Ijue Afya yako

Ijue Afya yako Afya yako ni kipaumbele chetu

Bidhaa hii ni Lishe maalum ya 'ISOMALTO-OLIGOSACCHARIDE'inasaidia kuondoa sumu mwilini zinazotokana na Maji,Chakula,Hewa...
05/10/2025

Bidhaa hii ni Lishe maalum ya 'ISOMALTO-OLIGOSACCHARIDE'
inasaidia kuondoa sumu mwilini zinazotokana na Maji,Chakula,Hewa pamoja na matumizi ya Madawa mwilini.
✅ Inasaidia kusafisha mfumo wa Chakula
✅Inaondoa sumu mwilini
✅Ni nzuri sana kwa wenye matatizo ya VIDONDAVYATUMBO,tumbo kujaa gesi na asidi
✅Husaidia kwa wale wasio pata choo
✅Huongeza Kinga ya Mwilini kwa Muda mfupi

NB.Haina kemikalii💯
........WATUMIAJI.......Kila mwenye matatizo na Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula
Yeyote anayehitaji kuboresha zaidi Afya ya ndani 'inner beauty'
Walio na Kinga ya mwili dhaifu na wale wanaosumbuliwa na matatizo ya Viungo
Wanaotumia Tiba za Vidonge kwa Muda mrefu,au wanaotibiwaa kwa kutumia mionzi na wale wasio na Kinga ya kutosha.
Wa.me/255766214822

Wahehe Kutoka Mkoa Wa Iringa Wasafi TV Waze SiAngie Twins Free Music SANY Group Diamond Platnumz Rayvanny Kenya Power Care Health+ Wizara ya Afya Tanzania Vi Marchant

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya ...
16/09/2025

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
Gastric_Ulcer-1200x720

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
duodenal-ulcer

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

gastrita

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri.

Wasiliana nasi wa.me/255766214822

Jipatiee bidhaa Bora kutatua changamoto Yako ya kiafyaaa
28/08/2025

Jipatiee bidhaa Bora kutatua changamoto Yako ya kiafyaaa

Jipatiee bidhaa hii Bora kabisa kutoka kwetu
24/08/2025

Jipatiee bidhaa hii Bora kabisa kutoka kwetu

12/08/2025

Tumia bidhaa Bora kutatua changamoto Yako ya Vidonda vya tumbo

KAMPUNI YA G CAT INATANGAZA NAFASI ZA KAZI YA MAUZO YASIO YA ANA  (sales indirect)KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM .MSHAHARA ...
09/08/2025

KAMPUNI YA G CAT INATANGAZA NAFASI ZA KAZI YA MAUZO YASIO YA ANA (sales indirect)KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM .MSHAHARA 350,000.VIGEZO MUOMBAJI AWE
1: AWE NA UWEZO WA KUFANYA KAZI BILA KUSIMAMIWA.
2: AWE NA UMRI MIAKA 19 MPAKA 50.
3: AWE MTANZANIA.
4: AWE ANAJUA KISWAHILI VIZURI.
KUPATA NAFASI HII TUMA NENO AJIRA KWENDA 0766214822 INTERVIEW ITAFANYIKA SIKU YA JUMATATU TAREHE 11/9/2025.SAA TATU KAMILI byASUBUHI .

24/07/2025

NAFASI ZA KAZI.

Taasisi ya GCAT International inatangaza nafasi za kazi
za sales and marketing (mauzo)
Kwa wakazi wa Dar es Salaam tu. Mshahara ni 350,000. VIGEZO
Awe na Umri miaka 20 mpaka 40
Ajue kiswahili vizuri
K**a ni muhitaji
Tuma neno AJIRA kwenda whats app 0766214822
Enterview tar 25 july 2025 siku ya ijumaa saa nne kamili asubuhi

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya ...
21/07/2025

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
Gastric_Ulcer-1200x720

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
duodenal-ulcer

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

gastrita

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri.

Wasiliana nasi kupitia 0766214822

VIDONDA VYA TUMBO:MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO.Kunaweza kusiwe na DALILI za moja kwa moja za UGONJWA wa VIDONDA vya TUMB...
21/07/2025

VIDONDA VYA TUMBO:

MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO.

Kunaweza kusiwe na DALILI za moja kwa moja za UGONJWA wa VIDONDA vya TUMBO lakini Mara nyingi ishara zifuatazo zimekuwa zikijitokeza ,hivyo ni vema kumuona MTAALAM wa masuala ya AFYA ikiwa ni pamoja na kufanyiwa VIPIMO ili kubaini TATIZO - Maumivu makali nyakati hujapata chakula - Kutapika Mara kwa Mara
- Uchovu wa mwili
- Kukosa hamu ya chakula
- Kupungua uzito
- Mwili kukosa nguvu - Tumbo kujaa gesi
- Kutapika damu
- Magonjwa ya Ngozi
- Chronic Constipation

MADHARA YAKE
- Kufanyika kwa upasuaji mkubwa wa tumbo ili kuondoa eneo lote lililoathirika - Kushindwa Tendo la ndoa kwa jinsia zote hususani kwa wanaume kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi . - Kulika kwa utumbo na hii hupelekea kuvuja damu kwa ndani - Kuharibu uti wa mgongo - Msongo wa mawazo .
- Kukosa au kupata choo kubwa ngumu na kidogo,kidogo mithiri ya mavi ya Mbuzi.
- Bila kuchukua hatua thabiti,Kifo hutokea
Kwa matibabu na ushauri wasiliana nasi wa.me/255766214822

Address

Tabata

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram