinc & Chromium na Folic Acid ambazo mwili unahitaji kila siku.

FAIDA YA KUNYWA ALOE VERA GEL.

1. Husaidia kusafisha mwili kwa kupunguza kiwango cha sumu na taka mwilini.

2. Huboresha na kuimalisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula mtu apate choo raini na kwa wakati.

3. Husaidia uzalishaji wa chembe hai nyeupe mwilini kwa kuimalisha kinga za mwili.

5. Hupunguza uchovu na kuupa mwili nguvu na stamina hivyo humfanya mtumiaji ajis**ie vizuri muda wote.

5. Huzuia na kusheyusha uvimbe unaoanza au kujitokeza mwilini aidha tumboni au kwenye mfumo wa uzazi.

6. Hupunguza na kuzuia vyanzo vya aleji mwilini.

7. Husaidia ufanyaji kazi mzuri wa afya ya Figo, Ini, Tezi Dume, Misuli, Mifupa pia hutunza na kung'alisha ngozi.

Cal/sms 0683372667

 :    NINI CHANZO CHA NYAMA UZEMBE. ?" FAHAMU NJIA ZA ASILI MWANAMKE ANAZOWEZA KUTUMIA KUPUNGUZA MWILI NA KURUDISHA SHEP...
05/01/2023

: NINI CHANZO CHA NYAMA UZEMBE. ?

" FAHAMU NJIA ZA ASILI MWANAMKE ANAZOWEZA KUTUMIA KUPUNGUZA MWILI NA KURUDISHA SHEPU YAKE NA MVUTO KWA MMEWE.

Kufuatia ukosoaji mkubwa alioupata mitandaoni baada ya kupost picha zake akiwa bonge mno na kumlemea hata mchumba wake, pichani ni binti aitwae Naki kutoka nchini Ghana aliejipatia umaarufu mkubwa mitandaoni baada ya kufanikiwa kupunguza mwili wake na kurudisha shepu na mvuto wake.

JINSI YA KUONDOA AU KUPUNGUZA MAFUTA TUMBONI KWA WANAWAKE

Wanawake wengi miaka ya karibuni wanakabiliwa na tatizo linalofanana na kitambi kwa upande wa wanaume. Hivyo ingekuwa ni wanaume tungesema ni kitambi ambalo nalo ni tatizo kubwa miongoni mwa wanaume wengi nyakati za sasa.

Kinachowasumbuwa wanawake siyo kitambi tunasema ni mlundikano wa mafuta sehemu ya chini ya tumbo na tumbo kwa ujumla kufikia hali kuonekana k**a ana tumbo kubwa au kuhisi labda ni ujauzito kumbe ni mafuta tu mengi.

Kwa ujumla ni vigumu sana kupunguza tumbo la namna hii, hivyo kwenye post hii pamoja na mengine tutaona pia visababishi vya tatizo lenyewe, dawa za asili zinazoweza kuondoa tatizo hilo na aina ya maisha unayotakiwa kuishi ili ufanikiwe kirahisi zaidi bila kukuachia madhara mengine yoyote.

Nini kinasababisha tumbo kwa kina mama:

*Vyakula feki (Junk food)
*Kutumia vyakula vya wanga kupita kiasi
*Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
*Kula chakula kizito muda mchache kabla ya kwenda kulala
*Kukaa masaa mengi kwenye kiti
*Kutokujishughulisha na mazoezi
*Mfadhaiko (stress)
*Kula wali kila siku
*Ugali wa sembe
*Kula vyakula vinavyopikwa katikati ya mafuta mengi (chipsi, maandazi, nk)

Vyakula 25 vinavyoondoa mafuta kwenye tumbo kwa wanawake

1. ASALI NA LIMAU

Chukua asali kijiko kikubwa kimoja cha chakula na majimaji ya limau vijiko vikubwa viwili, changanya hivi viwili ndani ya glasi moja (robo lita) ya maji ya uvuguvugu na unywe yote mara tu ukiamka asubuhi.

Tumia kwa wiki 3 hivi mpaka mwezi mmoja na hutachelewa kuona tofauti.

2. MAJI YA UVUGUVUGU

Kunywa maji ya uvuguvugu k**a lita 1 hivi wakati tumbo likiwa tupu hasa asubuhi ukiamka tu. Hii inasaidia kusafisha mwili na kuondoa mafuta yasiyohitajika.

3. NYANYA

Kula nyanya ambazo hazijapikwa pia inasaidia kupunguza tumbo kwa kina mama, hivyo kula kachumbali ya kutosha kila siku ya nyanya peke yake na utaona mabadiliko.

4. TANGAWIZI

Chemsha chai ya tangawizi, ipua na usubiri ipowe kidogo, ongeza asali mbichi kidogo na pilipili manga kidogo ya unga. Pata kikombe kimoja cha chai hii kila siku asubuhi mapema ukiamka tu. Asali inasaidia kuyeyusha mafuta wakati pilipili itauongezea nguvu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

5. S**I YA TUFAA

S**i ya tufaa (apple cider vinegar) inasaidia kupunguza njaa na kukufanya ujis**ie umeshiba kwa kipindi kirefu. Kunywa kijiko kikubwa kimoja cha s**i ya tufaa mara 1 kwa siku kila siku wakati unakula chakula cha usiku. Kazi nyingine ya hii s**i ni kuweka sawa damu sukari mwilini hivyo ni nzuri pia kwa wenye kisukari.

6. MAJANI YA BIZARI

Majani ya bizari husaidia kuondoa sumu na takatka nyingine mwilini kitu ambacho moja kwa moja hupelekea mlundikano mdogo wa mafuta katika tumbo. Kunywa chai ya majani ya bizari kila siku asubuhi, ukikosa majani unaweza kutumia hata unga wake.

8. ILIKI

Iliki hufanya kazi ya kuongeza nguvu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na ni dawa nzuri sana ya kuondoa sumu na takataka nyingine mwilini. Iliki pia hutumika katika kupunguza uzito. Tengeneza chai yenye iliki kila siku ndani yake, pia ni kiungo karibu kwa vyakula vingi hivyo hakikisha unaiweka katika kila chakula unachopika kwa matokeo mazuri zaidi.

9. MDALASINI

Mdalasini hufanya kazi ya kuchoma mafuta mwilini. Chukua kijiko kidogo kimoja cha mdalasini ya unga na uweke ndani ya glasi 1 ya maji ya moto na uache kwa dakika 5 hivi. Ongeza kijiko kidogo kimoja cha asali mbichi ndani yake na ukoroge vizuri, kisha unywe huo mchanganyiko wote asubuhi ukiamka tu.

10. JUISI YA LIMAU

Kunywa maji ya limau au juisi ya limau kila mara kutakusaidia kuondoa mafuta tumboni kwa haraka sana. Ongeza majimaji ya limau vijiko vikubwa viwili ndani ya glasi 1 ya maji na uongeze punje 1 ya chumvi ya mawe, koroga vizuri na unywe asubuhi ukiamka tu kila siku.

11. KITUNGUU SWAUMU

Ili kupunguza mafuta tumboni katakata vipande vidogo vidogo (chop) punje 3 mpaka 4 za kitunguu swaumu na unywe na maji vikombe viwili asubuhi tu na kisha shushia na glasi moja ya maji yenye limau kidogo kwa mbali. Hii ndiyo njia nzuri kabisa ya asili ya kuondoa mafuta tumboni kwa haraka zaidi.

12. TIKITI MAJI

Tikiti maji lina asilimia 82 za maji kitu kinachofanya tumbo lako kutokuwa na njaa ya kuhitaji chakula. Tikiti maji lina vitamini C ambayo ni mhimu kwa afya bora. Kula tikiti kila siku.

13. MAHARAGE

Kula maharage kila mara kunasaidia kupunguza mafuta katika tumbo. Maharage yana kiasi kingi cha nyuzinyuzi (faiba) kitu kinachosaidia tumbo lako kutojis**ia njaa na hivyo itakuwezesha kula chakula kiasi kidogo. Kadri unavyokula chakula kichache ndivyo unavyokuwa mbali na uwezekano wa kuzalisha mafuta mengi tumboni.

Basi kula maharage kila siku.

14. TANGO

Tango lina asilimia 96 za maji na asilimia zinazobaki ni nishati. Tumia kachumbali yenye tango ndani yake kila siku au kula tu tango moja kila siku ili kupunguza mafuta tumboni kwa haraka.

15. PARACHICHI

Parachichi ni tunda lingine zuri sana kwa ajili ya kuchoma mafuta yaliyozidi mwilini. Parachichi ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi (faiba). Parachichi huikimbiza mbali njaa na wewe. Parachichi lina mafuta lakini ni mafuta mazuri (monounsaturated fatty acids) ambayo yenyewe husaidia kuchoma mafuta na hivyo kuondoa mafuta mabaya tumboni kirahisi zaidi.

Kula parachichi 1 kila siku.

16. TUFAA

Kula tufaa maarufu sana k**a 'apple' (epo) kunaweza kusaidia kupigana na magonjwa mengi sana mwilini na inaweza pia kusaidia kuondoa mafuta kwenye tumbo lako. Tufaa hukufanya ujis**ie umeshiba sana kwa masaa mengi sababu lina potasiamu na vitamini nyingi sana ndani yake.

Hivyo kula tunda hili 1 kila siku asubuhi kupunguza shauku yako ya kutaka kula zaidi ndani ya hiyo siku nzima.

17. MAFUTA YA SAMAKI

Mafuta ya samaki ni mbadala mzuri kabisa katika kuchoma mafuta ya tumboni. Mafuta ya samaki yenyewe hulenga kuyachoma moja kwa moja mafuta yanayozidi tumboni. Ukiweza unaweza kuamua yawe ndiyo mafuta yako ya kupikia, pia unaweza kunywa mafuta haya kijiko kikubwa kimoja kila siku unapoenda kulala.

18. SIAGI YA KARANGA

Siagi ya karanga hupunguza njaa na kuongeza nguvu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Siagi ya karanga ina kiinilishe kijulikanacho k**a 'niacin' ambacho chenyewe huzuia mafuta kujilundika tumboni. Hivyo kwenye mkate wako asubuhi ningekushauri utumie hii siagi ya karanga badala ya mafuta mengine ambayo si salama, pia unaweza kutumia hii siagi ya karanga k**a mafuta yako ya kuunga katika mboga nyingi unazopika hata katika wali unaweza kutumia k**a mafuta yako mbadala.

19. MAYAI

Mayai yana vitamini nyingi sana ndani yake (mayai ya kienyeji lakini) na yana madini pia k**a kalsiamu, zinki, chuma, omega -3 nk. Viinilishe vyote hivyo katika mayai husaidia kuchoma mafuta yanayozidi tumboni. Hivyo kula mayai asubuhi kila siku ili kuondoa na kupunguza mafuta mwilini. Mayai pia ni moja ya vyakula vinavyomfanya mtu ajis**ie kushiba kwa muda mrefu bila kuhitaji kula kula tena.

20. CHAI YA KIJANI

Chai ya kijani maarufu k**a 'Green tea' hufanya kazi ya kuondoa sumu mwilini jambo linalosaidia pia kuchoma mafuta yaliyozidi mwilini. Kunywa chai hii ya kijani kila siku kutafanya ngozi yako kukua vivyo hivyo kufanya tumbo lako kukaa sawa bila kuwa na mafuta mengi.

21. MTINDI

Ingawa mtindi unaweza kupelekea kuongeza uzito zaidi, hata hivyo mtindi mtupu kabisa ule ambao haujaongezwa kingine chochote ndani yake unaweza kukusaidia kupunguza mafuta tumboni. Matumizi yake kwa siku yasizidi kikombe kimoja (robo lita). Pia mtindi ni moja ya vyakula vinavyoweza kukufanya ujis**ie umeshiba na hivyo kukuondolea njaa ya kutaka kula.

22. JUISI YA KOTIMIRI

Juisi ya kotimiri (Parsley juice) huondoa sumu na takataka nyingine zozote mwilini, pia huchoma mafuta na nishati. Kotimiri ni dawa nzuri kwa matatizo mbalimbali ya figo pia kwa kuchoma mafuta mwilini.

Pata kikombe kimoja cha juisi hii kila siku unapoenda kulala.

23. NDIZI

K**a lilivyo tufaa, ndizi pia zina kiasi kingi cha potasiamu na vitamini za aina mbalimbali ndani yake. Ukipenda kula ndizi kila mara zinachofanya mwilini mwako ni kuondoa ile hamu ya kutaka kula vyakula feki (fast food). Zaidi sana ndizi huuongezea nguvu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na hivyo kupelekea mafuta ya tumboni kuyeyuka kirahisi zaidi. Kula ndizi kila siku ukiweza ukiamka tu kula ndizi zilizoiva 3 mpaka 5 kila siku.

24. MAJI YA KUNYWA

Kunywa maji ya kutosha kila siku kunasaidia pia kupunguza uzito. Kunywa maji lita 2 mpaka 3 kila siku iendayo kwa Mungu. Kunywa maji kidogo kidogo kutwa nzima. Hili halitafanya kazi ya kusafisha mwili tu bali pia litafanya ngozi yako kung'aa na kukuwa. Nywele zako pia zitaonekana ni zenye afya na mwili mzima utakuwa ni wenye kuvutia.

Kitu cha kwanza ukiamka tu ni kunywa maji glasi 2 na uendelee hivyo hivyo glasi moja moja kila baada ya lisaa limoja au mawili kutwa nzima. Maji ni uhai, bila kunywa maji kila siku ni sawa na kwenda dukani bila hela mfukoni.

Asilimia 94 ya damu yako ni maji, asilimia 85 ya ubongo wako ni maji, asilimia 27 ya mifupa yako ni maji, asilimia 75 ya mwili wako ni maji. Sehemu kubwa ya dunia hii imefunikwa na maji na sehemu yenye ardhi ni kipande kidogo sana. Haijalishi unaishi kwenye baridi au kwenye joto hakikisha unakunywa maji ya kutosha kila siku, huhitaji kus**ia kiu au hamu ndipo unywe maji, hapana maji ni lazima uyanywe tu hata iweje.

25. MAZOEZI YA KUTEMBEA

Shida kubwa kwa kina mama wengi wa kiTanzania ni kuwa hawajishughulishi na mazoezi. Hapa Tanzania mazoezi inaonekana ni jambo la wanaume tu. Mazoezi ni jambo la lazima kwa mtu yeyote iwe unaumwa au huumwi.

Ili kuchoma mafuta mwilini kwa haraka zaidi tembea kwa miguu mwendo kasi kidogo lisaa limoja kila siku. Kumbuka nimesema lisaa limoja yaani dakika 60 bila kupumzika (none stop) kila siku. Kutembea kwa miguu lisaa limoja huamsha mwilini kimeng'enya kijulikanacho k**a 'lipase' ambacho chenyewe huamka tu ikiwa utatembea bila kusimama kwa dakika 60 na kikishaamshwa (when it is activated) huendelea kuchoma mafuta mwilini kwa masaa 12 mfulululizo.

Usiseme nikitoka sehemu fulani kwenda sehemu fulani nitakuwa nimetembea vya kutosha, hapana, unahitaji uwe na saa mkononi kuhakikisha kweli dakika 60 zimeisha ukiendelea kutembea bila kusimama. K**a utaweza kukimbia kidogo kidogo (jogging) basi utachoma mafuta ya tumbo kwa haraka zaidi.

Ufanye zoezi hili kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili mfululizo na mafuta kwenye tumbo lako yatapotea yenyewe bila kupenda.

Tafadhari SHARE post hii kwa ajili ya wengine uwapendao.

Nakutakia siku Njema, Mungu Akubariki na kukulinda
0683372667

Ni nini husababisha kitambi?Kula kalori nyingi kuliko mahitaji ya mwili wako hupelekea kutapata kitambi. Hii ni kwa saba...
04/01/2023

Ni nini husababisha kitambi?
Kula kalori nyingi kuliko mahitaji ya mwili wako hupelekea kutapata kitambi. Hii ni kwa sababu kalori zisizotumika huhifadhiwa mwilini mwako k**a mafuta.
Kitambi kinaweza kusababishwa na:

Kula chakula kingi kuliko mahitaji ya mwili wako
Kunywa pombe sana
Kutofanya mazoezi ya kutosha
Watu wengi wanaojaribu kupunguza uzito, hupunguza kiasi fulani cha uzito na baadae uzito huanza kuongezeka tena, hili huwafanya wajihisi wenye hatia. Watu hawa hujilaumu sana kwa kushindwa kudhibiti kuongezeka kwa uzito. Watu wengine huongezeka uzito maradufu kuliko waliopunguza hapo awali.
Sababu nyingine zinazoathiri uzito ni pamoja na zifuatazo:

Jinsi tunavyokula/tulivyokula wakati tukiwa watoto wadogo huathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyokula tukiwa watu wazima. Jinsi tunavyokula kwa miaka mingi hugeuka na kuwa tabia. Jinsi tunavyokula, muda tunaokula, kiasi tunachokula na hata chakula tunachokula ni tabia inayojengeka kwa miaka mingi.
K**a tumezungukwa na vitu vinavyofanya iwe rahisi kula sana au kupunguza uwezekano wa kufanya mazoezi:
Watu wengi hawana muda wa kutengeneza au kupika chakula bora.
Watu wengi siku hizi hufanya kazi maofisini ikilinganishwa na kazi za kujishughulisha kimwili zilizofanyika hao zamani.
Watu wenye kazi nyingi sana huwa na muda mchache sana wa kufanya mazoezi.
Neno “Matatizo ya ulaji”, humaanisha aina ya matatizo ya kiafya yanayosababishwa na ulaji mbaya. Watu wengine hujinyima sana chakula kupita kiasi na hii husababisha kupungua sana uzito mpaka kufikia viwango vya hatari, wengine hula sana au mara kwa mara na kusababisha kuongezeka sana uzito.
Wakati mwingine, matatizo ya kitabibu au tiba ya matatizo hayo husababisha kuongezeka kwa uzito, mfano:

Kushindwa kwa tezi dundumio kufanya kazi yake vyema (hypothyroidism)
Madawa k**a vile dawa za kupanga uzazi, dawa za kudhibiti msongo wa mawazo, na dawa za kudhibiti wendawazimu.
Mambo mengine yanayoweza kusababisha kuongezeka kwa uzito ni:

Kuacha kuvuta sigara. Watu wengi wanaoacha kuvuta sigara huongezeka uzito, kilo 2 – 5 katika miezi 6 ya mwanzo baada ya kuacha kuvuta. Watu wengine huongezeka kilo 12 – 15.
Msongo, wasiwasi, huzuni, au kutopata usingizi vizuri
Kwa wanawake:
Wakati wa kukatika damu ya hedhi (menopause) – wanawake wanaweza kuongezeka kilo 6 – 7.5 baada ya damu ya hedhi kukatika.
Kushindwa kupunguz uzito ulioongezeka wakati wa ujauzito
0683372667

03/01/2023
Dada etu kapunguza mashavu na nyamauzembe kwa shingo Sasa yupo gud😍Chagua muonekano ulio Bora kwako na wenye afya tele💪💪...
02/01/2023

Dada etu kapunguza mashavu na nyamauzembe kwa shingo Sasa yupo gud😍Chagua muonekano ulio Bora kwako na wenye afya tele💪💪💪
0683372667
KITAMBI NI NINI?

KITAMBI ( Kilibatumbo ) ni TUMBO KUBWA ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo kawaida.
Ni UGONJWA k**a MAGONJWA mengineyo na huweza kuwakumba WATOTO,VIJANA,WATU WAZIMA na hata WAZEE wa JINSIA zote.

Baadhi ya WATU,hukichukulia KITAMBI k**a ISHARA ya UFANISI au MAFANIKIO ya MAISHA kwa MUHUSIKA.
Ni IMANI ambayo kwa namna moja ama nyingine INACHEKESHA kwakuwa KITAMBI ni UGONJWA k**a MAGONJWA mengine.

MWILI wa BINADAMU una SELI bilioni 50 - 200 za MAFUTA zilizogawanyika kwenye MWILI wa BINADAMU.

Kwa WANAWAKE zipo sana katika MAENEO ya MATITI,NYONGA,KIUNONI na kwenye MAKALIO.
Kwa WANAUME zipo sana kwenye KIFUA,TUMBONI na kwenye MAKALIO.

MAFUTA ya TUMBO yanayofanya KITAMBI hukusanywa kwa NJIA kuu MBILI.

1.MAFUTA kutoka kwenye TISHU zilizo CHINI ya NGOZI.
2.MAFUTA kutoka kwenye OGANI za NDANI k**a MOYO, KONGOSHO n.k

SABABU ZA KUPATA KITAMBI.

SABABU KUBWA ya KITAMBI ni kukosekana ULINGANO wa NGUVU ( Kalori ),MTU kula VYAKULA vinavyotia NGUVU sana kuliko jinsi anavyoweza KUTUMIA na KUTOA k**a TAKA MWILI.

VYAKULA vinavyochangia UONGEZEKAJI wa KITAMBI ni PAMOJA na NYAMA ( iwe ya kuchemsha,kukaanga au kuchoma ).MAFUTA ya kupikia ( hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama k**a siagi na jibini ).VIAZI vya kukaanga ( chips ),PIZZA, vyakula vyenye WANGA mwingi k**a UGALI wa mahindi, mihogo,wali, mikate myeupe, VIAZI vya mviringo pamoja na NDIZI.

SABABU nyingine ni kuwa na CHEMBE za URITHI za UNENE kutoka kwa WAZAZI,Pia kuna SABABU za KIMAZINGIRA .Ila pia kuna SABABU nyingine ZISIZOJULIKANA.

JINSI YA KUJUA K**A UNA KITAMBI.

KITAMBI kinaweza kuonekana kwa URAHISI kwa MACHO.
Ila KUJUA ni kwa KIWANGO gani KITAMBI chako kipo inabidi kufanya VIPIMO vya KIUNO ( waist ) na NYONGA ( hips ) .

MZINGO wa KIUNO ukiwa 102cm au 40inch kwa WANAUME na 88cm au 35inch kwa WANAWAKE, na UWIANO wa KIUNO na HIPS ( Waist - Hip Ratio ).Ikiwa 0.9 kwa WANAUME na 0.85 kwa WANAWAKE.

BMI ya 30 au zaidi inaashiria "obese " UZITO kuzidi kiasi.

Kuwa na MZINGO uliozidi kawaida ni KIASHIRIA HATARI cha MATATIZO ya KIMETABOLIKI,kuliko hata cha BMI.

KIPIMO kingine cha KITAMBI ambacho kimeonyesha UWEZO zaidi kuliko BMI katika KUTABIRI uwezekano MKUBWA wa MAGONJWA ya MOYO ni Index Of Central Obesity ( Waist - To - Height Ratio - WHtR ) ambapo UWIANO ukiwa SAWA na 0.5 au zaidi, hii ikimaanisha MZINGO wa KIUNO angalau ni NUSU ya KIMO cha MTU.

KIPIMO kingine ni Body Volume Index,kinachopima KITAMBI kwa kupima UMBO la MTU na mgawanyo wa UZITO wake.

MADHARA YANAYOTOKANA NA KITAMBI.

Kuwa na KITAMBI kunaweza kukusababishia BAADHI ya MAGONJWA yafuatayo :-

1.Mgandamano wa TAKA na SUMU tumboni au corprostasis.
2.Kukosa CHOO au constipation.
3.KIHARUSI au stroke.
4.UZITO uliozidi au Obesity.
5.Matatizo ya MOYO ( cardiovascular diseases)
6.SHINIKIZO la JUU la DAMU au High blood pleasure.
7.KISUKARI au Diabetes.
8.SARATANI au cancer.
9.Kukak**aa kwa MISHIPA au arteriosclerosis n.k

MAGONJWA yapo MENGI haya ni BAADHI tu ya MAGONJWA yanayoweza kumshambulia MTU mwenye KITAMBI.

K**A TAYARI UNA KITAMBI JE,UFANYEJE KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HII ?

Kupitia UTENDAJI MZURI wa BIDHAA zetu naweza KABISA kukuondolea CHANGAMOTO HII.

Unahitaji kufata HATUA NNE MUHIMU za UTARATIBU wetu ambazo ni RAHISI sana KUFIKIA kuwa na MWILI wenye AFYA njema.

UTARATIBU huu unakupa MAJIBU ndani ya MWEZI MMOJA.
Ni UTARATIBU ambao ni SALAMA na HAKIKA.

HATUA hizo NNE TUNAZOTUMIA ni:-
1.Kuondoa SUMU MWILINI.
2.Kuchoma MAFUTA na kung'arisha MWILI.
3.Kusawazisha na kusafisha.
4.Kurejesha - Rejuvenate.

Kwa MAELEKEZO zaidi Piga au Whatsap katika namba hii :-
+255 683 372 667

KITAMBI! KITAMBI!KITAMBI!KITAMBI NI NINI? KITAMBI ( Kilibatumbo ) ni TUMBO KUBWA ambalo linachomoza kwa mbele na wakati ...
02/01/2023

KITAMBI! KITAMBI!KITAMBI!
KITAMBI NI NINI?

KITAMBI ( Kilibatumbo ) ni TUMBO KUBWA ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo kawaida.
Ni UGONJWA k**a MAGONJWA mengineyo na huweza kuwakumba WATOTO,VIJANA,WATU WAZIMA na hata WAZEE wa JINSIA zote.

Baadhi ya WATU,hukichukulia KITAMBI k**a ISHARA ya UFANISI au MAFANIKIO ya MAISHA kwa MUHUSIKA.
Ni IMANI ambayo kwa namna moja ama nyingine INACHEKESHA kwakuwa KITAMBI ni UGONJWA k**a MAGONJWA mengine.

MWILI wa BINADAMU una SELI bilioni 50 - 200 za MAFUTA zilizogawanyika kwenye MWILI wa BINADAMU.

Kwa WANAWAKE zipo sana katika MAENEO ya MATITI,NYONGA,KIUNONI na kwenye MAKALIO.
Kwa WANAUME zipo sana kwenye KIFUA,TUMBONI na kwenye MAKALIO.

MAFUTA ya TUMBO yanayofanya KITAMBI hukusanywa kwa NJIA kuu MBILI.

1.MAFUTA kutoka kwenye TISHU zilizo CHINI ya NGOZI.
2.MAFUTA kutoka kwenye OGANI za NDANI k**a MOYO, KONGOSHO n.k

SABABU ZA KUPATA KITAMBI.

SABABU KUBWA ya KITAMBI ni kukosekana ULINGANO wa NGUVU ( Kalori ),MTU kula VYAKULA vinavyotia NGUVU sana kuliko jinsi anavyoweza KUTUMIA na KUTOA k**a TAKA MWILI.

VYAKULA vinavyochangia UONGEZEKAJI wa KITAMBI ni PAMOJA na NYAMA ( iwe ya kuchemsha,kukaanga au kuchoma ).MAFUTA ya kupikia ( hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama k**a siagi na jibini ).VIAZI vya kukaanga ( chips ),PIZZA, vyakula vyenye WANGA mwingi k**a UGALI wa mahindi, mihogo,wali, mikate myeupe, VIAZI vya mviringo pamoja na NDIZI.

SABABU nyingine ni kuwa na CHEMBE za URITHI za UNENE kutoka kwa WAZAZI,Pia kuna SABABU za KIMAZINGIRA .Ila pia kuna SABABU nyingine ZISIZOJULIKANA.

JINSI YA KUJUA K**A UNA KITAMBI.

KITAMBI kinaweza kuonekana kwa URAHISI kwa MACHO.
Ila KUJUA ni kwa KIWANGO gani KITAMBI chako kipo inabidi kufanya VIPIMO vya KIUNO ( waist ) na NYONGA ( hips ) .

MZINGO wa KIUNO ukiwa 102cm au 40inch kwa WANAUME na 88cm au 35inch kwa WANAWAKE, na UWIANO wa KIUNO na HIPS ( Waist - Hip Ratio ).Ikiwa 0.9 kwa WANAUME na 0.85 kwa WANAWAKE.

BMI ya 30 au zaidi inaashiria "obese " UZITO kuzidi kiasi.

Kuwa na MZINGO uliozidi kawaida ni KIASHIRIA HATARI cha MATATIZO ya KIMETABOLIKI,kuliko hata cha BMI.

.na.mimi@afya.na.mimi

He kitambi kwako Ni changamoto?0683372667
31/12/2022

He kitambi kwako Ni changamoto?
0683372667

06/11/2022
"Nataka nipunguze kitambi tuuuuu!! Nibaki na shepu tangu"💪💪💪suluhisho ni FOREVER GARCINIA PLUSBidhaa  ya asili inayotaka...
06/11/2022

"Nataka nipunguze kitambi tuuuuu!! Nibaki na shepu tangu"💪💪💪suluhisho ni FOREVER GARCINIA PLUS
Bidhaa ya asili inayotakana na tuna la mti uitwao Garcinia Cambogia uliopo kusini mashariki mwa bara la asia.
✔ Ina hydroxycitric acid(HCA), ambayo husaidia kumeng’enya wanga kwenda kwenye nguvu.

✔ Pia ina chromium picolinate ambayo husaidia kumeng’enya sukari kwenda kweye sukari nyepesi inayotumiwa na mwili hivyo husaidia kuwa na kiwango sawia cha sukari kwenye damu na kiwango kinachotakiwa cha blood pressure.

✔ Vilevile ina medium Chain Triglycerines na mafuta ya alizeti yanayo linda moyo na mishipa ya damu na kusaidia metabolism hivyo mwili unaunguza mafuta kwenda kwenye nguvu na kufaa kutumika hasa kwa wanamichezo kuondoa mafuta yasiyohitajika mwilini.

✔ Husaidia ini kuratibu calri kwa ufanisi zaidi na kupunguza hamu ya kula kupita kiasi na hivyo husaida pia .

*Tofauti na dawa nyingine za kupunguza uzito dawa hii haiathiri mfumo wa fahamu wala utendaji kazi wa ubongo(not a stimulant).*

Faida:
1. Kupunguza mafuta mwilini na cholesterol
2.inadhiibiti hamu ya kula OVYO OVYO na kuzuia ubadilshwaji wa sukari kuwa mafuta
3. kurekebisha kiasi cha sukari kwenye damu.
4. inafyonza mafuta na kubadilsha kwenda KWENYE nguvu YAAANI ENERGY
4. Husaidia kuondoa na minyama uzembe na uzito
Ifaham Forever Garcinia plus na faida zake kwa wale wanahitaji kupunguza uzito:

*Ni bidhaa ya asili kabisa iliyotengenezwa kwa ingredients asilia ili kumsaidia mtumiaji kuweza kupunguza uzito kwa urahisi bila kujinyima chakula Wala kufanya mazoezi.

* Nirahisi kunyweka na ipo Kwenye mfumo wa vidonge na zimehifadhiwa Kwenye kikopo kidogo kinachoweza kubebeka kwa urahisi. Na hunywewa mara tatu kwa siku kwa kumeza kidonge
Kimojakimoja.

* Ni njia nyepesi zaidi ya kupunguza uzito.
Kwa upatikanaji wake tupigie Leo/ Whatsapp
text/call/whattsapp 0678930206

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni yetu sote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram