Kimbilia Kujenga - Kukinga na Kutibu Afya Yako.

Kimbilia Kujenga - Kukinga na Kutibu Afya Yako. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kimbilia Kujenga - Kukinga na Kutibu Afya Yako., Health & Wellness Website, Unguja.

karibu katika page yetu inayohusiana na afya kiujumla , hususwanin katika kulinda, kujenga na kutibu afya zetu kupitia mifumo mbali mbali ya kisasa inayojumuisha mafunzo, ushauri na tiba mbali mbali.

18/10/2020
Naitwa LATIFA KHATIBU, ni muuguzi (nurse) kitaaluma.Nina habari njema siku ya leo 😊 Kwa watu wa kisukari, pressure, pamo...
18/06/2020

Naitwa LATIFA KHATIBU, ni muuguzi (nurse) kitaaluma.

Nina habari njema siku ya leo 😊 Kwa watu wa kisukari, pressure, pamoja na kupooza (stroke).



K**a wewe ni muhanga wa matatizo ayo, au kuna mtu wako wa karibu unamfahamu anasumbuliwa na matatizo ayo, basi usihuzunike!! 😰

Tuna program maalumu mafunzo ambayo ni bure kabbisa (bila ya malipo). na tayari tumeshawasaidia watu wengi kupata soluhisho la kuweza kuondokana na changamoto iyo..

K**a utachukuwa hatua sasa ivi ya kutaka soluhisho. Basi tutakuingiza katika darasa maalumu ambalo tutafahamisha hatua kwa hatua namna ya kuondokana na tatizo hilo..

Wasiliana nasi 👇🏽👇🏽

https://wa.me/255776835366

https://wa.me/255716990865?text=Naomba%20kujiunga%20na%20mafunzo.

15/06/2020

Address

Unguja

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kimbilia Kujenga - Kukinga na Kutibu Afya Yako. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kimbilia Kujenga - Kukinga na Kutibu Afya Yako.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

AFYA FORUM.

karibu katika page yetu ya afya forum. hapa utajifunza mambo mbali mbali yanayohusiana na kujenga, kutibu, kukinga pamoja na kuimarisha afya zetu.

program hii ya afya forum inafanya kazi sehemu mbali mbali duniani kwa kushirikiana na project kubwa za mashirika mengi ya nje ya nchi k**a vile shirika la NATURES WAY kutoka marekani DSM pamoja na WEIDER kutoka arizona, phoenix nchini marekani, nertheland na ugerumani.

lengo la program hii ni kutoa mafunzo, ushauri juu ya changamoto mbali mbali za kiafya tunazokumbana nazo katika maisha yetu ya kila siku. mfano wa chnagamoto ni k**a zifuatazo;


  • maradhi yasiombukiza k**a kisukari, pressure, kupooza (stroke), goiter, tezi dume, kansa, vidonda vya tumbo, matatizo ya uzazi, magonjwa ya uzee n.k.