Acid Solution

Acid Solution Naitwa Dr.Rucho Kutoka Rucho Herbal Clinic, Ninawasaidia wahanga wa Magonjwa mbalimbali hasa hasa tatizo la Acid tumbo/kiungulia tumboni (Acid Reflux.

Kwakutoa Elimu, Ushauri n.k karibu sana.

___________________DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)⚫ Zipo dalili nyingi ambazo ...
16/06/2023

___________________

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)

⚫ Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🖇️Kichefuchefu na kutapika.

_______________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

Kupata Elimu, Na Ushauri, Unaweza Wasiliana Namie moja Kwa Moja WhatsApp kupitia link hii hapa chini

https://wa.me/message/PGIVY6D5OKDFG1

____________________________ACID REFLUX HUWEZ KUSABABISHA SARATANI YA KOO LA CHAKULA ISIPODHIBITIWA MAPEMA⚫ Acid reflux,...
16/06/2023

____________________________

ACID REFLUX HUWEZ KUSABABISHA SARATANI YA KOO LA CHAKULA ISIPODHIBITIWA MAPEMA

⚫ Acid reflux, ambayo ni hali ya kupanda kwa asidi ya tumbo kwenye njia ya chakula, inaweza kusababisha uharibifu wa koo la chakula kwa muda mrefu.

● Hii ni kwa sababu asidi ya tumbo inaweza kusababisha uharibifu wa seli za koo la chakula na kusababisha uvimbe wa tishu za ndani za koo la chakula.

● Kwa muda mrefu, hii inaweza kuongeza hatari ya saratani ya koo la chakula.

● Asidi ya tumbo pia inaweza kusababisha utando wa koo la chakula kuwa nyepesi na kuathiri uwezo wake wa kulinda dhidi ya magonjwa na uharibifu.

____________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

____________________________D. HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER)Hatua hii ina...
16/06/2023

____________________________

D. HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER)

Hatua hii inawakilisha matatzo makubwa zaidi kwa GERD ya muda mrefu na inakadiriwa ya kwamba,asilimia 10% ya wagonjwa wa GERD hufikia hatua hii ikiwa GERD haijadhibitiwa kwa muda mrefu. Hatua hii mgonjwa anaweza kupata Kansa ya koo nk.

*DALILI ZA GERD HATUA YA NNE*

1.🖇️ Kiungulia kikali
2.🖇️ Kucheua vyakula na vinywaji
3.🖇️ Sauti kukwaruza
4.🖇️ Kikohozi kikali
5.🖇️ Chakula kukwama kooni/kunasa koona wakati wa kula.
6.🖇️ Pamoja na dalili zote zilizopo katika hatua ya 3 ya GERD.

⚫Katika hatua hii mgonjwa anaweza kupata changamoto k**a vile *esophageal strictures*,*Barrett’s esophagus* na hata KANSA YA KOO *(esophageal cancers)*

____________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

16/06/2023

____________________________

C. HATUA YA TATU YA GERD (SEVERE GERD)

Katika hatua hii,asilimia 15% ya wagonjwa waliopo katika hatua hii hupata dalili za GERD kali mara nyingi zaid kwa wiki au kila siku.

*DALILI ZA GERD HATUA YA TATU (SEVERE GERD)*

1.🖇️ Kiungulia kikali
2.🖇️ Kucheua sana chakula na vinywaji na wakati mwingine kucheua Acid (uchachu)
3.🖇️ Kuvimba kwa koo(sore throat)
4.🖇️ Kikohozi kisichoisha
5.🖇️ Sauti ya kukwaruza
6.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda kasi
7.🖇️ Wasiwasi uliopita kiasi bila sababu
8.🖇️ Kuota ndoto za kutisha
9.🖇️ Kichwa Kuvurugika na kuhisi kuchanganyikiwa
10.🖇️ Kizunguzungu
11.🖇️ Maumivu ya kichwa
12.🖇️ Macho kupungua nguvu ya kuona
13.🖇️ Maumivu makali ya mgongo
14.🖇️ Mwili kudhoofika
15.🖇️ Kuhisi dunia imekutenga
16.🖇️ Kujisaidia choo kigumu zaidi.

⚫ Katika hatua hii,GERD isipochukuliwa hatua basi kuna hatari ya mtu kupata matatzo makubwa zaid ya kiafya k**a vile *KANSA YA KOO (EUSOPHAGEAL CANCER).*

____________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

16/06/2023

____________________________

B. HATUA YA PILI YA GERD (MODERATE GERD)

Katika hatua hii,watu wenye GERD hupatwa na dalili za GERD mara kadhaa ndani ya wiki na dalili zake hutokea mara kwa mara ukilinganisha na Hatua ya kwanza na dalili huanza kuwa kali kiasi.

*DALILI ZA GERD HATUA YA PILI (MODERATE GERD)*

1.🖇️ Kiungulia kikali kiasi
2.🖇️ Maumivu ya kifua
3.🖇️ Kuhisi uteute wenye kunata kooni
4.🖇️ Kucheua chakula au vinywaji
5.🖇️ Moyo kupaparika(Heart palpation)

⚫ Katika hatua hii,mtu anahitajia matibabu ya dawa pia kumshirikisha daktar kwaajili ya ushauri wa kimatibabu na dawa.

____________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

____________________________A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD).● Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika h...
16/06/2023

____________________________

A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD).

● Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana.

*DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD GERD)*

1.🖇️ Kiungulia
2.🖇️ Maumivu ya kifua
3.🖇️ Kuhisi k**a kuna vitu vya kunata katika kooni
4.🖇️ Kucheua chakula au vinywaji

⚫ Katika Hatua hii,mtu anaweza kujitibia kwa kubadili mfumo wake wa maisha kwa kuepuka vyakula na mifumo isiyofaa kutokana na hali yake mfano ajiepushe na Caffeine, pombe,vyakula vyenye mafuta mengi nk. Lakini pia ni rahisi mgonjwa kupona akitumia dawa katika hatua hii ya awali.

____________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

____________________________MADHARA YA KUKAA NA ACID REFLUX BILA KUFANYA MATIBABU⚫ *Acid reflux ni hali ambayo tindikali...
16/06/2023

____________________________

MADHARA YA KUKAA NA ACID REFLUX BILA KUFANYA MATIBABU

⚫ *Acid reflux ni hali ambayo tindikali ya tumbo inarudi nyuma hadi kwenye umio wa chakula na kusababisha maumivu au kuchoma kwenye kifua. Kukaa na acid reflux bila kufanya matibabu kunaweza kusababisha madhara mbalimbali kwa afya ya mtu. Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na:*

1.🖇️ *Ugonjwa wa GERD:* Acid reflux inaweza kusababisha ugonjwa wa GERD (Gastroesophageal Reflux Disease) ambao husababisha dalili k**a vile kichefuchefu, kutapika, na maumivu ya tumbo.

2.🖇️ *Kuharibika kwa meno:* Acid reflux inaweza kuathiri afya ya meno kwa sababu tindikali inayorudi nyuma inaweza kusababisha kuoza kwa meno.

3.🖇️ *Kupungua kwa uzito:* Kukaa na acid reflux bila matibabu kunaweza kusababisha kupungua kwa uzito kwa sababu ya maumivu ya tumbo na kutapika.

4.🖇️ *Kupungua kwa uwezo wa kulala:* Acid reflux inaweza kusababisha matatizo ya kulala kwa sababu ya maumivu na kutokwa na tindikali usiku.

5.🖇️ *Kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi:* Acid reflux inaweza kuathiri uwezo wa mtu kufanya kazi kwa sababu ya maumivu na kutokwa na tindikali.

6.🖇️ *Kansa ya koo.*

⚫ *Ni muhimu kwenda kupata matibabu sahihi mara tu acid reflux inapogundulika ili kupunguza madhara haya na kuimarisha afya ya mtu.*

____________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

16/06/2023

___________________

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)

⚫ Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🖇️Kichefuchefu na kutapika.

_______________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

16/06/2023

____________________

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI

1.🖇️ Uvutaji wa sigara
2.🖇️ Unywaji wa pombe
3.🖇️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🖇️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🖇️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🖇 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🖇️ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.🖇️ Kuwa Mjamzito
9.🖇️ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🖇️ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

_________________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal
+255 787 278 759

______________________TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)Gastroesophageal reflux disease (GE...
16/06/2023

______________________

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

Gastroesophageal reflux disease (GERD);

⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

_______________________
Dr.Rucho
Rucho Herbal Clinic
+255 787 278 759

16/06/2023
16/06/2023
16/06/2023
16/06/2023
Je, Unajua Acid Reflux Husababishwa na nizipi Dalili zake.?Ok, Endelea Kuwa namie hapa hapa utajua mengi zaidi in shaa A...
16/06/2023

Je, Unajua Acid Reflux Husababishwa na nizipi Dalili zake.?

Ok, Endelea Kuwa namie hapa hapa utajua mengi zaidi in shaa Allaah

Naitwa Dr.Rucho Kutoka Rucho Herbal Clinic, Ninawasaidia wahanga wa Magonjwa mbalimbali hasa hasa tat

Naitwa Dr.Rucho Kutoka Rucho Herbal Clinic.Tunawasaidia Wahanga Wa Tatizo la Kuzidi Acid/ Kiungulia Tumboni (Acid Reflux...
16/06/2023

Naitwa Dr.Rucho Kutoka Rucho Herbal Clinic.
Tunawasaidia Wahanga Wa Tatizo la Kuzidi Acid/ Kiungulia Tumboni (Acid Reflux, Kwa Kutoa Elimu, Ushauri n.k.
Karibu sana Ujifunze Mengi juu ya Tatizo Hili ambalo husumbua watu wengi bila wao kujua.

Naitwa Dr.Rucho Kutoka Rucho Herbal Clinic, Ninawasaidia wahanga wa Magonjwa mbalimbali hasa hasa tat

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Acid Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Acid Solution:

Share