
09/02/2023
Fanya hivi endapo chupa lako litapasuka na huna leba?
AKA hakuna mikazo tumboni.
-Huu hapa ushauri wangu:-
K**a kawaida kumbuka COAT.
C: Color/Rangi
O: Odour/harufu
A: Amount/Kiasi
T: Time/Wakati/Muda wa chupa