Sheshui herbalist

Sheshui herbalist Tiba Asili Africa na Ushauri

21/09/2022

*k**a una Ndugu yako ambaye amekuwa mlevi chakali* ```🍻🍺anazidi kupoteza umaridadi wake kwa Sababu ya ulevi``` naomba nitegee sikio kidogo hapa

🚫Hilo ni Tatizo ambalo tumelipatia Tiba yenye uhakika wa Asilimia 100%

🚫🍺Dawa hii ni *one touch* yaani akigusa mara Moja ndio anauaga ulevi kabisa

🚫🍺 Anakunywa mara Moja tu kwanzia hapo Pombe kwake ndio basi Tena, atakushukuru Sana baada ya kumfanya atumie Dawa hiyo, kwakua ataanza kuona Raha ya Maisha na umaridadi na utanashati wake upyaa,

🚫🍻Dawa hii ni ya kimiminika inatokana na Miti Shamba mbali mbali

Kwa hakika imekuwa Kimbilio la wengi Baada ya kusimuliwa utendaji wake wa miujiza, yaani wengi wameshangazwa na utumikaji wake wa Mara moja na kuleta matokeo Baada tu ya utumiaji wake, ndio Maana wengi huiita *one touch*

🚫🍻 Karibu Sana Ofisini kwetu ili na wewe ujipatie Huduma hii kwa Haraka na Uaminifu wa hali ya juu

*🥏📲📍Tunapatikana Kariakoo Mtaa wa Jangwa Pamoja na Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni*
```🥏📲+255653190699```

*🍺🍾EPUKA MATAPELI FIKA MWENYEWE OFISINI*

```🇰🇪Dauda Herbs Kenya🇰🇪```🧄👎👎👎👎👎🧄*🍏MAGIC Flush powder🍏*```✓✓🥏📲Calls/WhatsApp```*🇹🇿+255653190699**🇰🇪+254758704941**Bei y...
24/05/2022

```🇰🇪Dauda Herbs Kenya🇰🇪```

🧄👎👎👎👎👎🧄

*🍏MAGIC Flush powder🍏*

```✓✓🥏📲Calls/WhatsApp```
*🇹🇿+255653190699*
*🇰🇪+254758704941*
*Bei ya Dawa hii ni* *30000 ya 🇹🇿*
*1500 ya 🇰🇪*

Dawa hii inaitwa Magic *Flush powder*

🍉🧄Inasafisha SUMU mwilini mwako

🍉🧄Inaondoa cholesterol *Lehemu* mwilini

🍉🧄Inaondoa tatizo la choo kigumu na inasaidia kwa wale wasiopata Choo kabisa

🍉🧄Ina punguza mwili kwa speed nzuri. kwa wiki unapungua kg 7

🍉🧄 Kwa mabonge wenye MANYA uzembe hii ndio Suluhisho yao ya KUPUNGUZA mwili KWA Speed nzuri

Bonyeza Link uje inbox moja KWA moja Wasap
https://wa.me/message/RF5OLY7PGWKXK1

🍏🧄🍉🍏🧄🍉🍏🧄🍏🍉🍏🧄🍉

Je uliwahi kujiuliza ni Kwanini  SUPU YA PWEZA INAYOUZWA MITAANI, BARABARANI HAIKUSAIDII KATIKA TENDO LA NDOA?+255653190...
14/05/2022

Je uliwahi kujiuliza ni Kwanini SUPU YA PWEZA INAYOUZWA MITAANI, BARABARANI HAIKUSAIDII KATIKA TENDO LA NDOA?

+255653190699
WhatsApp/call
LEO NATAKA NIKUPE SIRI HEBU NITEGEE👉👂 kwa makini Sana

🌴💉UKWELI NI KWAMBA SUPU YA PWEZA INAONGEZA UFANISI SANA KATIKA TENDO LA NDOA, na HILO NI JAMBO AMBALO LIMETHIBITISHWA KISAYANI NA WATAALAMU WOTE WA TIBA LISHE WANAKUBALIANA JUU YA HILO,

*LAKINI JE UNAJUA NI KWA NINI⁉️*

SABABU KUBWA NI KWAMBA SUPU YA PWEZA INA KIWANGO KIKUBWA SANA CHA MADINI YA ZINKI

NA MADINI HAYO KITÀALAMU YANAONGEZA SANA VICHOCHEO VYA HISIA ZA TENDO LA NDOA HIVYO HUMFANYA MWANAMUME KU PERFORM VYEMA KATIKA TENDO

*LAKINI SASA KWANINI HIZI ZA MITAANI, BARABARANI, HAZIKUSAIDII KITU⁉️*

JAWABU NI KWAMBA WALE WANATENGENEZA ILI WAPATE FAIDA NA WALA SIO KWA LENGO LA WEWE KUPATA FAIDA KIAFYA

HIVYO BASI WAO HUWELA MAJI MENGI SANA NA HATIMAYE KUPOTEZA ULE UHALISIA WAKE NA KUBAKIA TU RANGI YA MCHUZI HUO

JE UFANYE NINI ILI UFAIDIKE NA SUPU YA PWEZA KATIKA TENDO LA NDOA⁉️⁉️

Jawabu ni kwamba unatakiwa uandae mwenyewe home na usitumie maji mengi katika Supu hiyo Ili Supu yako ibakize ule uhalisia wake, na hapo utaiona Supu hiyo ikimelemeta Mafuta ikiwa jikoni na hapo ndio utapata Madini hayo ya Zinki

Nukta ya kuzingatia

Ili upate Faida Nzuri zaidi

Kunywa Supu hiyo masaa matatu mpaka manne Kabla ya Tendo

Hapo utakuwa umeupa mwili muda mzuri wa kupeleka Madini hayo Sehemu husika Ndani ya mwili wako

✍️Kwae faida zaidi Endelea kufatilia Somo lijalo.........

TIBA YA KUREFUSHA UUME NA KUONGEZA NGUVU ZA KIUMEBonyeza link uje WhatsApp upate Elimu zaidihttps://wa.me/message/RF5OLY...
12/03/2022

TIBA YA KUREFUSHA UUME NA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Bonyeza link uje WhatsApp upate Elimu zaidi

https://wa.me/message/RF5OLY7PGWKXK1

LEO NITATOA ELIMU YA NAMNA YA KUTENGENEZA TIBA YA KUREFUSHA MAUMBILE BILA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI KUEPUSHA MADHARA BDAE

SABABU ZA UUME MDGO AU KURUDI NDANI NI K**A IFUATAVYO

1) KUJICHUA AMA PUNYETO KWA MDA MREFU HUSABABISHA MISULI KULEGEA NA KUSABABISHA DAM ISITEMBEE VZUR KWENYE UUME NA KUFANYA UIMARA WAKE WA UKUAJI KUPUNGUA(KUSIZI)

2) KUOGA MAJI YA BARIDI SANA MARA KWA MARA NAYO NI SABABU KUBWA YA UUME KUWA MDGO SANA AMA KURUDI NDANI,,, HII HUTOKEA MARA KWA MARA KWA WANAOKAA MIKOA YA BARID SANA K**A ARUSHA, MBEYA, IRINGA NK NA KITU ANBACHO HUSABABISHA PIA NGIRI

3)KUTOKUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA NAYO NI SABABU YA MAUMBILE KURUDI NDANI, KISAYANSI INASEMEKANA KITU KISIPOTUMIKA KWA MDA MREFU HUPUNGUZA UWEZO WAKE WA KUFANYA ZAID NA IKIZIDI HUPOTEA ZAID (law of use and disuse)

4)PIA KUWA NA UUME MDGO SIO TATZO HATA KDGO WALA SIO UGONJWA ILA K**A UNAWEZA KUZIJUA STAILI ZA KUKUSAIDIA MWENZAKO (MPENZI) KUMFKISHA ANAPOTAKA NAKUSHAURI USIHANGAIKE NA KUREFUSHA MAUMBILE K**A PIA HAUFIKI KABSA ANAPOTAKA APO NDO APO

Ama mada yetu ya leo itahusu kuongeza urefu wa dhakari(uume) kwan ni moja ya tatizo lililopo kwenye jamii yetu.

Watu wengi wamekua wakihangaika kutafuta dawa ya kuongeza Uume bila mafanikio pia kuna watu ambao wamepata madhara maada ya kutumia dawa za kuongeza Uume na hii inatokana na matumizi ya dawa za kemikali

Pia kuna wengine wamekata tamaa na kudhani kua hakuna dawa ya kuongeza Uume ila ni udanganyifu tu. ukweli ni kwamba dawa zipo tatizo ni kuzijua tu

Ili kutengeneza dawa ya kukuza Uume fuata hatua zifuatazo

kwa wale wallo na dhakari(Uume) isiyofika inchi sita ( 6inch ) ipo tiba yake ya asili isiyo na madhara (side effect) kwa mtumiaji kwani ni ya asili kabisa na unaweza kujitengenezea mwenyewe kuliko ukae unasumbuka na kununua dawa usizozijua

DAWA ZA KUREFUSHA:

🎇🎇Asalaam Alykum ndugu zangu tumshukuru MOLAkwa kutupa uzima
Ama mada yetu ya leo itahusu kuongeza urefu wa dhakari(uume) kwan ni moja ya tatizo lililopo kwenye jamii yetu.
kwa wale wallo na dhakari isiyofika inchi sita ( 7inch ) ipo tiba yake ya asili isiyo na madhara (side effect) kwa mtumiaji kwani ni ya asili / kissuna
Watu wengi wamekua wakihangaika kutafuta dawa ya kuongeza Uume bila mafanikio pia kuna watu ambao wamepata madhara maada ya kuttumia dawa za kuongeza Uume na hii inatokana na matumizi ya dawa za kemikali
Pia kuna wengine wamekata tamaa na kudhani kua hakuna dawa ya kuongeza Uume ila ni udanganyifu tu. ukweli ni kwamba dawa zipo tatizo ni kuzijua tu
Ili kutengeneza dawa ya kukuza Uume fuata hatua zifuatazo

⛩Stage 1⛩
📲1. Unga wa Pilipili mtama Nyeupe (Filfil Abiadh) ya iINDIA vijiko viwili
📲2.Pilipili Baridi vijiko viwili.
📲3.Kibiriti upele kijiko viwili

⛩Stage 2 ⛩
🌿i) ml 100 ya mafuta ya N**i (Coconut )
🍃ii) ml 100 ya mafuta ya Kitunguu Saumu (Garlic)
🌿iii) ml 100 ya mafuta ya Ginger (Tangawizi)
🌿iv) ml 100 ya mafuta ya Pilipili Manga (Black pepper)
🌿v) ml 100 ya mafuta ya Karafuu (Clove)/Zanzibar Tea Masala
🍃vi) ml 100 ya mafuta ya Habat soda/Habat sawda (Black seed)
🌿vii) ml 100 ya mafuta ya Zaituni (Oliver )
🌿viii) Ml 150 Asali mbichi

🍀🍀Changanya vitu vyote vya stage 1 na stage 2 Hapo dawa au mchanganyo wako utakua umekamilika🍀🍀

🌳K**a unaitaji kutengeneza mwenyewe hivyo vitu vyote vinapatikana katika maduka ya MADAWA ASILI &KIARABU& SUNNA🌳

Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi...
26/02/2022

Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno.

Dalili Za PID
PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa:
Maumivu – yanayoweza kuwa madogo au makali – maeneo ya chini ya tumbo au nyonga Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku za hedhi Maumivu wakati wa kujamiiana Homa, wakati mwingine kusikia baridi Maumivu wakati wa haja ndogo, haja ndogo ya mara kwa mara au haja ndogo kutoka kwa shida.

Chanzo Cha PID
Kuna bakteria wa aina nyingi wanaoweza kusababisha PID, lakini maambukizi ya gonorrhea na chlamydia ndiyo yanayoonekana zaidi. Bakteria hao huambukiza wakati tendo la ndoa linapofanyika bila ya kutumia kinga.

Aghalabu, bakteria hawa huingia kwenye viungo ya uzazi vya mwanamke pale ulinzi wa kwenye shingo ya kizazi (cervix) unapovurugwa. Hii inaweza kutokea mathalani, wakati wa hedhi na baada ya kuzaa, mimba kuharibika au kutoa mimba. Mara chache bakteria huweza kujipenyeza wakati kifaa cho chote cha tiba kinapoingizwa kwenye nyumba ya uzazi.

Mazingira Hatarishi
Kuna vipengele ambavyo huweza kukuweka kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata PID, navyo ni:
Kuwa mwanamke uliye chini ya miaka 25 unayeshiriki ngono Kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja Kuwa na mahusiano na mpenzi mwenye wapenzi zaidi ya mmoja Kufanya mapenzi bila kinga Kujisafisha na maji mara kwa mara Kuwa uliwahi kupata PID kabla au magonjwa mengine ya ngono


Madhara Yatokanayo Na PID

PID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya uzazi ya mwanamke. Vitu hivi vinaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye viungo vya uzazi


Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na:
Mimba nje ya mirija (ectopic pregnancy). PID ndiyo sababu kubwa ya mimba kutunga nje ya kizazi. Mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya uzazi. Badala yake yai hunata ndani ya mirija ya uzazi . Mimba nje ya kizazi husababisha utokaji wa damu usio wa kawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke.
Ugumba. Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba – kushindwa kupata ujauzito. Kadiri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi, ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi. Kuchelewa kupata tiba ya PID kunaongeza hatari ya ugumba.
Maumivu sugu ya nyonga. PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu kwa miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai linadodondoshwa (ovulation).
Tubo-ovarian abscess. PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya njia ya uzazi. Mara nyingi majibu haya hutokea ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi. K**a tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizo hatarishi kwa maisha.

______________________💦💦💦💧💧            💦💦 *KIKOJOZI*       💦💦💧💧💧💧💧💧_________________Bonyeza link uje WhatsApp Inbox moja...
05/02/2022

______________________

💦💦💦💧💧 💦💦 *KIKOJOZI*
💦💦💧💧💧💧💧💧
_________________
Bonyeza link uje WhatsApp Inbox moja moja
https://wa.me/message/RF5OLY7PGWKXK1

+25563190699

JE UNA KIJANA/ WAKO MWENYE KUKOJOA KITANDANI AU MTU MZIMA⁉️⁉️⁉️>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

💧💦JE UMECHOKA KUNUNUA MAGODORO MARA KWA MARA KWA SABABU YA KIJANA WAKO AU WEWE MTU MZIMA KUKOJOA KITANDANI🛌🛌⁉️⁉️

*●●●●●●DAUDA HERBAL MEDICINE WAKISHIRIKIANA NA WABOBEZI WENGINE WA TIBA ASILI AFRICA, TUMEWALETEA TIBA KIBOKO NA KOMESHO LA VIKOJOZI*

*💦🛌TIBA HII IMEFANYIWA UTAFITI WA KUTOSHA NA INA PONYA WAGONJWA KWA ASILIMIA 95%*

*💦💦💦HUNA TENA SABABU YA KUNUNUA MAGORO KILA MARA DAWA TUNAUZA BEI SAFI TU 💦💦💦*

*BEI NI YA PUNGUZO NI ELF 45000* _tyuuuu badali_

📲+255653190699

*🌴💉KIBAMIA TENA BAASI 🌴💉**Tumekuchagulia kilicho bora Kwa Heshima ya Ndoa yako*Kwa wewe mwanaume wenye uume mdogo *(Kiba...
04/02/2022

*🌴💉KIBAMIA TENA BAASI 🌴💉*

*Tumekuchagulia kilicho bora Kwa Heshima ya Ndoa yako*

Kwa wewe mwanaume wenye uume mdogo *(Kibamia)* Kwa sasa ni muda stahiki kwako kuondosha Aibu na fedheha ya uume mdogo k**a wa Mtoto Mdogo, Huna tena haja ya kuficha maumbile yako kwa mkeo Kwa sababu ya udogo wake. Kwa nje Unaonekana ni mwanaume wa shoka lakini una kadhakari k**a ka mtoto mdogo mkeo akikohoa tu kanatoka Nje🙌🏽🙌🏽🙌🏽

*🔥💪Tumia KIBAMIA SOLUTION* ```KWA AJILI YA KUREFUSHA NA KUNENEPESHA UUME BILA MADHARA YEYOTE```

BONYEZA LINK UJE INBOX MOJA KWA MOJA KWA MAELEZO ZAIDI

https://wa.me/message/RF5OLY7PGWKXK1

*🌴💉Sheshui Herbalist🌴💉**Tumekuchagulia kilicho bora Kwa Heshima ya Ndoa yako*Kwa wewe mwanaume wenye uume mdogo *(Kibami...
25/12/2021

*🌴💉Sheshui Herbalist🌴💉*

*Tumekuchagulia kilicho bora Kwa Heshima ya Ndoa yako*

Kwa wewe mwanaume wenye uume mdogo *(Kibamia)* Kwa sasa ni muda stahiki kwako kuondosha Aibu na fedheha ya uume mdogo k**a wa Mtoto Mdogo, Huna tena haja ya kuficha maumbile yako kwa mkeo Kwa sababu ya udogo wake. Kwa nje Unaonekana ni mwanaume wa shoka lakini una kadhakari k**a ka mtoto mdogo mkeo akikohoa tu kanatoka Nje🙌🏽🙌🏽🙌🏽

*🔥💪Tumia KIBAMIA SOLUTION* ```KWA AJILI YA KUREFUSHA NA KUNENEPESHA UUME BILA MADHARA YEYOTE```

BONYEZA LINK UJE INBOX MOJA KWA MOJA KWA MAELEZO ZAIDI

https://wa.me/message/RF5OLY7PGWKXK1

Address

Tanga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255776609066

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sheshui herbalist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram