27/04/2021
_______________________
*🔑MADA NO 3*
*👉VIDONDA VYA TUMBO
_________________________
Tiba ushauri na utafiti (Dawa asili )
_______________
Tanzania -Dar -es-salaam
Dr Msangi
[+255 778 351 439]
[+255 710 672 417]
_______________
➖Call➖sms&txt➖Whatsapp
➖telegram ➖imo
_______________
WhatsApp link⬇️Bofya
wa.me/255778351439
👇👇👇👇👇
_______________
https:/4/chat.whatsapp.com/D6c4UpRpZu0ARWUMsq3pjC
_______________
⏩UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO
ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ
🎤➖Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.
➖Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa.
🔪Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a
01=> Kansa,
02=> Amoeba (amiba),
03=> Homa,
04=> Kupungua uzito.nk
ৡ﹏﹏﹏﹏﹏ ﹏﹏﹏﹏ৡ
🔨➖AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~
➖Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)
👉01.➖Vidonda vya Utumbo Mkubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
~ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~
👉02.➖ Vidonda vya autumn mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
🔨 ➖DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
~ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~
➖Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na wanaendelea kukuza tatizo. Vidonda vya tumbo vinadalili k**a;
~ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~
01.➖Gastrita.
Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri
ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~
02=> Kuuma mgongo au kiuno,
03=> Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia(nguvu za kiume / k**e).
04=> Kjzunguzungu,
05=> Kukosa usingizi au usingizi wa mara kwa mara.
06=> Maumivu makali sehemu ya mwili, 07=> Kkfua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
08=> Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma k**a sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali au tumbo na mgongo kuwaka moto.
09=> Kichefuchefu,
10=> kiungulia,
11=>Tumbo kujaa gesi,
12=> Tumbo kuwaka moto,
13=> Maumivu makali sehemu kilipo kidonda,
14=> kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi.
15=> Kutapika nyongo,
16=>kutapika damu au kuharisha,
17=>Sehemu za mwili kupata ganzi
18=> Kukosa hamu ya kula,
19=> kula kupita kiasi,
20=> Kusahau sahau na hasira.
ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ
🔨➖CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
~ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ ➖Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ila vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;
~ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~
➖Bacteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio.
ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ
Kwa Maradhi Haya na Mengineyo.
Wasiliana nami kwa namba:
👇👇👇👇👇
___________________
Tiba ushauri na utafiti (Dawa asili )
_______________
Tanzania -Dar -es-salaam
Dr Msangi
[+255 778 351 439]
[+255 710 672 417]
_______________
➖Call➖sms&txt➖Whatsapp
➖telegram ➖imo
_______________
WhatsApp link⬇️Bofya
wa.me/255778351439
_______________
BOFYA LINK CHINI KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP👇🏾
_______________
https:/4/chat.whatsapp.com/D6c4UpRpZu0ARWUMsq3pjC
~ৡ﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏﹏ৡ~