Figure management and weight loss guidance

Figure management and weight loss guidance Eat what you like Naitwa Tonny Emmanuel

Ni Mwana Falsafa, Saikolojia, Motisha.

Jifunze Kutoka kwa Watu Wenye Hekima na Wenye akili Zaidi Waliowahi Kuishi Duniani

Nakukaribisha kuwa mmoja kati ya status views wangu kwa njia ya WhatsApp bofya link hapa chini
👇👇
https://wa.link/v1xrey

keto gummies
13/03/2024

keto gummies

13/03/2024
Shopping together
13/03/2024

Shopping together

𝐊𝐞𝐥𝐥𝐲 𝐂𝐥𝐚𝐫𝐤𝐬𝐨𝐧: Beware of Other 𝐊𝐞𝐭𝐨 Scam Ads. I have never sold 𝐤𝐞𝐭𝐨 product on other websites. don't believe those fal...
13/03/2024

𝐊𝐞𝐥𝐥𝐲 𝐂𝐥𝐚𝐫𝐤𝐬𝐨𝐧: Beware of Other 𝐊𝐞𝐭𝐨 Scam Ads. I have never sold 𝐤𝐞𝐭𝐨 product on other websites. don't believe those false ads, and please share this video with your friends to prevent them from getting scammed.

Shark Tank Warns: Beware of Other Keto Scam Ads. Read the REAL stories of popular celebrities like Kelly Clarkson, Laine...
13/03/2024

Shark Tank Warns: Beware of Other Keto Scam Ads. Read the REAL stories of popular celebrities like Kelly Clarkson, Lainey Wilson, John Goodman who have changed their lives beyond recognition with the help of our only officially licensed Keto product.

Scientific weight loss
13/03/2024

Scientific weight loss

Kwa yule mwanadada  atakae barikiwaa na hili inbox me...📩
04/03/2024

Kwa yule mwanadada atakae barikiwaa na hili inbox me...📩

Just imagine Simba SC imeshinda 6 na hakuna aliyezimia 🤣
03/03/2024

Just imagine Simba SC imeshinda 6 na hakuna aliyezimia 🤣

..🌵.. PICHA YA MARAIS WETU.Katika picha hiyo kabakia rais Mmoja Jakaya Mrisho Kikwete.K**a Ulikuwa hujui Rais wetu Mstaa...
02/03/2024

..🌵.. PICHA YA MARAIS WETU.

Katika picha hiyo kabakia rais Mmoja Jakaya Mrisho Kikwete.

K**a Ulikuwa hujui Rais wetu Mstaafu Ally Hassan Mwinyi amefariki tarehe 29 Mwezi wa 2 hivyo Kumbukizi ya Kifo chake Itakuwa ikikumbukwa kila Baada ya Miaka 4 kwakuwa tarehe 29 Mwezi wa 2 utokea kila Baada ya Miaka 4.

PUMZIKENI KWA AMANI WAPENDWA WETU.

Mpenzi wako akibadilika na kuwa na tabia mbaya wewe usibadilike.Wewe withdraw attentiion achana nae kimya kimya.Ukiachan...
02/03/2024

Mpenzi wako akibadilika na kuwa na tabia mbaya wewe usibadilike.

Wewe withdraw attentiion achana nae kimya kimya.

Ukiachana nae akaenda date na mwanaume/mwanamke mwingine ili akukomoe wewe usitafute mwanamke au mwanaume mwingine kumkomoa.

Fanya kuji improve uwe bora zaidi ya ulivyokuwanae.

Ili kujifunza zaidi jinsi ya kutunza na kuimarisha Ndoa, Uchumba au Mahusiano yako na kupata ushauri wa kitaalamu na msaada wa kisaikolojia Nakukaribisha kuwa mmoja kati ya status views wangu kwa njia ya WhatsApp bofya link hapa chini
👇👇

https://wa.link/v1xrey

Follow Page

Like Page & Share

Bwana Ametoa, bwana ametwaa, Jina la bwana lihimidiwe..........
02/03/2024

Bwana Ametoa, bwana ametwaa, Jina la bwana lihimidiwe..........

02/03/2024

Katika mipango yako yote ya kila siku Ongeza na kifo usikisahau.

02/03/2024

Kwenye Relationship Kuna hii outbreak ya kunyamaziana na hamjakosana Sijui k**a imefika kwenu?😭 🤔

29/02/2024

Hakuna mtu anayependa umaskini au dhiki, kuna muda watu tunaamua kukubali kufanya kazi ngumu na hata za kuumiza au kufedhehesha sio kwamba tunapenda bali ni maisha yametuchagua huko, hatukupenda wenyewe.

Walitamani pengine kusoma au kuwa na ndugu au wazazi wenye uwezo ila haikutokea, umaskini na dhiki umewachagua, wakisema wajute wataishia kumkufuru Mungu wanaamua kuyakubali maisha yao na kumshukuru Mungu kwa uhai. Wanaishi maisha yao wanatafuta wanachomudu, sio magari wala majumba ya kifahari bali CHAKULA cha kujikimu wasife, chakula cha kawaida kabisa pengine dagaa kauzu, ugali na mboga za majani. Hawakupenda kwa hiari yao wenyewe bali maisha yamewachagua huko.

Hao ni wenzetu, majirani zetu na tunakutana nao kila siku kwenye harakati zao za kujikimu, k**a umejaaliwa kauwezo badala ya kuwasema vibaya na kuwakejeli basi kile cha ziada kidogo ulichojaliwa wasaidie watie moyo waongezee kamtaji utakuwa umetoa sadaka kubwa mno na Mungu atakubariki sana duniani na mbinguni

Shea ujumbe huu

Eat what you like

Wasanii wengine hawaonekan auIvi Peter Msechu na Mrisho mpoto  wanatumiwa sana kwenye shughuli za kitaifa?
28/02/2024

Wasanii wengine hawaonekan au

Ivi Peter Msechu na Mrisho mpoto wanatumiwa sana kwenye shughuli za kitaifa?

Address

Ushirika
Tukuyu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Figure management and weight loss guidance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Figure management and weight loss guidance:

Share