
30/08/2024
LUFYAMBA AU MLAZALAZA HUONDOA TATIZO LA UZAZI
MTI WA LUFYAMBO/MSIKESIKE/USHANGA WA BIBI/MLAZALAZA/MACHO YA KUNGURU.
11.KUZUIA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KURUDIA TENDO LA NDOA.
Chimba mzizi wa mti huo kisha tumia kutafuna mzizi huo na kumeza maji yake,fanya hivyo nusu saa au saamoja kabla ya kuliendea tendo la ndoa.Inshaallah kwa uwezo wa Allah utachelewa kufika kileleni na utakuwa na uwezo wa kurudia tendo hilo mara kadhaa.
12.KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
Chukua majani yake ,kisha yatwange uanike kisha utwange tena upate unga wake,unga huo utautumia kuchanganya katika maziwa fresh kiasi cha kijiko komoja cha chakula unaweka katika grasi moja ya maziwa,tumia grass moja asubuhi na jioni kwa muda wa siku 14 mpaka 21 inshaallah tatizo litakwisha kabisa.
13.KUMFUNGUA MWANAMKE ALIYEPITILIZA MIEZI YA KUJIFUNGUA.
Chukua madafu saba yapasue upate maji yake kisha tengeneza na juisi itokanayo na majani ya mti huo kiasi cha lita moja,alafu changanya na asali kiasi cha robo lita .Tumia mchanganyiko huo wa dawa yako kunywa grasi moja asubuhi na jioni mpaka itakapokwisha, inshaallah mama mjamzito atajifungua inshaallah.
14.KUFUNGUA MIRIJA YA UZAZI KWA MWANAMKE ASIYEPATA UJAUZITO.
Chukua mizizi ya mti huo kisha changanya na mizizi ya mti wa mpera kisha chemsha pamoja .Kisha mama atumie kwa kunywa maji hayo kiasi cha grasi moja asubuhi na jioni kwa muda wa siku 14 inshaallah atakuwa safi kabisa kwa uwezo wa Allah.
15.KUZUIA KUFIKA KILELENI MAPEMA KWA MWANAMME
Chukua mbegu moja ya lufyambo kisha iweke mdomoni wakati unafanya tendo la ndoa usiimeze wala usiiteme mpaka utakapomaliza tendo hilo inshaaallah utakawia sana katika tendo.