27/08/2023
____________________________
DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
⚫ *Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:*
1.🖇️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.
2.🖇️Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA *wenye rangi ya maziwa ama njano.*
3.🖇️Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
4.🖇️Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).
5.🖇️Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.
6.🖇️Hupatwa na kichefuchefu.
7.🖇️ Kutapika
8.🖇️Miwasho sehemu za
siri
9.🖇️Uchovu
10.🖇️Uke kuwa mlaini sana
11.🖇️Kizunguzungu
12.🖇️Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
13.🖇️Kuvurugika kwa Hedhi.
⚫️ Kwa maelezo zaidi, Ushauri wa kitabibu na Matibabu pia basi usisite kuwasiliana nasi
https://wa.me/message/PGIVY6D5OKDFG1
Uzazi Solution
From Rucho Herbal Clinic
Pongwe Tanga & Ilala Dsm Tanzania
+255 787 278 759
____________________________