Odede's health line

Odede's health line Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Odede's health line, Tarime.

08/03/2022

[attach]6595153[/attach]Mtindi unaorodheshwa kuwa miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu.[br]Vikitajwa kwa uchache virutubisho hivyo, imethibitika kuwa mtindi ni chanzo kizuri cha ‘Calcium’, ‘Phosph...

05/02/2022

DONDOO ZA AFYA
1. Hakikisha unapata muda wa kufanya mazoezi kila siku
2. Kunywa maji ya kutosha kila siku angalau Lita 2.5 mpaka 3 kwa siku
3. Epuka matumizi ya dawa b I la maelekezo ya mtaalam wa afya
4. Hakikisha unapata mlo kamili kila siku
5. Pale unapohisi kuto kuwa sawa kiafya nend kwa ajili ya matibabu mapema
6. Kwa mama mjamzito hakikisha unahudhuria kliniki kwa wakati
NB: Fanya haya your kwa manufaa ya afya yako. Kumbuka afya no mtaji

02/12/2021
Karibu katika page hii ambayo ni mahususi kwa ajili ya kujufunza dondoo za afya. Na Leo tutagusia kwa uchache juu faida ...
18/09/2021

Karibu katika page hii ambayo ni mahususi kwa ajili ya kujufunza dondoo za afya. Na Leo tutagusia kwa uchache juu faida ya tunda tango.
Tango ni moja Kati ya matunda ambayo hapendwi Sana na watu, na hii ni kwa sababu hali sukari K**a matunda mengine. Kutokana na hali hii watu wengi wamekuwa wakipuuza utumiaji wa tunda hili pasipo kujua faida zake. Katika dondoo za afya Leo tutagusia faida chache ambazo hutokana na matumizi ya tunda tango.
Na faida hizo ni K**a zilivyo ainishwa hapo chini:
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kupunguza koresteroli
2. Tango ni chanzo kikubwa Cha vitamin B
3. Husaidia kutunza ngozi
4. Huongeza maji mwilini
5. Huondoa uchovu " hangover"
6. Husaidia kuimarisha mmeng'enyo wa chakula mwilini
7. Huzuia saratani
8. Husaidia kupunguza uzito
9. Huondoa maumivu na kuboresha viungo
10. Huondoa harufu mbaya kinywani
Kumbuka usipotumia chakula K**a dawa, utatumia dawa K**a chakula.

Karibuni kwa kipindi kingine wakati mwingine

Down in our hearts we know that we cannot deliver ourselves from lions of sin and death. But our God is able
17/09/2021

Down in our hearts we know that we cannot deliver ourselves from lions of sin and death. But our God is able

09/08/2021

Smile costs nothing but creates much

Address

Tarime

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Odede's health line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share