BM Health System - Korogwe Branch

BM Health System - Korogwe Branch BM health system is a leading urgent health care provider with medical clinics and onsite pharmacy l

RCH
09/11/2021

RCH

Your feedback its important because it help us improve the patient experience and maximize customers satisfaction. We kn...
09/11/2021

Your feedback its important because it help us improve the patient experience and maximize customers satisfaction. We know many people has many choices when it comes to health care. We strive to make sure your outcome exceed your expectations, providing & coordinating all necessary follow-up care to ensure an appropriate needs in a time fashion.

At BM Health System you are more than a patient; your a customer with a choice. As your medical provider, we will work h...
09/11/2021

At BM Health System you are more than a patient; your a customer with a choice. As your medical provider, we will work hard to make sure your visit runs smoothly and effectively..

Hodi hodi Dar_es_salaam...Je unamgonjwa ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya muda mrefu k**a Saratani, Utindio wa ubongo, ...
21/04/2021

Hodi hodi Dar_es_salaam...

Je unamgonjwa ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya muda mrefu k**a Saratani, Utindio wa ubongo, Kisukari, Magonjwa ya wazee (kupoteza kumbukumbu, viungo kutetemeka n.k)???!!!

BM Paramedical team inakuletea huduma ya nyumba kwa nyumba; yaani tutakufikia popote ulipo ndani jiji letu na mgonjwa wako atahudumiwa k**a ambavyo angehudumiwa katika kituo chakutolea huduma za kiafya..

Huduma hii itaanza May 1" 2021..

Wasiliana nasi kwamsaada zaid.
Contact us for any assistance

bmagembe123@gmail.com
bmhealth_system@yahoo.com
+255 620 257 479
+255 712 312 330

" "

22/10/2017

Good Diagnosis, perfect treatment.. # Get ready@korogwe Town.!!

16/10/2017

TANGAZO LA KAZI.

- Tunahitaji wataalamu wa Afya katika kada zifuatazo:-
1. Clinical Assistant
2. Clinical Officers
3. Martenal aides

- Hii in awamu ya pili yakupokea maombi yakazi katika kituo chetu cha Korogwe, mwisho wa kupokea maombi ni October 30' 2017. Kwawale waliotuma barua katika awamu yakwanza nivyema wasitume sababu nakala zao tunazo.

- Usaili utafanyika kati ya wiki ya kwanza au yapili yamwezi November.

Barua zote zitumwe kwa anwani ifuatayo:-
Doctor Incharge
BM HEALTH SYSTEM
P. O Box 426
Korogwe; Tanga Region

Kwa wale waishio mbali, nivizuri kutuma maombi kwanjia ya EMS

Karibu BM HEALTH SYSTEM.!!

At BM Health System you are more than a patient; your a customer with a choice. As your medical provider, we will work h...
24/07/2017

At BM Health System you are more than a patient; your a customer with a choice. As your medical provider, we will work hard to make sure your visit runs smoothly and effectively. Your feedback its important because it help us improve the patient experience and maximize customers satisfaction. We know many people has many choices when it comes to health care. We strive to make sure your outcome exceed your expectations, providing & coordinating all necessary follow-up care to ensure an appropriate needs in a time fashion.

OPENING SOON.!!!

Opening soon
24/07/2017

Opening soon

03/07/2017
03/07/2017
21/06/2017

Chukua hatua sasa na uepukane namatatizo yakifua yanayosababishwa na uvutaji wa sigara k**a vile..
Hujachelewa, kwamsaada zaidi wakiafya tembelea kituo cha Afya kilicho karibu nawe au tembelea ukurasa wetu kwaajiri ya elimu zaidi..

11/06/2017

Stop Abortion & make her/him to live like you..

30/05/2017

RAMADHAN KAREEM

Zijue alama zitumikazo Hospitalin pamoja na maana zake
06/05/2017

Zijue alama zitumikazo Hospitalin pamoja na maana zake

Address

Tanga

Telephone

0712312330

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BM Health System - Korogwe Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share