11/07/2021
Idadi kubwa ya wanawake waliopo chini ya umri wa miaka 35 wanaathirika zaidi na maambukizi kwenye njia za uzazi,
Kutokana na kujihusisha zaidi na ngono,maradhi k**a gonorrhea, chlamydia na PID huambikizwa sana,
Bacteria wengine wanaweza kuambukizwa wakati
wa kujifungua au kwenye kitendo cha utoaji
mimba na kisha wakajificha kwenye njia ya uzazi.
Baadhi ya njia ambazo mwanamke anaweza
kuzitumia kujikinga na magonjwa hatarishi ni;
1.Fanya ngono salama kwa kutumia kinga na
kuishi na mpenzi mmoja mwaminifu,
2,Hakikisha unafanya vipimo kwa magonjwa ya
zinaa na kuyatibu haraka iwezekanavyo.
3.Jikinge na maradhi ya bacteria na maambukizi
mengine.
4.Hakikisha unaimarisha kinga yako ya mwili :
unapokuwa na kinga imara basi unajikinga dhidi
ya kushambuliwa na magonjwa ya zinaa.
Endapo utagundua kwamba unapata dalili za
magonjwa ya zinaa k**a vile;
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu, maumivu
wakati wa kujamiiana, maumivu wakati wa
kukojoa, mamumivu makali wakati wa hedhi na
mengine.
Kwa ushauri zaidi WhatsApp 0762 660 552