
03/09/2023
___________________
*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)*
β« Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:
1.ποΈ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.ποΈ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.ποΈ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.ποΈ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.ποΈ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.ποΈ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.ποΈ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.ποΈ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.ποΈ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.ποΈ Kupata kikokozi kisichoisha
11.ποΈ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.ποΈ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.ποΈ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.ποΈ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.ποΈ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.ποΈ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.ποΈ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.ποΈ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.ποΈ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.ποΈ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.ποΈ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.ποΈKichefuchefu na kutapika.
β« Ili kupata Elimu zaidi Juu ya Afya yako, Ushauri na Matibabu pia basi usisite kuwasilian nasi.
https://wa.me/message/PGIVY6D5OKDFG1
GERD SOLUTION
From: Rucho Herbal Clinic
Pongwe Tanga & Ilala Dsm Tanzania.
+255 787 278 759
_______________________