08/06/2020
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Na: Dr Fadhil F. Abdul
Edmark international
NGUVU ZA KIUME NI NINI?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa wakati muafaka; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe. Kwa ujumla vipengele vyote hivyo, ndivyo ukamilifu wa nguvu za kiume. Na ndiyo maana ya nguvu za kiume.
Kuna watu huwa hawajitambui k**a wana tatizo la kuishiwa nguvu za kiume, na hatimaye tatizo huwa kubwa zaidi. Katika groups zangu za WhatsApp, page za afya njema na ushauri kiafya na groups za Facebook, nimekuwa nikielezea sana masuala ya TIBA RISHE ( FOOD SUPPLEMENT) na baadhi VYAKULA VINAVYOTIBU NGUVU ZA KIUME, watu walikuwa wakipiga simu wakisema, “Mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila tu nawahi kufika kileleni!” Wengine wakisema, “Mimi niko sawasawa tu ila nakosa hamu ya tendo la ndoa,” na kadha wakadhaa. Ukweli wa mambo ni kwamba:
K**a unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
K**a uume hausimami barabara, una upungufu wa nguvu za kime.
K**a uume unasimama kwa muda mfupi na kulegea, una upungufu wa nguvu za kiume.
K**a uume wako hulegea muda mfupi tu baada ya kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
K**a unafika kileleni muda mfupi tu baada kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
K**a unashindwa kufika kileleni una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
K**a unasikia maumivu wakati uume unaposimama, una tatizo la kuishiwa nguvu.
za kiume.
K**a unashindwa kutoa mbegu (shahawa), una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
Iwapo moja ya matatizo hayo yatakutokea, fahamu ya kwamba, una UPUNGUFU wa nguvu za kiume, na hivyo sasa ni muda muafaka wa kutafuta matibabu sahihi bila kuchelewa. Unapoanza kujitibu mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, unakuwa umejitengenezea fursa pana ya kupona.
NI VIUNGO GANI MWILINI VINAHUSIKA KUFANYA KAZI ZA NGUVU ZA KIUME?
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu mbalimbali zaidi ya 100 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.
Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.
Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayo pubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k. Orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 100!
NINI MAANA YA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME?
Unapopungua nguvu za kiume, k**a nilivyosema hapo awali, ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana. Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:
1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au
3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Tukichukulia mfano wa kiwanda, ni kwamba ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.
Hivyo basi kikikosekana kimoja au kuwa na hitirafu ni wazi kwamba uzakishaji utapungua basi ndivyo ulivyo hata katika mwili wa mwanaume katika kuzalisha mbegu za kiume
LAKINI NINI KINACHOSABABISHA VIUNGO HIVYO VISHINDWE KUFANYA KAZI?
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni
kujichua/punyeto (ma********on);
kisukari;
presha ya kupanda; presha ya kushuka;
uvutaji wa sigara;
Unywaji wa pombe; madawa ya kuleva;
kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika;
matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
👉Sababu zingine za kupungua nguvu za kiume ni
kutokunywa maji ya kutosha,
tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia nguvu nyingi kusukuma choo;
kutofanya mazoezi;
ukosefu wa kumbukumbu;
uzito mkubwa/unene mkubwa;
kitambi;
kuvimba kwa tezidume (Benign Prostate Hyperplasia).
👉Sababu zingine ni
saratani ya tezi dume (Prostate cancer),
matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji,
ugonjwa unaoathiri vitendo na shughuli za mwili k**a vile mwondoko na balansi (multiple sclerosis),
ugonjwa ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko ikiwa ni pamoja na kutembea, kuongea na kuandika (parkinson’s disease),
vyakula vya mafuta,
vyakula vilivyowekewa homoni bandia za k**e n.k.
👉Sababu zingine ni
maumivu ya mgongo/kiuno;
baadhi ya side effects za madawa ya kemikali (madawa ya hospitali);
kiharusi (stroke);
upungufu katika utendaji wa kazi za gonadi (hypogonadism);
uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.
👉Sababu zingine ni
kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha;
ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s syndrome);
ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease);
kukak**aa kwa mishipa ya damu (atherosclerosis);
Kiukweli orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 200.
Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika (umeshatokeza) kwa nje, au huo ugonjwa bado uko ndani ya mwili unamla na kummaliza kimyakimya k**a yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitaalamu tunasema kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa. Yani unapopungua nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA TAHADHARI kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu au vitu havifanyi kazi vyema. Hivyo, unaambiwa kuchukua haraka TAHADHARI kabla ya HATARI!
JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
1:Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
2:Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
3:Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine
4: Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
5:Balansi usito wako
6:Usivute sigara
7:Punguza au acha kunywa pombe
8:Punguza mawazo
9:Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
10:Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
11:Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
12: Kunywa maji ya kutosha
TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda mrefu kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.
MATIBABU YA ASILI KWA KUTUMIA EDMARK PRODUCTS
Tuna dawa ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.
Dawa zetu hutibu kwa mda kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia ndani ya wiki moja huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendekea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.
K**a upo ndani ya Mwanza, Dar- es-Salaam au Zanzibar, tunakukaribisha kwenye ofisi zetu na utapata tiba, ushauri na maelezo ya kutosha kabisa.. Ila kwa ambaye atakuwa nje ya mikoa hiyo mitatu au yupo ila anahitaji huduma pia tunawasiliana na atapata huduma kwa asilimi 100 bila usumbufu wala shida yoyote
MAWASILIANO
FADHIL F. ABDUL
EDMARK INTERNATIONAL
CALL/ SMS/ WHATSAPP
0676121014 AU 0756291547
KARIBU TUKUHUDUMIE