Aevajo Health Care

Aevajo Health Care Tunatoa elimu na tiba Kwa changamoto za kiafya ikiwemo vidonda vya tumbo, mifupa & maungio n.k.

~~Unapata maumivu ya mgongo na kiuno. Kuna watu wanateseka sana na shida za mifupa na viungo, usikae kimya suluhisho lip...
12/06/2023

~~Unapata maumivu ya mgongo na kiuno. Kuna watu wanateseka sana na shida za mifupa na viungo, usikae kimya suluhisho lipo,Tuna tiba asili kabisa na maalumu kwa ajili ya kuondoa maumivu ya viungo na mifupa, kuzuia kulika kwa mifupa na viungo.

Kazi za virutubisho vya mifupa na viungo.
1.Huongeza ute ute kwenye maungio.
2.Huondoa changamoto ya Arthritis.
3.Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya.
4.Huondoa maumivu ya magoti, nyonga na mgongo.
5.Husaidia mifupa kuwa imara pamoja na vidonda kupona haraka.
6.Huongeza Glucose Amine na Chrondroitin kwenye maungio.

Virutubisho hivi ni vizuri kwa wenye umri mkubwa na wenye matatizo ya Mifupa na viungo, Kwa wale wanaofanya mazoezi ya viungo hii tiba inawafaa sana kuwasaidia viungo kukaa sawa na kutopata matatizo yoyote..
Wasiliana nasi kwenda..
+255759793278

09/06/2023

Pona

09/06/2023

Wasiliana nasi kupata huduma
Piga simu 0759793278

VIDONDA VYA TUMBO -AINA, CHANZO, DALILI & TIBAUTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni tatizo ...
09/06/2023

VIDONDA VYA TUMBO -AINA, CHANZO, DALILI & TIBA

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
Gastric_Ulcer-1200x720
2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

duodenal-ulcer
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

gastrita
Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri
JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kunywa maji mengi
Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO

Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

Wasiliana nasi kupata tiba
WhatsApp 0759793278

15/04/2023

Hakikisha unamtoa mtoto hewa baada ya kumnyonyesha.

Mweke begani massage mgongo wake taratibu hadi usikie ametoa hewa
Kufanya hivi kutamsaidia hewa isijae tumboni nakuepusha mtoto kuumwa na tumbo.

Midwifepriscar
Pregnancy care room
Wasap 0742318469

💊𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄 🩺💊).Call 📞 📲🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupun...
22/02/2023

💊𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄 🩺💊).
Call 📞 📲
🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%

𝐕𝐘𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈
⏺️Uwepo wa sumu mwilini
⏺️Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).
⏺️Umri ukienda sana Kukoma kwa hedhi
⏺️Uzito mkubwa.
⏺️Mabadiliko ya mazingira
⏺️Msongo wa mawazo
⏺️Upungufu wa lishe mwilini.
⏺️Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
⏺️Utoaji wa mimba
⏺️Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)

𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈
▶️Uke kuwa mkavu
▶️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
▶️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
▶️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
▶️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
▶️Uchovu wa mara kwa mara.
▶️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara.
▶️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula.
▶️Ongezeko la tumbo na nyama uzembe.
▶️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k).
▶️Kupata hedhi wakati wa ujauzito
▶️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi.
▶️Maumivu ya kichwa mara kwa mara.

𝐌𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐈𝐍𝐈
➡️Kupatwa na maambukizi ukeni mara kwa mara
➡️Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
➡️Mimba kuharibika mara kwa mara
➡️Kukosa mtoto au Ugumba.
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
➡️Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
➡️UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara.
➡️Kuziba kwa mirija ya uzazi.
➡️kupatwa na saratani ya kizazi
➡️Uvimbe kwenye kizazi mwanamke (Fibroids and ovariancysts).

𝐒𝐔𝐋𝐔𝐇𝐈𝐒𝐇𝐎/𝐌𝐀𝐓𝐈𝐁𝐀𝐁

➡️Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda
mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na
wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
➡️Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida.
Lakini hupelekea madhara k**a: Kuongeza uwezekano wa shinikizo la damu,Madhara katika mfumo wa uzazi,Saratani na mengineyo.
➡️Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini. Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo; vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, n.k.

🔘Namna nzuri yakutibu tatizo la homoni ni kutumia virutubisho lishe ,,𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐍𝐈𝐊𝐔𝐒A𝐃𝐈𝐄 𝐏𝐈𝐆𝐀 & 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄.

Address

Mwanza

Telephone

+255759793278

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aevajo Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Aevajo Health Care:

Share